Search results

  1. Mlundilwa Jr

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    R.I.P Gardna binti yako careen tulikua nae Pale ununio Beach tunashoot series ingawa alionekana kuwa mnyonge kana kwamba kuna taarifa mbaya alijua zitatokea tuu ndani ya huu mwezi.
  2. Mlundilwa Jr

    Vijana wa siku hizi ni wavivu na wanachagua kazi

    Ahsante mkuu ingawa moderato wameufuta yaani wao kilichowauma kuona napromote Rushwa ila ile kauli ya yule dogo waliona iko sawa... Fanyeni hivyo mkuu yaani inathamini ngono kuliko kazi, stupid
  3. Mlundilwa Jr

    Vijana wa siku hizi ni wavivu na wanachagua kazi

    Ahsante mkuu ingawa moderator wameufuta yaani wao kilichowauma kuona napromote Rushwa ila ile kauli ya yule dogo waliona iko sawa...
  4. Mlundilwa Jr

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Mkuu ungefuta hii comment wenyewe huwa hawapendi wanaona kama dhihaka
  5. Mlundilwa Jr

    Umewahi kukumbana na Kero gani katika Huduma za Afya?

    Mimi nilienda kuchoma sindano cha ajabu nurse aliyenichoma sindano sijui aliweka sumu kwenye sindano maana baada ya pale nilipofika home nikaanza kuhisi kuishiwa nguvu mara nahisi kutapika yaani nikawa naona kabisa kuzimu inaniita. Aisee nilikimbia fasta kununua maziwa nikanywa ndipo nikaanza...
  6. Mlundilwa Jr

    Kisa Chid Benz, bifu la Lady Jaydee na Ray C laibuka upyaaaaaa

    Mbona alirekodi kabisa mkuu mpaka radioni ilianza kugongwa ikiwa na verse ya chid ila ndiyo hivyo baada ya lady kufuta ile verse hata media ziliipotezea ule wimbo...
  7. Mlundilwa Jr

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Watalaam wa Tv naomba kuuliza? Hivi hizi TV za smart kwanini haziplay video zilizo ktk mfumo wa AVI badala yake zinaplay ktk mfumo wa MPG na Mp4 Note: natumia TV ya Alitop nch32
  8. Mlundilwa Jr

    Haya ni mambo 25 ambayo hujawahi kuyajua kumhusu paka

    Manyoya ya paka ni Sumu yakikuingia puani unakufa... Pia paka anauwezo wa kukariri njia ndiyo maana unapomchukua kutoka mahala fulani inabidi umuweke kwenye kiroba ili asielewe aendako na asijekurudi
  9. Mlundilwa Jr

    Naomba kujua Mbinu za Kuwaepuka Wahudumu Warembo wa Hoteli Kubwa ambao kila wakija Kufanya Usafi Vyumbani wanatengeneza Mazingira Uwabandue

    Kwanini usimle mkuu halafu ukuje kwenye uzi wetu pendwa wakula tunda kimasihara utueleze, kuwa makini mkuu huyo manzi atakuona gay shauli yako me sipo
  10. Mlundilwa Jr

    Naomba kujua Mbinu za Kuwaepuka Wahudumu Warembo wa Hoteli Kubwa ambao kila wakija Kufanya Usafi Vyumbani wanatengeneza Mazingira Uwabandue

    Kwanini usimle mkuu halafu ukuje kwenye uzi wetu pendwa wakula tunda kimasihara utueleze, kuwa makini mkuu huyo manzi atakuona gay shauli yako me sipo.....
  11. Mlundilwa Jr

    Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

    Lakini mkuu tumeshuhudia watu walioowa wanakunishwa nazi sembuse kuosha vyombo
  12. Mlundilwa Jr

    Rais Samia umeingizwa mjini, hukupaswa kumwondoa Paul Makonda kwenye Uenezi

    Makonda kwenye uenezi walimuweka ajishikize tuu huku wakiendelea kumtafutia nafasi ya kumuweka. Nadhani wameona bora wamrudishe kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa kwani ndiko anakokumudu
  13. Mlundilwa Jr

    Mvua na Jua vya laana

    Kwani inanyesha mikoa yote mkuu hii mvua maana huu ukanda wa pwani ndiyo inanyesha ingawa kuna muda inakata kwa muda wa dk10 then inaendelea
  14. Mlundilwa Jr

    Ewe mwanaume mwenzangu usitoe msaada wa pesa kwa ndugu yako au mtu yeyote mbele ya mke wako

    Nilimuomba Baba hela mbele ya mama wa kambo, yule mama aliguna utadhani hela anachuma yeye na hapo hapo yeye ndg zake anawasaidia na wengine anawasomesha. Aisee Kosea njia ila siyo kuowa nadhani hata Dingi anajilaumu sana kuoa mwanamke yule wa kirangi
  15. Mlundilwa Jr

    Watu maarufu (Wanasayansi, Wasanii, Wafanyabiashara, Wanamichezo) wazee wa kataa ndoa duniani

    Huyo Nikola alipoulizwa suala la kuoa alisema eti kuwa pekeako nibora sana kwani kunafanya ugundue vitu vingi
  16. Mlundilwa Jr

    KITABU: Kamlete, akibisha mlipue by Hammie Rajab

    Ngoja niweke kambi hapa
Back
Top Bottom