Search results

  1. msela wa mbagala

    Tetesi: Fainali waliyofika makolo ya kombe la Comred Abiola hawakutoa medali za mshindi wa pili

    Mwenye ufafanuzi wa hili jambo atupe elimu kidogo. Inawezekanaje mshindi wa pili wa kombe akakosa medali??
  2. msela wa mbagala

    Kama Mo kajiuzulu amepata wapi Mamlaka ya kuteua?

    Hii taasisi ya simba ishawekwa mfukoni aiseh. Utaratibu wenu ukoje mtu alojiuzulu anapata wapi mamlaka ya kuteua? Na ile midoli itaitwa friends of nani maana tajiri anasafari nyingi😆😆😆😆
  3. msela wa mbagala

    Wananchi (Yanga SC) njooni huku tufurahi

    Burdaaan murua kabisa,
  4. msela wa mbagala

    Kero: EATV, Star tv na Star times badilikeni mnatukera watazamaji

    Mimi ni mpenzi wa vipindi vya mijadala ya kisiasa na michezo, kwenye mijadara ya siasa nawaangalia sana ITV hata taarifa ya habari sijaona yenye mvuto kama ITV, na kwenye michezo nimeapa kumfata kokote atakapoenda maulidi kitenge kwahiyo nawaangalia wasafi na kuwasikiliza. Naomba Nikiri tu...
  5. msela wa mbagala

    Ndugu zangu wana Yanga tujipongeze kwa hili

    Wasalaam wana bodi. Kwanza nianze kutoa kongole kwa uongozi wa club yangu ya young African (yanga a.k.a wakimataifa). Tulichofanya tarehe 30 jumapili pale kwa mkapa ni uthibitisho kuwa yanga ni brand kubwa Africa, sherehe zilifana sana kuanzia burudani safi tulizoona na ubunifu uliofanyika. Huu...
  6. msela wa mbagala

    Mwanayanga mwenzangu Jerry Muro hongera huko uliko

    Jana ilikua siku nzuri sana kwangu kama shabiki wa yanga, ushindi wetu dhidi ya gwambina kwenye mechi yetu kombe la shirikisho ulikonga nyoyo za wananchi kokote duniani. Ewe mkuu jerry muro mwanayanga mwenzangu nikiri tu kuwa nimekuwa nafurahishwa na namna unavyoiongelea yanga. licha ya style...
  7. msela wa mbagala

    Mwaka wa uchaguzi umefika, tusishangae sana

    Huu ndo mwaka ambao wanasiasa tutacheza nao draft, mpira na bao. Ni mwaka ambao wanasiasa watabeba ndoo kichwani. Ni mwaka ambao usishangae kumuona mwanasiasa akishinda kijiweni. Ni mwaka ambao ligi za mpira za hovyo nyingi tutaziona. Msishangae sana. Msishangae sana kukutana na mwanasiasa...
  8. msela wa mbagala

    Shafii dauda (kanjanja) iposti hirizi ya kagere (kikongwe)

    Nchi hii imejaa waandishi wa habari na watangazaji uchwara sana wakiongozwa na huyu shafii pamoja na osca osca yaani vichwani watupu kabisa, unaweza ukajiuliza hawa jamaa wanauwezo gani wa kufikiri. wamekua watu wa chuki dhidi ya yanga za wazi wazi kabisa. najua huko uliko umenuna ila posti ile...
Back
Top Bottom