Search results

  1. Mbao za Mawe

    Serikali iangalie utaratibu mzuri katika kusafirisha mafuta hasa kwenye majiji makubwa yenye msongamano.

    Assalamu Aleikum, Tumsifu Yesu Kristo. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania................ Nina imani viongozi mbalimbali wa serikali na wizara mbalimbali ni wafuatiliaji wazuri wa JF hivyo maoni yangu yatawafikia kwa njia hii niliyochagua. Kwa mara kadhaa tumekuwa tukishuhudia msongamano wa...
  2. Mbao za Mawe

    Waraka wa tozo

    1: Yalipita majuma matatu tangu giza kutawala juu ya nchi, ndege na wadudu warukao waliruka kwa makundi ili kutafuta vijito vya maji ili kutaka kiu katika miili yao. 2: Nao wana wa nchi walikuwa wakimya tena wenye nyuso za kumpendeza BWANA, walikusanyika jioni moja na kupaza sauti zao kuelekea...
  3. Mbao za Mawe

    Msaada kwa mtu mwenye uelewa wa lugha ya Kingoreme

    Habari za humu wadau, nahitaji msaada kwa yeyote mwenye kufahamu vyema lugha ya Kingoreme nahitaji kusaidiwa jambo dogo tafadhali. Kama unafahamu lugha hii naomba msaada, lugha hii huzungumzwa hasa na wakazi wa Serengeti, Mkoani Mara.
  4. Mbao za Mawe

    Ni wakati sasa makampuni ya mawasiliano nchini kushusha gharama za mawasiliano

    Dunia inagua hakuna uzalishaji unaoendelea kwa sasa, watu wengine wameamua kujiweka ndani wenyewe wakihofia maambukizi ya COVID19. Mawasiliano ni kati ya mahitaji makubwa sana ya Mtanzania ama raia yeyote yule katika nchi yake, nadhani ni muda wa haya makampuni ya mawasiliano nchini kuja na...
  5. Mbao za Mawe

    OTG connected successfully. Msaada katika hili

    Hadi saa tano usiku simu yangu ilikuwa haina tatizo lolote na ilikuwa ikichaji vizuri tu ila asubuhi nimeiweka chaji ila haichaji nikapita humu jukwaani kuona kama nitapata uzi ulioelezea tatizo kama hilo ila sijakuta. Sasa kila baada ya muda inatuma ujumbe kwenye screen kuwa"OTG CONNECTED...
  6. Mbao za Mawe

    Harmonize kasuka zaidi ya miezi 6 bila kufumua

    Hebu leo wanawake semeni nyie mnasukaje maana kila wiki mnaenda salon kusuka ila huyu Harmonize ni zaidi ya miezi 6 tangu asuke ila nywele zake zina ubora tofauti na nyie tatizo liko wapi? Kwanini msisuke kama Harmonize ili mpunguze matumizi ya mara kwa mara katika ususi.
  7. Mbao za Mawe

    Una chanjo ngapi za magonjwa mwilini mwako?

    Umejiuliza hadi sasa umeweka chanjo ngapi za magonjwa katika mwili wako? Kwangu nadhani mara ya mwisho kupokea chanjo ilikuwa ni utotoni tangu hapo sitaki kuufanya mwili wangu uwe majaribio ya wanasayansi kwa chanjo za kila leo. Majuzi hapa kulikuwa na chanjo ya homa ya ini sina mpango nayo...
  8. Mbao za Mawe

    Kwa mara ya kwanza Singeli imegusa hisia zangu

    Majuzi kuna wasanii wawili wa sanaa ya muziki wa singeli waliamka na akili za utotoni na kuzua taharuki mitandao. Huwa sina utaratibu wa kusifia kilicho kibovu na ikitokea nimesifia msanii kuwa kafanya vizuri basi ni kweli kwangu anakuwa kafanya kazi nzuri sana. Tunajua muziki wa singeli...
  9. Mbao za Mawe

    Wakicheza nuruni ni kama gizani

    Habarini wanamichezo Poleni na pilikapilika za hapa na pale hasa hizi tunazokutana nazo kwenye soka letu hapa nchini. Mapungufu ya wazi kwa waamuzi yamegeuka kuwa ni kawaida katika michezo ya ligi. Utata wa kusimamia na kutafsiri sheria za za soka bado ni kazi ngumu kwao, huwenda tunaweza...
  10. Mbao za Mawe

    Vilabu vya ligi kuu mnaitangaza Vodacom hata pasipostahili

    Habarini wana michezo... Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa sasa imesimama kupisha kwa muda mashindano ya FA/ASFC (AZAM SPORTS FEDERATION CUP) Sasa kuna makosa ambao vilabu vya ligi kuu vinapaswa kujua kuwa vinafanya au kwa kujua ama kutokujua, mdhamini wa mashindano haya naamini ni Azam...
  11. Mbao za Mawe

    Airtel semeni kama kuna tatizo

    Takriban siku kadhaa kumekuwa na tatizo la Internet kwa upande wenu na muda unavyozidi kwenda inaonekana ni kama mmebweteka na mnaona ni suala jema tu. Siku kama 4 zilizopita nikiwasha data kwenye kifaa changu husoma H+ au 3G na kubaki kuonesha O Bytes baada ya muda ugonjwa unaisha na hali hiyo...
  12. Mbao za Mawe

    Naomba kupata majibu ya haya maswali

    Historia inaonyesha kwamba bara la Afrika lilitawaliwa karibia nchi zote na watu kutoka Ulaya pamoja na Uarabuni. Na kabla ya kutawaliwa walikuja Wamisionari ambao walileta dini ili tupate kujua neno la Mungu. Kwa maana halisi ni kuwa Waafrika tulikuwa na mizimu yetu na hatukujua habari za...
  13. Mbao za Mawe

    Hodi naomba mnikaribishe

    Hodi huku. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mbao za Mawe

    Hussein Yamodo ni shujaa asiyeimbwa.

    Huwenda asijulikane kwa wengi kutokana na muziki anaofanya kupendwa na idadi ndogo ya watu ila kipaji halisi cha muziki kiko ndani yake. Yamodo ni mwanamuziki wa dansi, kwangu mimi nilianza kumsikia mwaka 2015 kwenye wimbo wake wa "Nimezaliwa pekee yangu" hakika kwa mtu wa muziki mzuri hawezi...
  15. Mbao za Mawe

    Miaka 7 ndani ya Jamii Forum.

    Mwaka 2012 ulikuwa ni mwaka wa kihistoria kwangu mimi kama mtumiaji wa mitandao ya kijamii kwa kufanya maamuzi magumu ya kutumia mtandao wa JF. Awali nilisimuliwa na rafiki yangu mmoja wakati tukiwa chuoni habari za mtandao huu na kile alichokuwa anajua kwa wakati huo kuhusu JF. Nakumbuka...
  16. Mbao za Mawe

    Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

    Habarini wana JF. Poleni na majukumu makubwa ya kujenga taifa, nina suala nataka niwasilishe kwenu japo ni suala la mtu binafsi. Neno langu siyo sheria hivyo sina maana kwamba nataka watu wabadili faragha zao lah! Nataka kuwasilisha kulingana na maono yangu. Baadhi yetu tumepiga kufuli kwenye...
  17. Mbao za Mawe

    Nimezunguka na kukutana na katuni hii sijui muktadha wake

    Nimezunguka na kukutana na katuni hii sijui muktadha wake. Karibu tujadili.
  18. Mbao za Mawe

    Nataka vumbi la Kongo kuanzia tani moja.

    mwenye vumbi hilo anitafute.
  19. Mbao za Mawe

    Njia nzuri ya kuachishwa shule 'NI KUPIGA MWALIMU'

    Habarini wanafunzi wenzangu! Nilianza masomo ya awali mwaka 2012 baada ya jirani yangu mmoja kuniambia kuwa kuna shule moja nzuri sana hapa mjini, hivyo nasaha zake zikanivuta na kuanza shule ya sekondari (Jani la Furaha). 2015 nilipewa namba ya mtahiniwa na nikawa huru kusoma shuleni hapo hadi...
  20. Mbao za Mawe

    Hodi humu.

    Nikaribisheni basi
Back
Top Bottom