Search results

  1. Mlundilwa Jr

    Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu za kiuchumi zinamkera

    Wakuu habari, Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu zinazoniingizia kipato zinamkera. Nikawaida kukuta kwenye hizi nyumba za kupanga kukuta watu wakifanya shughuli mbalimbali za kuwaingizia kipato ili maisha yaendelee na kuweza kulipa kodi. kuna wengine ktk hizi nyumba za kupanga...
  2. Mlundilwa Jr

    Msaada: Mguu wangu umeteguka

    Wanajamii Forum habari Mguu wangu umeteguka naombeni ushauri nitumie dawa gani kama huduma ya kwanza, manaake nahisi maumivu makali sana nashindwa hata kukanyaga chini. Msaada wenu ndgu zangu
  3. Mlundilwa Jr

    Haya maneno yamenichoma sana na kujiona sina thamani katika hii Dunia

    Habari wakuu Baada ya vuta nikuvute ya mimi na huyu binti nilietokea kumpenda sana, hatimae kanifungukia na kusema eti Hata kama tungebaki mimi na yeye kwenye hii Dunia abadani hawezi kuwa namimi kimapenzi. Akaenda mbali zaidi na kusema kwamba yaani hakuwahi kunipenda hata siku moja ila tu...
  4. Mlundilwa Jr

    Hiki kisasi alicholipiza Baba wa mtoto aliyechinjwa mtoni, kilikuwa cha kikatili sana

    Wakuu zasahizi? Leo nimejikuta nakumbuka tukio, kisa kilichotokea miaka 20 huko nyuma ktk mkoa Fulani, huu mkoa ulitrend Sana kwa kuchuna ngozi za watu na kwenda kuziuza ili wawe matajiri kwani inasemekana ngozi ya binadamu Ina hela Sana ila sishauri watu wafanye hivyo kwani kilichowatokea Hawa...
  5. Mlundilwa Jr

    Mama wa kambo kashaniendea mara mia moja kwa waganga wa kienyeji ili Mzee asinijali, anisahau

    Huyu mama wakambo simuelewi sijui tatizo ni Yale matakataka anayomiliki Mzee ndiyo yanamtoa Imani na kutaka kunitoa Roho, yaani huyu mama Shida Sana, ameshavunja mahusiano yangu Mimi na Mwanae wa kiume kwa kumwambia mimi eti nafuata matakataka ya yule Mzee na wasipokuwa makini nitawadhulumu...
  6. Mlundilwa Jr

    Mtangazaji gani ulimjengea picha tofauti na jinsi alivyo, kuanzia kimuonekano, umri na uvaaji pindi ulipomsikiliza kwa mara ya kwanza radioni

    Vipi mambo wakubwa, wana JF, vijana kwa wazeee Ebhana leo nimekaa nimetafakari jinsi hii technolojia ilivyokua na kusababisha mambo mengi kuwa mubashara, sijui kama nitakuwa nimeeleweka na Mada yangu. Anyway me Kuna watangazaji wengi sana niliokuwa nawafuatilia miaka hiyo ya nyuma wakati huo...
  7. Mlundilwa Jr

    Nahisi msichana niliemuacha kaniloga

    Wakuu nahisi msichana niliye wahi kuwa naye kwenye mahusiano then nikamuacha kuna michezo ya kiswahili kanifanyia. Kwani baada ya kumuacha alinilaani Sana na aliniambia nitamkumbuka Sasa mambo yamekua si mambo, kila msichana ninae kutana naye kimapenzi (sex) baada ya kumaliza sex napata...
  8. Mlundilwa Jr

    Wizara ya Afya: Vituo vya Afya vya private Kuna ukiritimba unaendelea

    Mambo zenu Jamani Hawa wamiliki wa hizi hospital dhamira yao nini hasa au wanataka kutuua? Kuna Mzee nilikutana naye zahanati ya serikali akidai yakwamba alienda hospitali ya private kupima maralia ila baada ya kufanyiwa vpimo akaambiwa Hana Malaria na ukicheki dalili zote za ugonjwa wa malaria...
  9. Mlundilwa Jr

    Binti wa kishua kanipenda ila nina mke na mtoto

    Buheri mazee Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi...
  10. Mlundilwa Jr

    Ambwene Mwasongwe; nilipokea simu nyingi Sana kutoka kwa ndg na jamaa

    Mwimbaji wa nyimbo za injili Ambwene Obadia Mwasongwe hii Leo alipokua ktk kituo kimojawapo hapa nchini akifanya mahojiano na moja ya maswali aliyoulizwa nikuhusu taariza za yeye kushutumiwa amekufa alizipokeaje," nilipigiwa simu na watu wengi Sana ikiwemo mke wangu nabaadhi ya viongozi...
  11. Mlundilwa Jr

    Mandela Road, Dar: Service Road yageuka parking. Watembea kwa miguu tunapata shida

    Service Road imekuwa parking ya malori ktk barabara ya Mandela road mpakani mwa Tabata Matumbi Hadi Buguruni ktk kiwanda Cha Murzah, wananchi watembea kwa miguu na waendesha baiskeli tunapata shida Sana. Ingawa Kuna vijana wanajiingizia kipato kwa kulinda hayo malori lakini kwa namna nyingine...
  12. Mlundilwa Jr

    Startimes imedhamilia kuwatapeli wananchi masikini

    Habari wanajukwaa Kwanza nikiri kwamba sina maana nataka kuwaharibia biashara yetu ila kwa haya mnayoyafanya nidhahiri mnataka kujiaribia nyinyi wenyewe hasa kwa kuwatapeli wananchi maskini ambao tupo wengi tunatumia hivyo visimbusi vyenu Startimes kumbukeni nyinyi ndiyo mlisababisha tukahama...
  13. Mlundilwa Jr

    Nimemwambia nibebee Mimba ili nikuoe hataki

    Wakuu habari Huyu binti nahisi kaikosa ndoa, yaani ni zoezi simple lakini anashindwa kutekeleza, wakuu sikuizi watu tumeshtuka hatutaki kuoa mwanamke asiyezaa, nahisi huyu binti anataka kuzeekea nyumbani. Inabidi tushtuke wakuu ndoa nyingi zimekosa mvuto kutokana na kukurupuka kuoa mwanamke...
  14. Mlundilwa Jr

    Dkt. Magufuli kwaheri, ulistahili kuwa Rais wa Dunia

    Hayati Magufuli alikuwa mzalendo na anayejua nini maana ya uongozi Magufuli alitamani watanzania woote tuwe wazalendo na ndiyo maana hakutaka kuongeza mishahara ili fedha zitumike kujenga nchi. Ukiachilia mbali yeye kuwa Rais ila alijiweka kama mwananchi wa kawaida hakupenda kujimwambafai...
  15. Mlundilwa Jr

    Rais Magufuli alifanya jamii nituhumiwe ni usalama wa Taifa

    Nakumbuka ilikua mwanzoni kabisa mwa utawala wake na tumbuatumbua yake kwa watumishi wavivu na wasiyo wawajibikaji. Unajua mimi siyo muongeaji sana hata nikikukuta watu wanajadili hoja fulani huwa msikilizaji, basi nakumbuka kuna mahala nilikaa na siyo siri sikua mwenyeji maeneo yale, kuna...
  16. Mlundilwa Jr

    Mdogo wangu wa kike ananiomba hela ili hali kaolewa na mume wake ana kipato kizuri

    Wakuu nimala kadhaa huyu dogo amekua akiniomba hela kitendo kinachofanya nifikirie pengine mume wake hamjari au vipi Pia ukiangalia mume wake anapata mshahara mzuri tu mwisho wa mwezi na amemnunulia hadi simu zenu hizi za kisasa mnazoziita sijui smati foni Sasa huyu mdogo wangu nashindwa...
  17. Mlundilwa Jr

    Mchumba wa mdogo wangu kazuiwa na ndugu zake kumuoa kwa kigezo cha dini tofauti ila mdogo wangu hajui

    Habari wana jf Kadri siku zinavyoenda nimekua naiangalia hii tamthilia anayoicheza mdogoangu hapa Duniani bado inaniweka njia panda Iko hivi, mdogoangu alianzisha mahusiano na mwanaume ambaye kiukweli hakumjua vizuri na niseme tuu hata yule Boy hakumjua vizuri dogo kutokana na muonekano wake...
  18. Mlundilwa Jr

    Watanzania tunapeana mbinu za kupata usingizi mapema badala ya kupata utajiri mapema

    Wakuu habari Baada ya kuona uzi humu unaozagaa watu wakipeana mbinu za kupata usingizi mapema hakika nimesikitika sana Mnajua kama usingizi ama kulala ovyo ni bomu ktk maendeleo ya kijamii na kitaifa kwa ujumla Moja ya watu waliofanikiwa kimaisha wanasema usingizi ni moja ya kikwazo ktk...
  19. Mlundilwa Jr

    Kwanini umfukuze mwanao kisa kabeba Mimba kabla ya kuolewa?

    Za sahizi wakuu, Kumekua na tabia ya wazazi ya kuwafukuza mabinti zao kisa wamebeba mimba ambayo si nzuri kwakweli Yaani unakuta mzazi anamtimua nyumbani mwanae kisa kabeba ujauzito kabla ya kuolewa, pasi na kujua ataishi mazingira gani huko aendako. Mimi nasema msiwafukuze wanenu kwani hiyo...
  20. Mlundilwa Jr

    Sijaamini nilichokiona

    Wakuu habari, Hakika maisha yanabadilika kwakweli, kuna binti niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano then yakavunjika na chanzo Niyeye ndiye alisababisha niyavunje, kama mtakumbuka niliwahi kuja na thread hapa iliyokua inasema" nilichokiona kwa x girl friend wangu" Wengi walinishauri niachane na...
Back
Top Bottom