Search results

  1. N

    Wanyonge wa Tanzania bara tumlilie nani?

    Hizo pesa walizokuwa wanapewa mamilioni njiani waliotapeliwa na utawala wa wapigaji ulifikiri zinatoka wapi? Alizichukua awagawie maskini.
  2. N

    Kijiji cha Msoga chauzindua mwaka mpya wa 2022 kwa sherehe kabambe. Mzee Kikwete ahudhuria

    Ana kila sababu kufurahi, kuwa rais baada ya kumaliza mihula yake si mchezo. Ukoo wote Bungeni.
  3. N

    Wanyonge wa Tanzania bara tumlilie nani?

    Sukumagang shida,njaa siyo fungu lao,vikabila vidogovidogo ndo shida,vikipata madaraka ni kuiba tu na kutudanganya eti TZ nchi maskini, Kasungura kadogo.
  4. N

    Kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2015 mali nyingi za Chadema yetu zimepotea. Tuunde tume kuchunguza zilipo mali zetu zikiwemo Ford Ranger za M4C

    Ni wazo zuri Sana kuanza nalo 2022,maana Mali za chama si za urithi wa bwana yulee.
  5. N

    Waziri Nchemba umeshindwa kumsaidia Rais kwenye mfumko wa bei

    Kazi anayoweza ni kujipendekeza kulinda ugali.
  6. N

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Msemaji wa familia ya Hangaya,mzima kiongozi!.
  7. N

    Wapinzani tuwekeze kanda ya ziwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025. Kura nyingi zipo Tabora na kanda ya ziwa wala sio Zanzibar yenye watu Mil 1.5

    Kuna jamaa juzi maeneo ya Geita alikwenda kuhamasisha chanjo, alipoona hawamuelewi akatamuka 'mnang'ang'ania msimamo wa Magufuli,alishakufa hayupo' Walimugombania Kama mpira wa Kona,akatolewa nje na hawakutaka awepo kabisa. JPM anaishi mioyoni mwa watu.
  8. N

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Wacha wale tu Sasa,ipo siku zitawatokea popote penye uwazi. RIP Jiwe.
  9. N

    Hivi tumepotea njia? Tunanunua ndege kwa Cash halafu tunakopa pesa kujenga vyoo vya shule na madarasa

    Wanataka na wao waonekane wamenunua ndege Kama Mwendazake.
  10. N

    Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

    Sijaelewa tofauti ya naibu spika na kaimu spika ktk bandiko lako P.
  11. N

    Mnaokula kwa urefu wa kamba zenu na kuvimbiwa mna mbingu yenu?

    Semina elekezi siyo suluhisho,enzi za Kikwete semina elekezi zilifanywa Sana tena kwenye hotel ya nyota tano ya Ngurudoto kule Arusha. Kilichotokea baada ya maelekezo RICHMOND, ESCROW,nk.utafikiri semina hizo walielekezwa njia bora za kuibia Taifa. Na bado gharama kubwa ya kuendesha semina...
  12. N

    Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Huyu alikataliwa na mjomba wake asimusingizie Gwajiboy. Jomba alisema nileteeeeeeni Gwajima. Nileteeeeeeni Gwajima, NILETEENI GWAJIMA
  13. N

    Rais Samia: Mawaziri na Manaibu wenu, msigombane kisa safari

    Nchi Kwanza. Ila CCM mbele kwa mbele,mpaka mbadala wake upatikane Ila Sasa bado.
  14. N

    Rais Samia: Mawaziri na Manaibu wenu, msigombane kisa safari

    Wanafuata nyayo, baada ya kuona Hangaya ni bi safari.
  15. N

    Je, awamu ya 6 ya Jamhuru ya Muungano ya Tanzania itapeleka umeme kwenye vitongoji?

    Hangaya hana mpango na watu wa vijjijini yeye ni mtoto wa town. Ugumu wa maisha ya vijijini anausoma kwenye magazeti tu.
  16. N

    Rais Samia umeanza Vyema, Malizia ng'we iliyobaki, tunakupongeza

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃 Yaani hiiiiiiiiiiiiiii,mwenzetu hata inlation haikupi shida.
Back
Top Bottom