Search results

  1. Nyamwezi Boy

    Vodacom, huu wema umeanza lini?

    Mkuu, si kifurushi cha internet pekee, hata SMS na kupiga simu. Unaweza kusitopisha salio la kawaida lisitumike.
  2. Nyamwezi Boy

    Wahitimu wenye alama za kawaida wanafanya vizuri sana kwenye kazi

    Vipi kuhusu Bcom in Accounting, Bcom in Finance, Bcom in Banking and Financial services hapo UDSM
  3. Nyamwezi Boy

    Changamoto tunayopaswa kukabiliana nayo

    Shukrani sana, na kwako pia.
  4. Nyamwezi Boy

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Kati ya tarehe 9-11 mwezi wa 10, au kabla ya tarehe hizo selection itakuwa tayar
  5. Nyamwezi Boy

    Njia ya rahisi ya kumkamata mtu anayekudanganya/muongo

    BADILISHA KICHWA CHA THREAD YAKO KIWE KWENYE LUGHA YA ENGLISH. ILI SIE AMBAO HATUJUI KIZUNGU TUPITE MBIO.
  6. Nyamwezi Boy

    Uchaguzi 2020 Lissu kuzungumzia tozo kwa wajawazito Sumbawanga, ni kweli zipo ndugu zangu CCM au anadanganya?

    Mkuu, hiyo avatar yako inanikumbusha machungu sana. Nikweli kodi ya uzazi ipo hata mkoani Tabora kinamama hulipishwa kodi baada ya kujifungua
  7. Nyamwezi Boy

    Ujio wa Sex Dolls: Dunia inaenda kasi

    Hahahahah, Mkuu unahasira sana
  8. Nyamwezi Boy

    Bodi ya Mikopo (HESLB) yafunga dirisha la maombi

    Hiyo ni fedha ya wanufaika wote kuanzia first year nakuendelea. Mkopo kwa first year ni kwawanafunzi 54,000
  9. Nyamwezi Boy

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    kutokana na TCU umekizi vigezo
  10. Nyamwezi Boy

    Je, kijana aliyemaliza HKL form 6 anaweza kwenda kozi gani nzuri chuo kikuu?

    Omba Business Administration but sio UDOM na UDSM maana wanataka C Mathematics o level
  11. Nyamwezi Boy

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Shukrani sana Mkuu, Achana na mimi kunajamaa alipiga HGK ana CBC na O level C Mathematics, je kunaambao ulisoma nao wakitokea HGK,HGL au HKL?
Back
Top Bottom