Search results

  1. J

    WhatsApp Messenger v2.7.9215

    Requirements: Android v2.1+ Overview: WhatsApp Messenger is a smartphone messenger available for Android, BlackBerry, iPhone, Windows Phone and Nokia phones. WhatsApp Messenger is a smartphone messenger available for Android, BlackBerry, iPhone, Windows Phone and Nokia phones. WhatsApp uses...
  2. J

    P-Funk anavaa saa ya Rolex yenye thamani USD 9,250!

    mwambieni auonyeshe risiti, uongo mtupu,misifa mingine mibaya.
  3. J

    P-Funk anavaa saa ya Rolex yenye thamani USD 9,250!

    Msijidanganye wadau,kwanza kua baba ake ni mzungu sio ishu,si kwamba kila mzungu anahela, pia kusoma i.s.t sio ishu. ukiwa bongo ada ya i.s.t ndio unaiona kubwa ila ukiwa ulaya hela ya ulaya kwa ulaya ni ndogo lakini ukiitumia bongo inakua ni kubwa. so baba ake anawezekana kua ni mtu wa kawaida...
  4. J

    P-Funk anavaa saa ya Rolex yenye thamani USD 9,250!

    Tatizo ya wabongo mnadanganywa sana, dola elfu tisa,mnazijua au mnazisikia????? wewe unadhani awarekodie wasanii wangapi azipate hizo hela????? Acheni kudanganywa china kuna rolex mpaka dola 300. pia vile viatu wanavyovaa kina uwoya na wema eti wanasema wananunua milioni moja au mbili waongo...
  5. J

    [request] adobe photoshop cs3 or cs2

    Hellow guys i reaquest adobe photoshop cs2 or 3 if some one has please share, Coz nimetafuta mpaka basi sijapata link inayofanya kazi so please if someone has it please share
  6. J

    Natafuta mchumba na awe serious

    nope i dont know him
  7. J

    Natafuta mchumba na awe serious

    Ili upendo uwepo kwenye uhusiano inabidi umpate mtu unayempenda na hasa mimaumbile. kila mtu anapenda jinsi mtu alivyo kuna wengine wanapenda wanene, wengine wembamba, wengine warefu na wengine wafupi. so mimi hulka yangu ili nitulie km maji ya mtungi inabidi nimpate mtu mwenye shape km huyo...
  8. J

    Natafuta mchumba na awe serious

    jamani shape ninayo itaka ni kama ya huyu dada hapa kama kuna mtu anamjua naomba data zake nimtafute, nitafurahi sana kwa msaada wenu. Huyu dada katulia sana
  9. J

    Natafuta mchumba na awe serious

    Dada nishaona wengi wenye shape, mwanamke akiwa na shape haiondoki hata akizaaaa mara mia, nishaona wengi sana na wengine wakizaa ndio shape zinazidi. kila mtu na hulka yake mimi mwanamke akiwa number 1 hua simpendi so hii ni hulka yangu
  10. J

    Natafuta mchumba na awe serious

    vipi kina dada ina maaana hizo sifa hamna au??? sio lazima uwe umesoma au vp just uwe na sifa ya shape tuu
  11. J

    Natafuta mchumba na awe serious

    Pole sana
  12. J

    Natafuta mchumba na awe serious

    Kama hili jamaa halijasoma kabisa, nani kakwambia anashindwa kupata mademu?? mademu wapo kibao. na kama unafagilia wazungu huku tunawaona mavi tuu. ukienda club unajichukulia bila hata kutongoza, kama ww unawaona dili sisi tulioko huku hatuwataki. kisha mimi hapa sijasema nimeshindwa kupata...
  13. J

    Natafuta mchumba na awe serious

    Mijitu mengine bada sasa nyie wanaume mna comment nini hapa, nimesema natafuta mke, sasa nyie mbn mnanichafulia barza yangu. wanaume hawaruhusiwi kucomment hapa.
  14. J

    Natafuta mchumba na awe serious

    Mimi sijali Elimu kabisa, elimu yake haitanisaidia. mimi nahitaji hizo sifa hasa umbo lake liwe hivyo
  15. J

    Natafuta mchumba na awe serious

    Mimi ni kijana mwenzenu naitwa junaid, ni kijana mwenye asili ya kiarabu na ninaishi Uk. natafuta mchumba mwenye sifa hizi, hizi sifa ni muhimu sana maana mwanamke wa ndoto yangu nataka awe hivi : 1 ) mrefu 2)Rangi yoyote 3)kabila lolote 4)Dini awe mwislamu au kama ni mkiristo basi awe tayari...
Back
Top Bottom