Search results

  1. LITA2019

    Amenikosea badala ya kuniomba msamaha kakaa kimya tu

    Mademu flani hivi waswahili sana, hapo hamna mtu! IQ kama yasisimizi!
  2. LITA2019

    Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    Kitu ambacho siwezi kutelekeza ni damu yangu. Hata mwanamke awe yeye ndio tatizo ila mwanangu atahudumiwa! Mwamba kazingua sana!
  3. LITA2019

    Bora mniue tu, siwezi oa mwanamke kwa mahari ya Tsh Milioni moja

    Mwanaume hatoi hela kwa mwanamke kukiwa na mambo mawili tu, hampendi huyo mwanamke au hana! Kama haya yapo utatoa kiasi chochote!
  4. LITA2019

    Kweli mapenzi upofu, daaah

    Kama ukiluwepo mkuu, hawa jamaa huku wanaishi dunia yao. Hata kutuweka dunia ya watu ni karibu sana, tupo mbali sana! Noma sana
  5. LITA2019

    Baada ya kuhudumia mtoto nimegundua sio damu yangu. Nimuoe huyu mwanamke nilee mtoto asiye wangu au nimuache?

    Nikitoaga mtoto bichwa kama langu, yani hata ukipanga kumpa mtu mwingine dogo haendi!
  6. LITA2019

    Mume wa Maunda Zoro ni aina ya Wanaume hovyo wa Dar es Salaam

    Hakuna bonge mwenye akili, mara chache sana!
  7. LITA2019

    Vijana wa Kiislamu hawaogopi ndoa kama Wakristo

    Kwani ndoa ni gharama? Ndoa ni ibada ya Mungu katika Uislamu na ameweka masharti yake ili ikubalike. Katika hayo masharti, gharama kubwa haimo! Kwahiyo usishangae mkuu, ndio utaratibu wetu kuoa kwa kiasi tulichokubaliana hata kama elfu 10.
  8. LITA2019

    Ajira za TRA tumetoboa. Ushuhuda wangu!!

    Tusonge mbele mkuu, good enough Mungu anazidi kutubariki na tunasomesha wengine. La muhimu somo limeniingia!
  9. LITA2019

    Ajira za TRA tumetoboa. Ushuhuda wangu!!

    Dah umeongea fact kubwa sana mkuu. Nimempambania mtoto wa bro ili nipate mtu wa kusaidiana nae tukikwama as a family. Asee alivyotoboa akanipa kisogo mazima. Sikua nataka anisaidie bali ile imetokea una shida ya ghafla badala ya kuwacheki washkaji, unamcheki dogo mambo yakitulia unarudisha...
  10. LITA2019

    Tuwajadili mabroo wanaohonga magari, huwa wanapewa nini?

    Kuna mambo mawili tu yanayomfanya mwanaume asihonge, hana hela au huyo mwanamke hajampenda! Vikiwepo hivyo viwili anahonga chochote na hajali!
  11. LITA2019

    Graduates, ni halmashauri gani ungependa kufanya kazi?

    Karibu Mkuranga tupate tasi mkuu
  12. LITA2019

    Graduates, ni halmashauri gani ungependa kufanya kazi?

    Tope la hapo halmashauri balaa mkuu
  13. LITA2019

    Vifo na migogoro ya ndoa havitaisha hadi pale serikali ikiruhusu hili

    Uislamu unaendana na maumbile ya binadamu! Eti mkae milele hata kama mnaelekea kuuana!
  14. LITA2019

    Azam TV wekeni mizania sawa imani ya dini

    Wakristo na Waislamu kwenye nchi hii wanaishi kinafiki sana. Hawapendani kabisa, kuanzia uraiani hadi mamlakani!
  15. LITA2019

    Matokeo ya ACSEE 2008

    Hii ni fact mkuu. Hali hii ipo hata katika vyuo, kila mtu akiona chuo chake ndio kina shule ngumu sana kuliko kwingine!
  16. LITA2019

    BA Economics na MSc Economics

    Angalia prospectus za vyuo mkuu, MA Economics ipo!
  17. LITA2019

    Azam TV wekeni mizania sawa imani ya dini

    TFF wamekusikia, tutawanyima baada ya miaka 10!
  18. LITA2019

    BA Economics na MSc Economics

    Mkuu kumbuka pia kuna MA Economics! Nafikiri hizo ni programme mbili tofauti!
  19. LITA2019

    Azam TV wekeni mizania sawa imani ya dini

    Shida yake ni kumuattack mmiliki Muislamu na Uislamu kwa ujumla wala sio hoja aliyoileta!
  20. LITA2019

    Azam TV wekeni mizania sawa imani ya dini

    Ving'amuzi vipo vingi!
Back
Top Bottom