Search results

  1. Masterplan

    Msaada wa kupata maji ya hill na Soda Pepsi kwa bei ya jumla

    Naomba kujua kama Kuna mtu ambaye anaweza kunisaidia niweze kupata maji ya hill litre moja maana kwa huku maeneo ya Mbezi mwisho yamekuwa adim Sana pia na Soda za Pepsi. Kipindi cha nyuma hapa vilikuwa vinapatikana vyote hivyo ila kwa sasa vinapatikana kwa shida sana huku. Nawasilisha.
  2. Masterplan

    Foleni ya Mbezi mwisho Kwa mida ya Asubuhi.

    Unaweza ukaamka zako asubuhi Saa kumi na mbili kasoro labda, ila kwa foleni ya pale kwenye makutano ya Gari zinazotoka na kuingia stendi ya daladala mbezi mwisho ni changamoto Sana. Haswa hii foleni inachangiwa na Gari zinazoingia stendi ya Mkoa (Magufuli stand), serikali iangalie namna ya...
  3. Masterplan

    Je, unajua kwanini Biashara nyingi zinafeli hali yakuwa msimamizi ni mwenyewe mmiliki?

    Kwanza kabisa, mapambano yaendelee siku ya kufanikiwa ipo tu, tusikate tamaa. Mfano huu utajumuisha Biashara nyingi Sana, kwa hiyo wewe mwenyewe utakuwa unalinganisha na Biashara yako. Naomba nianze na mfano wa Duka liwe ni la vitu ambavyo unaweza ukavitumia nyumbani kwa matumizi ya kila siku...
  4. Masterplan

    Ndugu yangu anatafuta kazi ya udereva wa magari makubwa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo nina ndugu yangu anatafuta kazi ya udereva wa magari makubwa ana Leseni pia anauzoefu wa kutosha kwenye hiyo kazi kwa zaidi ya miaka kumi (10) alikuwa anasafiri kwenda: ZAMBIA Kwa kuchukua mizigo kutoka bandarini alafu anarudi na mzigo tena mpaka huku...
  5. Masterplan

    Unawezaje kufanya mapenzi bila kinga na mtu mliyepima mara moja tu?

    Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo ,ni hivi najua baadhi ya watu wakisha pima HIV kwa Mara ya kwanza hata hawarudii tena ,siku watakayotaka kufanya mapenzi,. hata kama ndio mpenzi wako unaye unamuamini kuwa yupo vizuri kiafya na ukiangalia una zaidi ya mwezi,. Je, unamuamini sana kuwa...
  6. Masterplan

    Naombeni msaada sehemu ambayo naweza kupata kwa ajili ya kufungua biashara ya chipsi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba msaada sehemu ambayo naweza fungua biashara ya CHIPSI na itaenda vizuri kwa kuzingatia wateja na location yenyewe ikoje , sehem iwe ndani ya Dar es salaam. "only the dead have seen the end of the war"
  7. Masterplan

    Tatizo la kutokwa na damu kidogo sana kipindi cha hedhi ambayo pia ipo kama uchafu fulani hivi na ni kwa siku 1 au 2 inakuaje hapo

    Huyo mtu atakuwa ana tatizo gani maana hatokwi na damu yenyewe kabisa siku za hedhi badala yake ni kama UCHAFU tu alafu ndani ya siku 1 au 2 tu imekata Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom