Search results

  1. Vishu Mtata

    Mapenzi ni kitu cha ajabu sana

    Bila shaka ni wazima mpaka mnasoma hapa. Hiki kitu aisee ni cha ajabu ni kama kinajicontrol chenyewe kwa namna fulani ya ajabu sana. Kipindi ambacho unahitaji mwenza wa kuanza naye safari ya maisha, hupati hata ile ng'o. Lakini kipindi unatongoza hovyo wengi wanajirahisisha, wife material...
  2. Vishu Mtata

    Naomba maana ya hii qualification

    Education of the fourth form and continuing in other fields including the field of mechanical spare parts manufacturing, automotive engineering, domestic and industrial electricity, IT, automotive electricity and solar electricity;
  3. Vishu Mtata

    Msimu huu wamekosa kila kitu, ni robo tu..

    Kama utani vile, ndugu zetu hawana chao huu msimu. Bundi kasimama juu ya bati lao, hamna waliloambulia msimu huu. Tusiwasimange tuwape pole, na wao wasibeze mafanikio ya waliowashinda bali wajifunze na sio vibaya wakituuliza tumewezaje. Hatuna hiyana mbinu zetu tutawapeni, msijitie kibri...
  4. Vishu Mtata

    Ihefu aanza vibaya tena ligi kuu

    Leo mbungi ilikua inapigwa kule ubaruku kati ya ihefu na ruvu shooting. Kama ule msimu aliopanda daraja mechi ya kwanza alipigwa na mnyama na leo tena ruvu wamembonda tena hukohuko ubaruku. Aisee mwanzo mbovu kabisa, mechi ya kwanza tena nyumbani na unabutuliwa. Ila wamejitahidi kadri ya...
  5. Vishu Mtata

    Likizo imeanza, tulia kwako kina junya wapo makwao

    Wakuu sina haja ya salam. Huu ni ushauri tu kwa nyie mnaopenda visafari vya hapa na pale. Watumishi wa kada ambazo zipo likizo kama walimu nawashauri mtulie tu makwenu. Kwanini nasema hivo, hii likizo ni ndefu kina junya nao hawaendi shule wapo tu wanaangalia katuni nyumbani kwao, ili...
  6. Vishu Mtata

    Hali ya joto kali bara la Ulaya (Europe)

    Wakuu hili joto kipindi hiki ulaya ni kwanini inatokea hivyo, huku kwetu ni baridi na maeneo mengine ni baridi kali kwelikweli, Mbeya, Arusha, Moshi, Kagera, Iringa(baadhi ya maeneo), Njombe(Makete), hali ni tete. Baridi maeneo hayo ni kali mno. Hadi baadhi ya wananchi wa maeneo ya jiji la...
  7. Vishu Mtata

    Katika bara la Antarctica kuna vitu vinafikirisha

    Antarctica Kuna kitu kinanifikirisha sana kuhusu hili bara lisiloongelewa sana. Wakati nasoma tulisoma mabara yote 6 vizuri kabisa na jamii ziishizo huku zinafahamika lakini tukaambiwa hili bara halikiwi na binadamu kwasababu ya baridi lake kali. Je ni halikaliwi au halikuwahi kukaliwa...
  8. Vishu Mtata

    Kuota mambo ya shule ni nini tafsiri yake??

    Wandugu hivi hii ishu ya kuota mambo ya shule mara kwa mara huwa ina maana gani kiroho!?? Nimekua nikiota ndoto kua nipo shule eidha o'level au advance na mara chache primary na chuo ila za o'level na advance ni kama kila siku tu. Mwanzo nilikua napuuza lakini naona sasa inakua too much...
  9. Vishu Mtata

    Ndoto ya leo imenifikirisha sana

    Habari wakuu, Usiku wa kuamkia leo nimeota kua napanbana na watu wenye nguvu za giza. Zamani kidogo imani nilikua nayo kiasi yani ilikua nikiota ndoto za namna hii basi huwa nawashinda vikali hao mahasimu wangu, na wala sikua naona kama kuna shida juu ya hizo ndoto. Lakini hii ya leo iko...
  10. Vishu Mtata

    Msaada kuhusu wi-fi

    Habari za majukumu wadau. Ndgu yenu simu yangu hii napata mkanganyiko kutumia wi-fi. Naomba mnijuze nifanye utundu gani niwe najiunga aisee, sometimes hata mtu akiniwashia hotspot basi mpaka kuunganisha hapo ni kisanga kinoma. Mpaka sijui uscan QR code, sasa ni freewife ya mahali fulani labda...
  11. Vishu Mtata

    Vipi ilishawahi kukutokea hii?

    Unenda zako mahali, umenyuka pamba zako freshi halafu namna gani vipi umebugi step, umeruka kojo ukakanya nnya 😂😂
  12. Vishu Mtata

    Naomba kujuzwa bei ya kipimo cha VVU

    Habari wakuu, Naomba kujua bei ya kipimo cha VVU kile cha kujipima mwenyewe, sijui kisayansi kinaitwaje nadhani wajuvi mtakuwa mmenielewa. Na je kinahitajika hicho tu au kuna viambata vingine. Nikipata maelekezo jinsi ya kukitumia nitashukuru sana. Natanguliza shukrani.
  13. Vishu Mtata

    Ningemshauri huyu dada lakini ndio hatuna mazoea kabisa

    Huyu dada ni mpangaji mwenzangu hapa Kunecity (DSM). Hii ishu ilianza wiki kadhaa nyuma nilimskia mpanga mwenzangu akiongea na ndugu zake wa kaskazini uko nadhani ni moshi. Alikua anawashawishi kutoa kiasi kadhaa si chini ya laki 5 alianza na mwanamke akamshawishi kwa siku kadhaa uyo bidada...
  14. Vishu Mtata

    Ushauri wa biashara

    Habari wakuu, Natumai mmeunza vyema mwaka huu mpya. Nijikite kwenye mada yangu. Mimi ni kijana ninaemaliza chuo mwaka huu 2021. Baada ya kuona changamoto ya ajira mtaani hasa kipindi kile cha likizo ya corona mwaka jana nimeona hata kupata kazi tu ya kujishkiza ili kusukuma maisha ni kazi mno...
  15. Vishu Mtata

    Corona updates - Tanzania

    Habari zenu wanajamvi, Ni imani yangu mu wazima wa afya na mnaendelea na ujenzi wa taifa letu. Tukijikite katika mada, taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya mnamo tarehe 14 March 2020 ambayo ndiyo leo inasema kuwa wageni walioingia nchini mnamo tarehe 13 March 2020 ambao walitokea Denmark na...
  16. Vishu Mtata

    Nahitaji kitanda 5/6

    Nahitaji kitanda 5/6 kama nilivotaja hapo juu. Ofa yangu ni TSH 90,000/= tu. Njoo PM kwa maelewano zaidi NB: Napatakana Dar es salaam Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom