Search results

  1. CUF Habari

    #COVID19 CUF: Hali ya maambukizi ya Covid-19 nchini Tanzania na hatua za kuchukua

    TAARIFA KWA UMMA HALI YA MAAMBUKIZI YA COVID- 19 NCHINI TANZANIA NA HATUA ZA KUCHUKUA Ndugu wanahabari! Karibuni tena kwenye Ukumbi huu wa Shaaban Khamis Mloo ambapo CUF- Chama Cha Wananchi kinaongea na Umma wa Watanzania kwa mara nyingine kupitia kwenu. Awali ya yote ningependa kumshukuru...
  2. CUF Habari

    Chama cha CUF: Buriani Maalim Seif Shariff Hamad

    TAARIFA KWA UMMA NI MSIBA MZITO SANA! BURIANI MAALIM SEIF The Civic United Front CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa sana Taarifa ya Kifo Cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT-WAZALENDO Mheshimiwa Maalim Seif Shariff Hamad kilichotangazwa...
  3. CUF Habari

    Prof. Lipumba aendelea kudai Katiba Mpya kwa Rais Magufuli

    TAARIFA KWA UMMA PROF. LIPUMBA AENDELEZA ALICHOAHIDI NOVEMBA 2, 2020: AMPA MAKAVU RAIS MAGUFULI KUHUSU KATIBA MPYA: Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim H. Lipumba ametoa wito kwa Rais John Pombe Magufuli kutekeleza ahadi yake ya Kukamilisha kazi ya Kupata Katiba Mpya inayotokana...
  4. CUF Habari

    CUF- Chama Cha Wananchi kinapokea kwa mstuko Mkubwa Taarifa za kuenea kwa kasi kwa Maambukizi ya CORONA katika maeneo mbalimbali ya Dunia

    TAARIFA KWA UMMA CUF- Chama Cha Wananchi kinapokea kwa mstuko Mkubwa Taarifa za kuenea kwa kasi kwa Maambizi ya CORONA katika maeneo mbalimbali ya Dunia ikiwa ni pamoja na nchi jirani na Tanzania. Japokuwa takwimu halisi za Maambukizi kwa Tanzania haziko bayana, wadau mbalimbali wakiwemo...
  5. CUF Habari

    CUF: Vikwazo vya Marekani na Uingereza dhidi ya Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA MISIMAMO YA MAREKANI NA UINGEREZA DHIDI YA WATANZANIA KUKANYAGA ARDHI ZA MATAIFA HAYO: CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea Matamko ya Mataifa makubwa ya Marekani na Uingereza kwa namna tofauti. Wakati Marekani ikipiga Marufuku Maafisa walioshiriki kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa 2020...
  6. CUF Habari

    Mauaji ya Januari 26/27 , 2001 na Madai ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    *MAUAJI YA JANUARI 26/27 NA MADAI YA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI CUF- Chama Cha Wananchi kinaendelea na Maandalizi ya Maadhimisho ya Mashujaa wa Chama waliouawa kinyama Januari 26 na 27 mwaka 2001. Kama tunavyokumbuka Mauaji makubwa na ya Kinyama yalifanywa na Utawala wa CCM tarehe...
  7. CUF Habari

    Prof. Lipumba amrarua Trump, alipongeza Bunge la Marekani

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya vurugu zilizofanywa na waandamanaji waliovamia Bunge la Marekani kwa Lengo la kulilazimisha Bunge la Marekani kubadilisha Matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Novemba 3, 2020 yaliyompa Ushindi Joe Biden...
  8. CUF Habari

    CUF: Liwale inahitajika Tume huru ya Uchaguzi

    CUF-CHAMA CHA WANANCHI. TAARIFA KWA UMMA. LIWALE INAHITAJIKA TUME HURU YA UCHUNGUZI.
  9. CUF Habari

    CUF inawatakia wananchi heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2021

    CUF-CHAMA CHA WANANCHI HERI YA KRISSMASI NA MWAKA MPYA 2021
  10. CUF Habari

    CUF yazindua Kongamano la kudai Katiba mpya, yataka maoni ya wananchi kuheshimiwa

    CUF ndo chama chenye roho ya paka na kamwe hakiwezi kufa hivyo wasijidanganye Kama wanaweza kukiua chama Cha CUF. Nawaambia watanzania Prof. Lipumba ni rafiki wa kweli na ni kiongozi jasiri na mtetea haki za wanyonge. #UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya #OfisiKuuYaChamaBuguruni.
  11. CUF Habari

    CUF yazindua Kongamano la kudai Katiba mpya, yataka maoni ya wananchi kuheshimiwa

    "Tunakushauri Rais Magufuli kwamba mda wako wa kuongoza ukiisha wasije wakakudanganya ukaongeza mda wa kuwa madarakani wakati mda wako vipindi vyako vitakuwa vimekwisha".-Prof. Lipumba. #UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya #OfisiKuuYaChamaBuguruni. ------ Chama cha CUF jana...
  12. CUF Habari

    Profesa Lipumba: Liwale hakupo shwari, Polisi wameua watu wawili sababu ule uchaguzi haukuwa huru na haki

    "Polisi wameua watu wawili Liwale kwa sababu ya uchaguzi haukuwa huru na haki sasa CCM kama hamtaki vyama vyingi mtuambie".-Prof. Lipumba. #UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya #OfisiKuuYaChamaBuguruni.
  13. CUF Habari

    Taarifa kwa Umma: Polisi wavamia mkutano wa ndani wa Uchaguzi jumuiya CUF Handeni

    TAARIFA KWA UMMA: POLISI WAVAMIA MKUTANO WA NDANI WA UCHAGUZI WA JUMUIYA CUF HANDENI: Jeshi la Polisi limevamia Mkutano wa Uchaguzi wa Jumuiya za CUF- Chama Cha Wananchi- Jumuiya ya Wanawake (JUKECUF) na Jumuiya ya Vijana ( JUVICUF) Handeni Tanga. Kwa mujibu wa Maelezo ya Naibu Mkurugenzi...
  14. CUF Habari

    Profesa Lipumba: Sisi CUF tutajikita kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    SISI CUF TUTAJIKITA KUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA" PROF. LIPUMBA" Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema hayo leo Desemba 9,2020 wakati alipokutana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi Kuu ya chama Buguruni. Prof. Lipumba alikutana na wenyekiti wa...
  15. CUF Habari

    Chama Cha Wananchi (CUF) kuzindua kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi Desemba 20, 2020

    CUF CHAMA CHA WANANCHI Desemba 20,2020 kitazindua rasmi kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kongamano hilo litafanyika katika ofisi kuu ya chama BUGURUNI . MWANACHI, MWANACHAMA WA CUF WOTE MNAKARIBISHWA.
  16. CUF Habari

    Prof. Lipumba amemteua Mbarouk Seif Salim kuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar

    TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa CUF- Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim H. Lipumba , kwa kutumia Mamlaka yake ya Kikatiba, amemteua Mheshimiwa Mbarouk Seif Salim kuwa Kaimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar kuanzia leo Desemba 2, 2020 kupitia barua yenye kumbukumbu Na. CUF/AK/DSM/MKT/07/2020. Mheshimiwa...
  17. CUF Habari

    CUF: Ni hatua nzuri CHADEMA kuwafuta uanachama Wabunge 19 wa Viti Maalum. Tunashukuru kuungwa mkono

    NI HATUA NZURI TUNASHUKURU: Baada ya kutoa Tamko la Kupinga Mchakato na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliovurugwa, sisi CUF - Chama Cha Wananchi tulikuwa Chama Cha Kwanza kufanya " MAAMUZI MAGUMU" pale Mwenyekiti wa Chama Prof. Ibrahim Haruna Lipumba alipotumia Mamlaka yake alali kwa ujibu wa Katiba...
  18. CUF Habari

    Zanzibar: CUF yamtengua Ali Makame kwa kosa la kuwania Uspika wa Baraza la Wawakilishi

    TAARIFA KWA UMMA: Ndugu wanahabari! Karibuni tena kwenye Ukumbi huu wa Shaaban Khamis Mloo ambapo Leo tena tunapenda kuongea na Umma wa Watanzania kupitia kwenu. Wiki moja iliyopita tulikutana hapa kwa ajili ya kuuhabarisha Umma juu ya Msimamo wa CUF- Chama Cha Wananchi kuhusu Uchaguzi Mkuu...
  19. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Wananchi wa hapa Somanga nasikia mnachomewa moto nyavu zenu na mnanyanyaswa sana, sasa nichagueni Oktoba 28 nimalize huu unyanyasaji

    WANANCHI WA HAPA SOMANGA NASIKIA MNACHOMEWA MOTO NYAVU ZENU NA MNANYANYASWA SANA SASA NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NISIMAMIE HAKI ZA BINADAMU"PROF.LIPUMBA" KILWA- SOMANGA Uvunjifu na ukiukwaji wa Haki za binadamu ni tatizo kubwa nchini Tanzania. Hakuna chombo huru chenye nguvu cha kusimamia...
Back
Top Bottom