Search results

  1. K

    Katika teuzi za Rais Samia, nani waondoshwe kazini kwenye kapu la Wakuu wa Wilaya?

    Wanabodi Salaam, Naandika haya nikitambua kuwa kwa Mamlaka ya Rais. Rais hatalazimika kufuata ushuri wetu pindi atakapo kuwa akitimiza majukumu yake kwa mujibu wa katiba. Hata hivyo ni muhimu kwa Rais kupitia ushauri wa wananchi anaowaongoza kwa kuwa mamlaka yake yametoka kwa wananchi. Rais...
  2. K

    Baada ya Bunge kufunguliwa Minyororo na Rais Samia ,Sasa naweza kutazama mjadala wa Bunge.

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza nipongeze kwa dhati kabisa hotuba yenye dira kwa taifa iliyotolewa na Rais wetu. Katika hotuba yake Rais Samia alisisitiza wabunge kujadili maswala badala ya kujadili mambo madogo na ya hovyo kama alivyo wahi kusema Prof Mussa Assad. Mh.Rais Samia alisisitiza...
  3. K

    Rais Samia kuwa makini na waliokuzunguka unapoteua Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi

    Kwako Mh.Rais sisi wananchi wa kawaida tunakuombea sana kwa Mungu mwingi wa rehema akuongoze katika kuliongoza taifa letu. Unapoendelea kupanga safu yako ya kukusaidia kuongoza, natamani kuona ukiweka watu watakao kusaidia kutafsiri yake unayoelekeza kwa sauti yako ya upole tena ukitumia neno...
  4. K

    Baada ya tetesi za Rais Magufuli kutembelea Mkoa wa Tabora, Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini Komanya Kitwala abadili gia angani

    Nianze kwa kuwasalimu wana jukwaa. Moja kwa moja kwenye mada. Kuna uvumi na tetesi za Mh. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kutembelea Mkoa wa Tabora (Tabora mjini) Yapo makatazo Mh. Rais aliyatoa kwa wakuu wa mikoa na wilaya kuhusu michango. Komanya Kitwala alikaidi agizo la Rais na...
  5. K

    Mkuu wa Wilaya ya Tabora nani anampa kiburi cha kudhalilisha Watumishi wa Umma?

    Huyu ni Mkuu wa Wilaya ambae ukimsikiliza, unaweza kuhoji aliwezaje kuwa mkuu wa wilaya katikati ya Watanzania wengi wenye sifa na wenye busara za uongozi. Awali alipoandikwa humu wengi tuliamini anaomewa lkn baada ya kufanya naye kazi ni kiongozi mwenye kiburi na majivuno kupita kiasi. 1...
  6. K

    Uchaguzi 2020 Waraka kwa watumishi wa Umma kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kada ya watumishi ndiyo injini inayoendesha na kutekeleza kazi za serikali. Wanasiasa wote hata wanapojibu vizuri maswala mbalimbali basi majibu wanayatoa kwa watumishi wa Umma. Watumishi wana haki na wajibu Wajibu wao ni kufanya kazi kwa mujibu wa sheria. Watumishi wa Umma katika awamu ya...
Back
Top Bottom