Search results

  1. M

    Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    Fatma K Hana akili hata kidogo! Maoni binafsi ya Martin Maranja Masese kaya address kama ya CDM! Huu ni uzwazwa wa Hali ya juu! Fatma K anachochea UDINI.
  2. M

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. John Pima na wenzake wameshinda rufaa ya kupinga kifungo cha miaka 20 jela

    Aiseee! Hii hukumu itachochea wizi na Ufisadi kwenye Halmashauri! PM Majaliwa alitembelea Arusha alijionea Ufisadi wa kutisha akiongozwa na RC Mongela! Leo Majizi yameachiwa! Waziri Mchengerwa ana kazi nzito kupambana na Majizi kwenye wizara yake! Serikali inapeleka pesa nyingi kwenye Halmashauri!
  3. M

    DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

    Wametema Bungo! Nyani haoni kundule! Richmond DP World
  4. M

    Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Magufuli aliwanyoosha majizi makuu ya Escrow bila kujali dini Wala madhehebu Yao.
  5. M

    Sheikh Mazinge ukiona mtu mwanasiasa anamtukana Rais Samia basi ujue kachanganyikiwa

    Hah hah hah! Huyu Mazinge ni kubwa J la Karne! Anazeeka na ujinga wake!
  6. M

    Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

    Mbaya zaidi wanatumiwa mashehe Ubwabwa na akina Maalim Kitumbua! Njaa na uchawa unaliangamiza Taifa.
  7. M

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Sinza Kuna baunsa mmoja anajiita KATOMPA! Anapora watu simu na wallet kibabe kwenye sehemu za starehe zinazokesha! Jeshi la polisi kituo Cha urafiki na mabatini waanze kumsaka huyu mhalifu!
  8. M

    Aliyekuwa Mkurugenzi Arusha na wenzake waongezewa mashtaka

    Dr Pima na swahiba wake Ole Sabaya....watakula X mass na mwaka mpya pamoja ktk gereza la Kisongo. Hawa watu walikuwa washenzi na jeuri sana. Wanavuna walichopanda!
  9. M

    ARUSHA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasimamisha kazi Vigogo 6

    Safi sana waziri mkuu Majaliwa kwa kutumbua hiyo Mijizi! PM umekuwa msaada mkubwa kwa Rais Wetu Mpendwa SSH Bosi wa Takukuru tunataka kuona ukikunjua Makucha yako, tangu umeteuliwa umekuwa mpole sana kupita maelezo. Pia safi sana Mbunge Gambo kwa kuibua ufisadi jijini Arusha.
  10. M

    Rais Samia anajenga barabara ya Same - Kisiwani - Mkomazi km 97

    Lindi na mtwara nao wanaitaji barabara za lami hasa jimbo la waziri mkuu halina kabisa barabara za lami. Kuna vumbi la kufa mtu wenyewe wanaita "NGUNJA"
  11. M

    TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

    Wapiga dili @ work ...wameanza mapema sana aisee.
  12. M

    Arusha Jiji Serikali yaachia TZS 5.2B kwaajili ya Vijana 4% Walemavu 2% na wanawake 4%

    Naona mkurugenzi wa jiji Arusha anajipigia promo mwenyewe! Ripoti ya CAG ndio itakuwa kipimo chake cha utendaji kazi! RC Mongela alionyesha wasiwasi mkubwa gharama ya ujenzi wa vizimba vya wamachinga jijini Arusha (value for money).
  13. M

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    VP awe jasusi mbobezi! Mwanadiplomasia mbobezi ndugu Benard Cammilius Membe! Naamini BCM atawaunganisha watanzania kuwa kitu kimoja! Kila la kheri Benard Membe! Kazi yako ya kwanza ni kusaidia tupate chanjo ya Uviko 19
  14. M

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Kwanza nipongeze Serikali ya Mpendwa rais wetu Dr JPM kwa kuwezesha ujenzi wa barabara nzuri sana ya SINZA - TANDALE - UZURI. Tatizo ni Sub Contractor aliyejenga mitaro! Mitaro imejengwa in such away that mvua ikinyesha maji yanatiririkia kwenye baadhi ya nyumba za watu hasa kipande cha sinza E...
  15. M

    Dewji hii ndo fursa, achana na Simba ya Kilomoni anzisha MO Simba FC , mashabiki tupo

    Simba Dume FC........jezi nyekundu na nyeupe! Money! Power! Respect! In GOD we Trust!
  16. M

    Team Membe akiwemo Nape, January, Makamba mbioni kufunguliwa kesi ya uhaini kutaka kumdhuru na kumpindua Rais Magufuli

    Uncle John tandika majizi na majangili hayo! Hakuna kucheka na nyani! Tamthilia ya Sultan imetufundisha kwamba ukipata chance ya kumtandika adui wako itumie effectively!
  17. M

    Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

    Nanganga -- Ruangwa! Vumbi la mtu!
  18. M

    ACACIA waomba yaishe baada ya kubanwa na mawakili wa Tanzania

    Mkuu Pascal Mayalla njoo jamvini udadavue! Mtoa post lugha gongana! Ametulisha matango pori!
  19. M

    Magufuli akiongea Bugando aagiza bili za matibabu India zihakikiwe

    Ngorongoro yupo FARU NDUGAI. Ila kwa sasa mbabe ni faru RAJABU.
Back
Top Bottom