Search results

  1. Ahmad Mussa

    Uzi maalum: Wapenda mazoezi ya viungo tukutane hapa kwa maoni, ushauri, aina za mazoezi, faida zake n.k

    2020 nani anaendelea na mazoezi?? Nimeumia kidogo mazoezi ya kukimbia nimesimamisha.
  2. Ahmad Mussa

    Nauza Landrover 110 Pickup

    Haipo katika hali mzuri kwani Iligonga mti na kuharibika show ya mbele kioo na Rejeta Sio Pickup Original Lakini imekatwa kwa ustadi Mkubwa sana na kuwa Pickup, Engine ni Petrol main 3, Ina Distributor ya 'magneto' Inatembea kwani iligonga mti Msituni umbali wa Km 64 kutoka kijijini Nanjilinji...
  3. Ahmad Mussa

    Jeffery Smith:Tundu Lissu is one of the bravest humans I ever met

    Mkuu ufafanuzi kidogo, LISU tunamfahamu, huyo SMITH ni nani?
  4. Ahmad Mussa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa mimi Fundi Seremala naona kazi yangu na Kubet hazina tofauti wacha niingie huku huenda nitapata maarifa ya kupoza machungu ya mbao walizokamata Jana.
  5. Ahmad Mussa

    Wapi nitapata Bata Mzinga?

    Ahsante Mkuu nitakuja huko baada ya wiki 2
  6. Ahmad Mussa

    Wapi nitapata Bata Mzinga?

    Ok Ahsante mkuu niko Mtwara.
  7. Ahmad Mussa

    Wapi nitapata Bata Mzinga?

    Wakuu nina shida ya Vifaranga, au bata mzinga pia ndege wengine wafugwao majumbani lakini si Kuku,Kanga na bata wa kawaida. Wapi naweza kuwapata na bei zao zikoje?
  8. Ahmad Mussa

    Hatari,Vodacom M-PESA si salama

    Uko serious mkuu?
  9. Ahmad Mussa

    Hatari,Vodacom M-PESA si salama

    Mkuu uko sahihi binafsi niliwapigia simu dakika mbili baada ya tatizo kutokea lakini mpaka leo VODA wameshindwa kunirudishia Tsh 38,000 tu. Kweli mfumo wao si nzuri sana wanatakiwa kurekebisha ili mtu uweze kuthibitisha kama wanavyofanya TIGO.
  10. Ahmad Mussa

    Hatari,Vodacom M-PESA si salama

    Dah, kumbe ni wengi nilifikiri nikopeke yangu yaani hawa jamaa wa Voda sijui vipi. Hata miminaambiwa nisichoke kupiga simu na mpaka sasa nimepiga zaidi ya mara 20 kudai shilingi 38,000 tu ambazo zilienda kwa wakala mwingine Hata miminashangaa kwani sikuandika namba ya huyo wakala sijui...
  11. Ahmad Mussa

    Rais Kikwete "NAKUSHAURI UJIUZULU"

    Kaka garama za uchaguzi ni kubwa 2013 sio mbali ni bora tukisubiri tu.
  12. Ahmad Mussa

    Kwa wasomaji wa Riwaya na hadithi, Someni hii!

    Buchana bado hujamaliza?
  13. Ahmad Mussa

    Kwa wasomaji wa Riwaya na hadithi, Someni hii!

    Omonto, tafadhali rudi hapa nakuhitaji na wewe pia, hao niliowataja moja kwa moja ni kwa sababu nimewahi kuwaona kwenye Fani husika.
  14. Ahmad Mussa

    Kwa wasomaji wa Riwaya na hadithi, Someni hii!

    Ningeshukuru kama mzee mwanakijiji angepita hapa.
  15. Ahmad Mussa

    Binti wa kihindi ananitesa...

    Feedback GAZETI.
  16. Ahmad Mussa

    Kwa wasomaji wa Riwaya na hadithi, Someni hii!

    Habari, nimetunga riwaya ambayo nategemea nitapata maoni yenu kwani iko mbioni kuchapishwa. Na hapa nimeona niwawekeeni kitabu hicho na nitarudi kupata maoni yenu baada ya kukisoma. Nategemea sana maoni na ushauri wenu wana JF wote ambao ni wapenzi na washabiki wa Riwaya. KARIBUNI.
  17. Ahmad Mussa

    Yanayojiri barabara ya Dar-Mtwara

    Sio watu wa kusini mkuu, ni Watanzania kwa ujumla, hujasikia bungeni wanajichekea 4% ya Mrahaba katika madini wakati Botswana wanachukua 40%?
  18. Ahmad Mussa

    Nahitaji ushauri wenu wakuu!

    Nakusudia kutoa kitabu chenye jina la MZIGO naomba katika haya majalada yaliyopohapa chini muweze kunishauri ni lipi lina mvuto zaidi.
Back
Top Bottom