Baada ya kugundua kw kazaa nje ya ndoa na wakajua nitajua wakamshauri abadilishe hati za nyumba na magari kwa kuhofia nitamfilisi aandike jina la mwanangu mdogo wa kiume.
nimejiweka pembeni kabisa,Sitaki anisogelee kwani sina uhakika na afya yake,Na ninaendelea kutafuta jins ya kumsaidia kwani all in all ni mzazi mwenzangu,Na pia lazma nihakikishe mali zote nilizochuma naye zinabaki mikononi mwa wanangu.
Kama nilivyowah kuwaeleza manyanyaso toka kwa mama mkwe na mawifi baada ya kukataa wasinitawale,Na hatimaye mume wangu akajiunga nao na kuninyanyasa nilipokua mjamzito na kunisababishia matatizo makubwa na kunipelekea kujifungua mtoto (boy)wa miez 7...na baada ya kujifungua mume wangu akahama...
why should i do that? Naona km nitakua naidhulumu nafsi yangu na atanidharau kwelikweli,naanini tendo la ndoa ni hiari so km ananipenda akae chini na mimi anieleze tatizo na kama hanipendi bora anipe uhuru. Yote mawili hataki
usemavyo ni kweli,Sikupenda kutoa siri za ndani kwangu lakini kutokana na hali halisi nimeamua kumweleza baba mkwe,japo sijamweleza kwa undani sana kutokana na jinsia yake ila nimemweleza kuwa mwenzangu kahama chumba miez 8 sasa,Namwomba aongee naye ili anirudishe kwetu,Nadhani baba alinielewa...
hata mimi ninaamini hivyo,na hakika nimekata tamaa na mapenzi naye yamepungua kabisa mana sipendi mtu mzinzi ila nashindwa nichukue uamuzi gani kujisaidia hisia zangu
Anadai sababu kuu ni mimi kutowatii dada zake hivyo ameamua kuhama chumba ili na kukata huduma ya chakula cha usiku kwa miez 8 sasa kunikomoa...
Ni kweli kabisa kuwa mimi na dada zake tumeshindwa kuelewana kabisa kutokana na wao kutaka kunipangia masharti nyumbani kwangu jambo nililolipinga...
Nashukuru sana kwa kunifariji na kunipa ushauri,Naahidi kuufanyia kazi na anzia leo narudi chumbani kwangu na nitakua ngangari kinoma akitaka asepe yeye,NIMECHOKA na nitarudi kuwapa matokeo.MBARIKIWE SANA
hapana mimi sio golikipa,ninafanya biashara na zinaniingizia kipato cha wastani ndo mana nimeweza kulea ujauzito mwanzo mwisho,Na hadi sasa namlea mwanangu.
anasema kwanini nilikataa kuhamia kijijini nikaishi nimlee mama yake....ni kweli niligoma kumwacha mume wangu mjini na kwenda kuish kijijini na mama mkwe,jambo ambalo lilileta chuki na hasira kwa wifi zangu na mama mkwe mpaka kufikia hatua ya kumshawish kaka yao aniache aoe mke mwingine, na...
walinipasua na kunitoa mtoto wa kiume lakini alikua hawez kuhema vizuri,Wakamwekea oksjen ikamsaidia na anaendelea kukua vzuri...,Baada ya kujifungua visa ndo vimezidi,Mume wangu amenitenga kbs hataki kuskia habari zangu wala za mtoto, na alishanifukuza chumbani kwetu siku nyingi toka nikiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.