Search results

  1. B

    Nasumbuliwa na ugonjwa wa Chronic Prostetisis naomba msaada

    Habari wana JF nasumbuliwa na ugonjwa wa chronic Prostetisis naombeni msaada wa kupata tiba
  2. B

    Maumivu ya Njia ya mkojo

    Anapatikana wapi na je gharama zake
  3. B

    Maumivu ya Njia ya mkojo

    Nimekutana na maspecialist tofauti tofauti was mkojo na mifupa
  4. B

    Maumivu ya Njia ya mkojo

    Asante sana
  5. B

    Maumivu ya Njia ya mkojo

    Habari wanajf nina kwa miezi saba nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya kibofu,njia ya mkojo,pumbu na uume nimezunguka sana hata kwa maurologist lakini sipata nafuu wala dawa nilizopewa hazijawahi kuniondolea maumivu.DVU,MRI nimefanya na pia CT scan ya mgongo mwanzoni niliambiwa nina urethra...
  6. B

    Natafuta mchumba wa kuoa

    mim ni mwanaume mnene kiasi na mweupe kiasi mrefu kawaida
  7. B

    Natafuta mchumba wa kuoa

    kabila na rangi si kigezo cha muhimu ni tabia njema na mucha mungu
  8. B

    Natafuta mchumba wa kuoa

    nina miaka 30
  9. B

    Natafuta mchumba wa kuoa

    habari members natafuta mchumba wa kike umri usidi miaka 30 awe msomi wa chuo kikuu na mwajiliwa/anafanya kaz mwenye tabia za kupendeza na mkristo mim nafanya kazi serikalini 0779971855
  10. B

    Angalizo kwa Graduates wote na kaka/dadas Mliopo Vyuoni

    huyo mwenye plan ni kichwa mi nipo serekalin lakin nimeuona walaka unaowakataza wakurugenz kuajiri kwa sasa maana hakuna pesa
  11. B

    Taratibu za kuacha kazi zikoje?

    achana na fikira za kuacha kaz zitakucost
  12. B

    ajira tatizo

    muda uliokaa mtaani ni mchache sana na bado hujapigika angalau kaa miaka miwili ujifunze ubaili na heshima ya pesa ndio tukupe zamana kwanza umemaliza chuo gan?na una gpa ya ngapi?
  13. B

    Tanzania: Tatizo la ajira kwa vijana ni kubwa sana, lisifanyiwe masihara!

    nawashauli wasomi wenzangu msichague kaz mim ni muhitimu wa sheria lakin ni afisa mtendaji nimeajiriwa na tamisemi
  14. B

    Tanzania: Tatizo la ajira kwa vijana ni kubwa sana, lisifanyiwe masihara!

    ishu ya ajira tanzania kwa sasa ni kubwa kwa kifupi ni kiongozi mmoja ndiye analisemea hilo naye ni lowassa
  15. B

    hizi kazi za magazeti na internet huwa wanaita watu kwenye interview

    watu wengi hawajui kuandika cv zao na hawajui ni kaz ya cv
Back
Top Bottom