Jaman et uki apply diploma first selection ujawa selected ukienda pale NACTE kwenye tovuti yao upande wa afya wanasema congratulations unechaguliwa chuo fulan
Mimi kama sijaridhika naweza ku apply diploma second selection tena? Bila kuathiri first selection ile au hawawez ju request tena maombi...
Hellow kwenye hizi selection za diploma mdogo wangu kachaguliwa dar es salaam police academy medical lab hiki chuo kiko waaap kwa dar mwenye kukifahamu vip mazingira yake yanafana?
Hellow kwenye hizi selection za Diploma mdogo wangu kachaguliwa Dar es Salaam Police Academy Medical lab. Hiki chuo kiko wapi kwa Dar?
Mwenye kukifahamu vipi mazingira yake yanafana?
Guys kwenye application za chuo nimeona kuna baadhi ya vyuo vinatoa program ya radiology wengine radiograpy napenda kujua kama zina tofautiana nini hasa? Au ni moja tu
Binafsi hua nashangaa sana sipingani na kupanda kwa bei ya mafuta lakini hua nashangaa mchakato unavokua
Mara nyingi EWURA ndio hutangaza bei mpya lakini sijawahi kuona wakitangaza bei mchana mpya wanatoaga taarifa USIKU wa manane asubuhi unaamka unaambiwa tu mafuta yamepanda unaenda kununua...
Eti jamani, haya masoda ya bila sukari mwenzenu nilifikiri hayana kabisa sukari
Ajabu ukinywa hayana tofauti na yale ya kawaida au hii sukari wao wanaona ni ndogo mbaya zaidi watu wenye matatizo ya afya nao utasikia naomba hio bila sukari lakini leo nimekunywa moja naona haina tofaut na za...
Hellow naomba kuelewa hv kama nimepata GPA Nzuri ya 4.7 clinical Medicine naweza kupata MD Muhimbili au vyuo vingine vyenye hadhi nzuri?
Au hakuna muongiliano kati ya CLINICAL MEDICINE na MD Degree?
Bwana eeh niende moja kwa moja kwenye maada
Unakuta kuna mdada unamkubali sana goodluck unakuta yuko charm yaaan mchangamfu akikuona lazima akutaje jina kwa bashasha may be let say jina lako innocent utasikia innooooooooo yaaan kawaida kukuita ita ila ukimbamba ukatia vocal ana piga chin...
Wakuu samahani Niko na dogo nataka kumfanyia application sasa naomba muongozo namna ya kufanya application kwa vyuo vyote serikal na private
Je na apply kupitia NACTE au naenda kwa Chuo direct?
Ebhan hapa Dar unaweza pita kwenye nguzo wamebandika tangazo la kazi mara nyingiiiiii mnooo mfano Ds max wanahitaji watu wa kazi wanakuandikia kabisa mshahara may be 275k nafasi za kazi zimegawanyika mfano.
Ofisini
Store keeper
Usambazaji
Udereva
N.k
Nataka kujua kwa wenye uzoefu wa hizi kaz...
Wakuu nianze mimi apa nafanya sensa application lakn wananambia namba ya form 4 imekwisha Tumika lakin sikupata username na password kwa njia ya email na system inakubali mara moja tu naomba kujua kama kuna mtu kapata tatizo kama langu kalitatuaje?
Ebhna kama mnavoona hapo picha hivi hua wanatumia category gan kufanya selection kwamba ni based on country yaaan kwamba wanafanya labda kila nchi ambayo ni eligible wana idadi fulan kutoka nchi hiyo au hua ni random sampling kwamba yawezekana mfano kenya wakawepo applicants lakn asiwe selected...
Oyaa wale wa DV program green card lottery leo ndio May 7 ya kuanza kuchek entry Status for further processing
Sasa mimi nimeandika yangu imeanza na 2023 inaniambia invalid hata ku process haitaki lakini nikibadili nikaweka 2022 ndio angalau hata ina process
Sababu ni nini nimewahi kuchek sana...
Habarini ndugu wana JF niende moja kwa moja kwenye maada hapa.
Wakati nakua nilizaliwa kwenye familia ya kawaida sana baba yangu alikua mwalimu mama alikua mjasiriamali
One thing nili notice nikiwa shule niko mdogo nilikua nasikia hakuna kazi ya kijinga kama ualimu kwanza pesa hawana piaa...
Binti mmoja alikuwa akiendesha gari akiwa na baba yake. Wakiwa njiani ghafla mvua kubwa ikaanza kunyesha na kuleta tufani, yule binti akamuuliza baba yake, "Nifanyeje?" Baba yake akamwambia "endelea kuendesha"
Magari yakaanza kusimama na kuegesha pembeni kwa kuhofia tufani ambayo ilikuwa kubwa...
Je, Wajua?
Mara ya mwisho Bwawa la Mtera kufunguliwa ili kuruhusu maji yapungue ilikuwa 21/3/2020 na haikuwahi kufanyika hivyo toka mvua za El Nino mwaka 1997/98
Je, Wajua?
Ujenzi wa bwawa la Mtera ulianza enzi za Nyerere, mwaka 1970 na lina ukubwa wa 'catchment' kilomita za mraba 68000
Je...
Baada ya kumaliza Jan, utagundua 2022 haina utofauti wowote na 2021. Kila kitu kitaendelea kuwa kama kilivyokuwa, except ukibadilika.
Sasa 2022 unapinduaje matokeo...
1/Kwanza niseme 95% ya vitu nitakavyoandika vinatokana na personal experiences, knowledge, research, observations and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.