Search results

  1. K

    Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

    Bro unaishi maisha ya stress sana. Aina ya mwanamke uliyenaye nilishaachana naye kitambo Kwa sasa Nina Amani tele. Uwezi kuishi na mwanamke wa namna hiyo utakuja kufa wewe. Mtoto mmoja sasa umepitia changamoto za hivyo je Mkifikisha 4 utakuwa umepitia mitihani mingapi?. Ndivyo alivyofundwa kwao...
  2. K

    Tumeachana rasmi

    Hata kumpelekea moto ulishindwa. Kama huna hela basi kupeleka moto usishindwe. Ndo utaratibu!.
  3. K

    Ushauri: Mpenzi wangu ni mkavu sana na hataki nimchezee kwa vidole

    Mpeleke hospitali au mshauri aende hospital atahudumiwa bila shida yyte. Niliwahi kukutana na adha ya namna hiyo ilinipa shida sana. Tatizo hilo linasababishwa na homorne imbalance wakati mwingine ni ukosefu wa lishe zenye virutubisho Fulani. Wataalamu wa afya wanalimaliza kabisa suala ilo na...
  4. K

    Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

    Usiniambie kabisa mwanamke wa namna hiyo. Nimeishi naye kwa miaka nane nilipitia mengi. Kibri, dharau kauli za matusi, kujipangia apendavyo. Nilipofika hatua ya kuchoka kabisa sikuomba ushauri kwa MTU. Nilibwaga manyanga jumla. Kwa sasa Nina Amani ya Moyo na afya tele. Najisikia wa furaha...
  5. K

    Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti

    Bro umezingua sana. Kuwekwa hereni tu kwa mang'ombe kashakuwa DED bora. Hizo ear tags ni Sera na mipango mikakati ya Wizara ya mifgo na Uvuvi. Halmashauri hawanaga hizo bajet. Kwenye hili unasimulia usichokijua. Tangu lini Halmashauri ikawa na uwezo wa kujenga jengo la ofisi la ghorofa. ? Ww...
  6. K

    Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Hapo walipokushusha patakuwa jirani na kijiji cha Mtange na bila shaka hapa kwenye mabwawa ya chumvi ni shamba la chumvi la Taasisi ya Magereza. Kiukweli ni nje ya mji. Almost 25 km kutoka Lindi mjini. Ni kweli ni Porini. Lindi yote napajua sana mimekaa miaka 7. Haya tuendelee na simulizi.....
  7. K

    Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

    Naona una maaba makubwa na rais wako. Kwa hiyo mikopo ya Matirioni ya fedha yaliyokopwa huko Ulaya hujawahi kuyasikia?. Si ndivyo?. Hauishi Tz?. Hizo fedha za Matozo ya simu tunazikatwa tunapoenda kwa wakala kutoa visijenti vyetu kununulia nyanya na zile tunazotuma kwa bibi zetu wanunue...
  8. K

    Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

    Hii haipo sawa. Waziri husika na wataalamu wake Planners wa wizara wote kazi yao haswa ni nini? Mishahara ya mamilioni wanalipwa kwa ajili gani?. Kwamba nchi haina wataalam kabisa wa kuendesha bandari kwa ufanisi na tija?
  9. K

    Mkurugenzi Ngorongoro Jumaa Mhina yamkuta tena

    Waziri wa utumishi amefafanua vyema kuhusu sheria za utumishi. Likizo ni haki ya mtumishi kisheria. Mamlaka ya mkuu wa mkoa kumkataza Mtumishi asiende likizo anayatoa wapi kisheria?. Mchengerwa amefafanua sana juzi tu hivi. Tuzingatie sheria tulizojitungia na Utawala bora.
  10. K

    Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

    Kwa hiyo kwa lugha rahisi ni kwamba hii ni vita ya wenyewe kwa wenyewe.
  11. K

    Ushahidi kuntu kuhusu utapeli uliojificha ndani ya biashara ya dada wa kazi (house girls)

    Mzee baba mpaka umefikisha mabinti wote hao na changamoto zao hizo huachi kuwatumia madalali?. Huna ndugu zako au ndugu wa mkeo wakatafte mabinti huko makwao ?. Achana na madalali hao ni zaidi ya danger.
  12. K

    Msaada: Mafao yameingia kwenye account ya mahakama ya wilaya Temeke, tumezungushwa mpaka tumechoka

    Nenda PSSSF au kama NSSF ndo ilihusika kutoa hiyo Pension peleka malalamiko ikishindikana nenda kwenye Wizara inayohusika ueleze changamoto hiyo. Mbona hata TAKUKURU anaweza kwenda pia tena wanasaidia sana kwenye kuokoa hela za Pension.
  13. K

    Muosha Magari apatisha ajali gari lenye thamani zaidi ya Milioni 100. Akutwa anaruka sarakasi

    Ondoka na ufungua baada ya kupack ili kukwepa hiyo risk. Unamwachia mwoshaji ili iweje?. Aidha kama gari lina bima kubwa itasadia kwa hiyo Incidence iliyotokea.
  14. K

    Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

    Hata wewe inaonekana umetumwa kazi maalum hapa jamvini. Kwa kuwa wewe pia hupendi haki ndo maana unamtetea mtu katili. Unajitoa tu ufaham. Wewe pia ni miongoni mwa hao kindakindaki.
  15. K

    Naomba kujua hii ni “Allergic” au nini wataalamu wa hapa

    Mbona kama ni reaction ya joto?. Havina madhara vitapotea tu. At the moment tumia dawa ya tube inaitwa Gentrisone ni cream hiyo paka kikamilifu sehemu iliyoathirika baada ya mtoto kuoga asubuhi na jioni . Alafu baada tu ya siku mbili niletee mrejesho was shukran. Hiyo siyo dawa ya kutibu tatizo...
  16. K

    Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

    Mama utadumu milele kwenye ndoa yako!. Utapendwa milele. Ni kweli kipigo huwezi kukikwepa. Eti kuamsha dude it seems hawatujui hawa!. Na huwa ukiona mwanamke hakusumbui na amani IPO huwa tunarudi haraka kwenye reli. Lakini ukanyage waya eti kuamsha dude uone cheche zake kwenye macho. Siku moja...
  17. K

    Siri ya Meya Kinondoni kugombana na Mkurugenzi

    Haya ulibandika kuhusu eneo la ushauri ni maoni mazuri ila nina wasiwasi kidogo. Madiwani wana changamoto nyingi sana na changamoto yao kubwa ni eneo la masilahi binafsi. Kama Mkurugenzi atasailiwa na baraza la madiwani na wao wakawa ndiyo mamlaka ya uteuzi Mkurugenzi hawezi kuwa stable...
Back
Top Bottom