Search results

  1. The Master pizo

    Bangi si chai

    Niliacha kuvuta bangi tangu ile siku nilienda msibani wenzangu wanalia mimi nikawa naimba happy birthday to you.. 😂😂
  2. The Master pizo

    Wenye madeni sugu

  3. The Master pizo

    Tujifunze BBMA strategy

    Habari za asubuhi wandugu poleni kwa majukumu ya hapa na pale Mungu atawapigania Siku yenu itakuwa njema kabisa. Tuwaombee Dua wagonjwa wote waweze kupata nafuu na kurejea kwenye shughuli za kunufaisha familia. Basi baada ya kutakiana Heri naomba leo nilete uzi ambao nitafundisha BBMA strategy...
  4. The Master pizo

    Fahamu jinsi ya kutengeneza pesa kutumia Mobile App

    Habari za leo wandugu! napenda kushirikishana nanyi jambo moja ambalo yamkini wengine walishalizungumzia au wanalifanya lakini sio mbaya na mimi nikiligua kwa nafsi yangu. kwa kipindi hiki cha sasa kumekuwa na wimbi kubwa la kukosa ajira na hivyo kupelekea mai9sha kuwa duni kwa baadhi ya watu...
  5. The Master pizo

    Spare za Canon Legria HF38

    Wakuu Habari za Leo tena Nina camera yangu jina tajwa hapo JUU Imezingua Mkanda wa display umekatika ni wapi napata spare?
  6. The Master pizo

    Simu yangu inasumbua Wifi

    Wakuu habari za jioni nitangulize shukrani zangu kwenu kwa sababu najua mtanisaidia katika hili Simu yangu TECNO W5 ina matatizo yafuatayo =Haiwashi WI-FI =Haiwashi BLUETOOTH =Haiwashi RADIO =GPS location yake inaniambia niko manyara au wkati mwingine inanipeleka zanzibari na mimi niko Bagamoyo...
  7. The Master pizo

    Hodi wenyewe, naomba ushirikiano wenu

    Hellow tme master pizo hapa nawakubali sana mnipe ushirikiano tu bhagosha
Back
Top Bottom