Mwaka 2015 kuna mzee aliniambia anauza viwanja 1.5m, alikua na eneo kubwa akasema anafuatilia taratibu za kukamilisha upimaji hivyo wanaotaka walipie kabisa ili majina yakitoka yatoke kwa majina yetu.
Kwa vile alieletwa na rafiki yangu ninaemjua nami nikaenda kuangalia eneo, nikaridhika...
Niliajiriwa mwaka 2013 kama mwalimu wa sekondari, mnamo 2015 nliacha kazi kwa kufuata taratibu na kwenda kufanya shahada ya pili katika eneo lingine ambapo kimsingi nisingeweza kupata ruhusa kwa mwajiri mana ni kada tofauti. Nilihitimu mwaka 2016 na mpaka sasa nafanya kazi katika taasis binafsi...
Mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia yetu, na ambaye kwa kiasi fulani najiweza kimaisha. Tangu awali nilishajiwekea malengo sitaoa hadi nihakikishe wazazi wangu wana sehem nzuri ya kuishi possibly kushinda pale ambapo mim nitaishi.
Alhamndullilah, hilo limetimia na wanaishi sehemu...
Wanajamvi tuendelee kuchukua tahadhari na janga la corona,
Niende kwenye mada straight, nimeoa mwaka wa pili sasa...before sijaoa nimepitia experiences nyingi za mahusiano, na kwa kiwango chake nimehitimu. Tangu nimeingia katika wedlock, sijatoka nje ya ndoa na sioni sababu..mke wangu yupo free...
Kwa kawaida wanawake wengi hufikirikia kutoka mbali au kuwa na mahusiano ya muda mrefu na mwanaume ni ticket ya kuzawadiwa ndoa. Hali hii ni tofauti kwa upande wa jinsia ya 'me', kwani walio wengi wanajua sana kung'amua nani anafaa kuwa mke na mama watoto wake.
Linapofika suala la nani aolewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.