Search results

  1. IGUDUNG'WA

    Utambuzi na Msaada wa Tiba

    Ndugu zangu JF naomba kujua hili tunda kwa kiswahili au kwa kiingereza linaitwaje?Kisukuma wanaita Ng'wicha. Inasemekana Tunda hili likiwa bado changa ukilichanja na kiwembe kisha ukachanja dushelele lako nakupaka damu yako kwa hilo tunda basi mzigo wako utakuwa kinyama kadri tunda hilo...
  2. IGUDUNG'WA

    Magufuli/Lukuvi hamisheni watumishi wa iliyokuwa CDA Dodoma

    salaam, Nipo hapa ofisi za manispaa ya dodoma kitengo cha ardhi zamani ikifahamika kuwa ni CDA dodoma. Ninachokiona hapa hakuna kilichobadilika tangu rais magufuli aivunje hii cda, migogoro na malalamiko ya walala hoi bado ni vilevile. Nimekuwa nikifatilia hati kwa muda wa wiki mbili sasa...
  3. IGUDUNG'WA

    Watanzania wanaabudu nini Hasa

    Trump asema wamarekani hawaabudu serikali wanamwabudu Mungu. Je hapa kwetu hali ikoje?
  4. IGUDUNG'WA

    Ziara za kushitukiza pale Muhimbili hakuna tena?

    Nimesikitika na kushitushwa na habari aliyotoa dada yetu wa kule ng'ambo kuona wazazi wakiwa wamelala chini pale Muhimbili Hospitali. Swali langu ni je lile jengo aliagiza jpm litumike kama jengo la wazazi lilitumika kama alivoagiza? au baada ya kuacha ziara za kushitukiza pale wameligeuza tena...
  5. IGUDUNG'WA

    Paschal Mayala yuko wapi?

    Jamani mods tunaomba mtupe taarifa huyu nguli wa uchambuzi wa masuala ya kisiasa amepotelea wapi? Watu wanatekwa aisee isije kuwa nae wamemteka. Kipindi hiki kigumu tunahitaji sana uchambuzi wake
  6. IGUDUNG'WA

    Madaraka Nyerere: Picha ya Mwl. Nyerere iondolewe kwenye wimbo wa Diamond

    Baada ya malalamiko mengi toka kwa watanzania hasa watumiaji wa mtandao wa twitter kuwa Diamond ametumia isivyo picha ya mwalimu katika cover la wimbo wake mpya, mzee madaraka ameibuka na kusihi picha hiyo iondolewe katika wimbo huo. Itakumbukwa kuwa Mwalimu hakuwa mtu wa kukaa kimya hasa maovu...
  7. IGUDUNG'WA

    Gari dogo saloon lateketea kwa Moto Usiku Huu

    Gari dogo aina ya saloon ambalo halikufahamika namba zake wala model yake limeteketea kwa moto maeneo ya kituo cha daladala cha Tabata Mangumi njia ya kuelekea segerea. waliokuwemo ndani ya gari hilo inasemekana walifanikiwa kutoka nduki hivyo wamesalimika. Namba za usajiri za gari hilo...
  8. IGUDUNG'WA

    Ving'amuzi vya Startimes kukata matangazo

    Habari bandugu; Hawa jamaa wamekuwa kero sana kwangu. king'amuzi nimenunua toka 2012 na ilikuwa kifurushi kikikata zinabaki TV za local zikionekana bure kama ilivyotaka mamlaka ya mawasiliano TCRA. Kitu cha ajabu tangu mwezi june mwaka huu kuna uhuni unafanyika ni kuwa kifurushi kikiisha basi...
  9. IGUDUNG'WA

    Uhalifu kituo cha daladala Ubungo darajani (Landmark)na uzembe wa kituo cha polisi Urafiki

    Habari. Nimekuwa nikitumia kitua tajwa hapo juu kama kituo changu cha usafiri kuondoka kurudi home baada ya majukumu yangu ya siku nzima. Kinachonikera kituoni hapo kunakuwa na rundo kubwa sana la mateja ambao wamekuwa wakifanya kazi ya kupiga debe kama geresha lakini kubwa wafanyalo ni...
  10. IGUDUNG'WA

    Lori aina ya Scania lanusurika kupinduka Ubungo

    Gari aina ya scania lililokuwa likitoka mkoani kuingia jijini Dar es salaam nusura lipate ajali maeneo ya Ubungo maji mchana huu baada ya lori hilo kufeli breki zote. Gari hilo namba T 9850 ASB lilionekana kupoteza mweleko wakati linateremka kutoka kituo cha Kibo kuja ubungo maji. Kitu ambacho...
  11. IGUDUNG'WA

    Chacha Machange: Je ni yule kijana aliyekuwa akiishi kwenye handaki jirani na Mlimani city?

    Habari bandugu, Katika ziara ya kustukiza ya Mh. Rais katika hosp. ya Muhimbili nimeshangazwa kidogo baada ya kumuona Rais akiongea na mgonjwa mmoja alietambulishwa kwa jina la Chacha Machange ambae anasumbuliwa na maradhi ya mgongo. (Mh. Rais ameahidi kugharamia matibabu yake) Nilipomuona...
  12. IGUDUNG'WA

    Hakatwi Anakatwa ilivyo athiri Ibada za wasabato leo

    Nilikuwa katika ibada kanisa la waadventista wasabato Tabata Segerea. Ukweli leo mahudhurio yalikuwa hafifu kabisa ukilinganisha na jumamosi nyingine. Ratiba ya kawaida inaonesha Shule ya sabato huanza saa 2 asubuhi mpaka saa 4 na dk 45, lakini leo kipindi hiki kimeanza saa mbili kikiwa na...
  13. IGUDUNG'WA

    Nahitaji bango la tangazo la biashara lenye 150cm kwa 80cm

    Wadau nahitaji bango la biashara liwe lenye taa kwa ndani. inamaana wakati wa usiku linawaka. kwa yeyote anaejua ni wapi wanatengeneza anijuze. pia nitapenda kujua bei ya bango la urefu wa 150cm na kimo 80cm. Ni PM haraka tufanye biashara
  14. IGUDUNG'WA

    Mitambo ya kufua umeme kwa kutumia mafuta mwisho November 2014

    Habari, Kauli hii ya kuwa mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta ingeondolewa nchini ifikapo November mwaka huu imekuwa ikitamkwa sana na Prof wa mawe Sospeter Mhongo. Amekuwa akituhakikishia kuwa mitambo hii inalitafuna taifa. Pamoja na kusema hayo amekuwa akisisitiza kuwa hata mitambo...
  15. IGUDUNG'WA

    watanzania tusisahau kauli hii ya Pinda "Wapigwe Tu"

    Habari JF Sakata la mauaji/utesaji wa raia katika operation tokomeza ujangili waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda hawezi kuliepuka kwa kung'atuka mawaziri wanne tu na yeye akibakia katika wadhifa wake. Ikumbukwe tu kuwa waziri mkuu ndiyo mtendaji mkuu wa shughuli za serikali, pia yeye ndiyo kiranja...
  16. IGUDUNG'WA

    Funza katika kichwa cha mbuzi au kondoo

    Habari wana JF, Naomba madaktari wa mifugo na wanyama mnisaidie kujua funza wanaopatikana katika kichwa cha Mbuzi au Kondoo wanafanya kazi gani wakati mbuzi akiwa hai?. Mara ya kwanza nilisikia kama story kuwa ndani ya kichwa cha mbuzi huwa kuna funza.... juzi nimeshuhudia mwenyewe wakati...
  17. IGUDUNG'WA

    Mchange anusurika kichapo leo kwenye kongamano la siasa huko mwanza

    Jamani leo habib Mchange nusura achapwe makonde na washiriki wa kongamano la vijana wa vyama vya siasa baada ya kuwasirisha maada ambayo iliwakera washiriki. hotuba ya Mchange ilidumu kwa dakika saba tu kabla ya vurumai kuzuka. Source: Channel Ten Taarifa ya habari usiku Juzi kuna mdau alisema...
  18. IGUDUNG'WA

    Nahitaji Majibu Magumu

    Jamani wana jukwaa kuna mambo nchi hii yanagusa maisha ya watu lakini ajabu yamekuwa yakipita kama upepo na sisi tunayanyamazia. Hebu leo nisaidieni kujua watuhumiwa wa mlipuko kwenye mkutano wa chadema wamekamatwa? na Chadema waliahidi kutoa mkanda wa video ukionesha mtuhumiwa aliefanya tukio...
  19. IGUDUNG'WA

    msaada jamani ni hospitali gani zinatibu ngozi kwa dar au dodoma?

    Ndugu zangu nimekuwa nikisumbuliwa na harara zilizochanganyikana na chunusi tangu mwaka 2006, nimekwenda dispensary na mahospitali mbalimbali lakini naona hakuna mafanikio. mara ya kwanza niliamini kuwa kila doctor anaweza kutatua tatizo langu lakini wote niliowaona wameishia kunipa cream tu...
  20. IGUDUNG'WA

    kumbe mnaoishi dar kuna raha hivi!!!!!

    ebana leo nimeshuka ubungo terminal kutoka mkoa, nikaenda kupanda daladala za gongo la mboto (DCM aka gobore), daladala zikawa za kugombania lakini nikabahatisha kupanda japo sikupata siti. nimesimama tukiwa tumebanana hakuna mfano; mimi nilikuwa nyuma ya dada mmoja kajaliwa makalio. jameni...
Back
Top Bottom