Rais wa Jamhuri ya Muungano anaamini katika kuwatumikia wananchi kwa uadilifu. Kwa nyakati tofauti Rais amesikika akipiga marufuku michango ya hovyo hovyo inayogeuka kero kwa wananchi.
Kwa ujasiri bila kuogopa, Mkuu wa Wilaya ya Tabora Manispaa anatenda kinyume.
Kuna viashiria vya ubadhirifu...
Pamoja na tambo na matusi ya Polepole dhidi yao lkn wamemuonesha Bashiru kuwa lazima awe na adabu kwa wakubwa.
Waliitwa kuhojiwa Dodoma, wamegoma kwenda CCM ikabadili venue kutii misimamo yao.
Kinana alipofika Baahiru aliishia kuamkia na baada ya hapo Kinana ndie kawahoji Bashiru na Mangula...
Ndugu wana JF, kila mmoja amesoma tamko la hasira la Marekani juu ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ndugu Paul Makonda.
Kwa desturi za USA, mlengwa mkuu hapo ni Rais Magufuli na serikali yake, walichofanya ni kuipima serikali yetu itamfanya nini Makonda baada ya wao kutangazia Dunia kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.