Search results

  1. msela wa mbagala

    Tetesi: Fainali waliyofika makolo ya kombe la Comred Abiola hawakutoa medali za mshindi wa pili

    Mwenye ufafanuzi wa hili jambo atupe elimu kidogo. Inawezekanaje mshindi wa pili wa kombe akakosa medali??
  2. msela wa mbagala

    Ili liwimbo nalidedikate kwako Mh Rais! Kula dude

    😂😂😂😂Best naso kaanza lini kuwa mwanaharakati
  3. msela wa mbagala

    Mayele ni maarufu nje na ndani ya Tanzania

    Hongera sana kwa ufafanuzi mkuu. Rekodi nyingine amewapasua makolo bao tatu zote kwenye ngao ya hisani
  4. msela wa mbagala

    Mayele ni maarufu nje na ndani ya Tanzania

    Mayele ndo mchezaji pekee kufunga hat trick mbili club bingwa. Case closed
  5. msela wa mbagala

    Huku mganga wao wa kienyeji akiwataka kutumia tu jezi nyeusi, Bodi ya Ligi muda wowote kuipa Yanga SC adhabu kali

    Simba jielekezeni kwenye kufanya maboresho ya timu yenu, malalamiko hayatawasaidia chochote
  6. msela wa mbagala

    Mtu akiniuliza kama nimeajiriwa naumia sana rohoni. Kuna mwingine ameshawahi experience hiki?

    mkuu usichukulie kila kitu negative wengine wanakuuliza waone kama unaweza fit kwenye fursa walizonazo.
  7. msela wa mbagala

    Binadamu tumeumbiwa kusahau

    shule zifunguliwe sasa makolo yarudi darasani
  8. msela wa mbagala

    PRIVALDINHO

    Mkuu unashida gani na priva?? Mbona hoja zako nyingi za kibinafsi sana. Kuna ulazima wa huyo priva kuandika kihusu senzo??
  9. msela wa mbagala

    Naomba kupata muongozo kama kweli inawezekana kubadili cheti

    Hii nchi haitaisha vituko😆😆😆😆.
  10. msela wa mbagala

    Hizi jezi za Yanga hadi kufikia siku ya Mwananchi zitauzwa 60 Tzs

    Jezi zilizozinduliwa ni kwa ajili ya msimu mpya. Kwa mujibu wa ratiba msimu mpya haujafunguliwa dogo, ufunguzi wa msimu mpya ni mchezo wa awali wa ngao ya hisani. Makolo mengi hamnazo. Siku nyingine ukiwa hapo kwa shemeji yako umepandisha miguu sebuleni uwe na akili.
  11. msela wa mbagala

    ATI wanaita Msosa

    Makolo yana makombe matatu M- Mpole cup So- Sopu cup Sa- sakho cup. Na jana yamecheza na timu inaitwa Abuhamad🤣🤣🤣🤣
  12. msela wa mbagala

    Ubunifu wa Manara umeshuka, Mwijaku anahitajika haraka

    makolo kila siku yanaanzisha nyuzi mpya, ndo maana nasema humu wengi wa makolo hawana akili. taasisi smart kama yanga haiwezi kusemewa na huyo Mwijaku. Mwijaku na Kay mziwanda waendelee kuionglea timu yao ya damuni ya Makolo. Na nakupa onyo la mwisho ukiendelea kutumia hii ID yako hii kuleta...
  13. msela wa mbagala

    Okrah aikamua Simba Sh460 milioni, aliikacha Yanga

    😂😂😂😂 Ficha upumbavu wako hukohuko Bunju kwa makolo wenzio
  14. msela wa mbagala

    Okrah aikamua Simba Sh460 milioni, aliikacha Yanga

    Makolo wengi hawana akili.
  15. msela wa mbagala

    Mzozo wa Yanga SC na ENDA Tour: Yanga yatakiwa kulipa milioni 200 au kupelekwa FIFA

    Kama kawaida yake jemedari anatafuta namna ya kufurahi baada ya maumivu yasiyoisha msimu mzima. Plus usajiri wa aziz ki jana. Itakua amelia sana
  16. msela wa mbagala

    Ili kumaliza ubishani timu gani ina mashabiki wengi kati ya simba na yanga nashauri kiwekwe kipengere cha kuuliza swali hilo kwenye sensa ya Agosti 23

    Siku zote nasema baadhi ya makolo wana changamoto ya afya ya akili hamuamini. Ona huyu mtoa mada
  17. msela wa mbagala

    Tuulizane juu ya usajili uliokamilika mpaka sasa Kati ya simba na Yanga

    Makolo wengi wana matatizo ya afya ya akili.
Back
Top Bottom