Search results

  1. Lugumgya

    Siku ya Ngekewa

    JF mpooooooooo! Karibuni katika *Siku ya Ngekewa*. Siku ya Ngekewa ni siku ambayo huwezi kuisahau katika maisha yako. Siku ambayo ilikuwa ya neema kwako. The day of beating the odds! Bila kutarajia ukajikuta unapata ufumbuzi wa jambo ambalo lilikuwa gumu kwako, unapata wepesi. Yaani jambo...
  2. Lugumgya

    Msaada kuhusu mtoto wa namna hii

    Miaka mitatu iliyopita, Mdogo wangu alimpachika mimba binti mmoja hivi. Baada ya ile mimba kuingia, waliingia katika mgogoro Mkubwa Sana. Mgogoro wenyewe ulihusu kutokubaliana juu ya kuitoa au kutoitoa. Dago akitaka itoke na mdada akipinga jambo hilo. Baada ya kutofikia muafaka dogo alikata...
  3. Lugumgya

    Kijani Wenzangu, Uongozi ni Mkataba, hakuna haja ya kutumia Nguvu ku-u-Renew"

    Professor Lumumba wa Kenya aliwahi kusema " Ukiona mtu anatumia dakika 20 Kati ya 22 kuzungumzia alichokifanya, basi tambua kuwa ameshagundua kuwa hakuna alichofanya. Hii ni kutokana na ukweli kwamba, kilichofanyika huwa kinazungumza chenyewe! Uhitaji muda mwingi Sana kukizungumzia! Lakini pia...
  4. Lugumgya

    Wanafunzi wa UDSM ambao ni Wananufaika na HESLB, Piteni hapa!

    Wale wazee wa boom, Sasa mshindwe wenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Lugumgya

    Wabunge wa CHADEMA ni mahiri kwa hoja Bungeni, lakini wepesi kama "Sponji" kwa Mbowe

    Ukiwasikiliza Wabunge wa CHADEMA wakichangia mjadala bungeni, hakika roho inafurahi. Wengi wao hujielekeza kwenye hoja kwa kuichambua kitaalamu, kwa takwimu na ushawishi unaovutia. Alikuwa akiongea Tundu Lisu unatamani aongee yeye peke yake siku nzima. Hakika alikuwa mweledi. Kipindi mnaondoka...
  6. Lugumgya

    Kwa hiki nilichokiona Bungeni, nashauri CHADEMA wasirejeshe posho ya kujikimu!

    Mwaka fulani nikiwa Chuo, Dr. ....alituambia twende kwenye Kijiji fulani kwa ajili kujifunza mbinu za Ushirikishwaji Jamii katika kutatua changamoto zinazowazunguka na kubaini vipaumbele vya mahitaji yao. Moja ya mbinu hiyo ilikuwa Participatory Rural Appraisal (PRA), n.k. Logistics zote...
  7. Lugumgya

    Nilikupenda sana lakini tabia zako hizi, Mmh!

    Mwaka 2011, nilibahatika kuingia kwenye Mahusiano na Binti mmoja kwa Jina la Angel. Mimi nilipenda kumuita Malaika. Alikuwa ni msichana wa kawaida, lakini kama akikupita au mkitazamana kama ni mwanaume lazima utie neno la sifa kidogo. Mdada wa Kijita na ana rangi ya Jamii ya mikunde hasa...
  8. Lugumgya

    Ushauri: Nakusudia kumtimua Mke wangu aende kwa Mshauri wake

    Sote tukiwa tunapambana kuhakikisha kuwa tunachukua tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya Covid-19, huyu wife material anaonekana kuchukulia simple hili janga. Nimemwonesha takwimu za Ulaya, Marekani, Asia, Africa na hapa nchini, lakini mwenzangu amekuwa mgumu kuelewa. Yaani ni kama...
  9. Lugumgya

    Aliwahi kunifumania, nami nimemfumania leo! Vipi Wadau nimpige chini?

    Nikiwa niko kwenye Karantini la Maskani, ghafla jamaa yangu anakuja mbio mbio. " Brother wanawake ni mbwa kabisa, nimetoka kumfumania shemeji yako na Bwn.Lambalamba Kachupi saiv! Japo sijakuta wamelala, lkn walikuwa wanapeana chakula cha ndege (sijui ndo lile busu la kifaransa) pale kwa...
  10. Lugumgya

    Vijana wenzangu tuwe makini, tamaa ingeniponza jana, nilitimka kidogo nivunje mguu

    Wakuu i hope mnaendelea kuchukua tahadhari juu ya kujinga na Corona. Mwenyezi Mungu atunusuru na hili janga. Inshallah!! Back to the mada. Jana mishale ya saa 2 usiku, nikiwa natoka kupata alkasusu kijiweni kuelekea home, niliomuona binti mmoja kwa mbali akitembea kuelekea uelekeo, niliokuwa...
  11. Lugumgya

    Maoni Yangu: Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Chombo Huru Kiutendaji. Ninayo Maajabu Nane (8) ya Tume ambayo Hayazungumzwi

    Tukiwa tunaelekea katika Mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2020, kumekuwa na mtazamamo wa muda mrefu kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania si chombo huru, na kwamba inafanya kazi kwa upendeleo na mnufaika mkubwa wa upendeleo huo ni Chama Cha...
  12. Lugumgya

    Likizo ya Corona yaleta taharuki kitaa. Baharia wa Nchi kavu anaswa amejikarantini na Mwanafunzi.

    Kijana mmoja mwenye Umri wa miaka 24 amenaswa akiwa anamchakata binti wa kidato Cha Sita, mwenye Umri wa Miaka 19 nyumbani kwao na binti, ambapo binti huyo Amejikarantini Kama tahadhari ya kujikinga na Corona baada ya Shule kufungwa na Serikali. Tukio hilo limetokea leo, majira ya Saa 4...
  13. Lugumgya

    Kauli ya Mh Rais, kutotaka kukaa muda mrefu ofisini, ndiyo tuseme anang'atuka mwaka huu?

    Wakuu, Akiwa anapokea Ripoti ya TAKUKURU na ile ya CAG, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh: John Pombe Joseph Magufuli, amesema Uchaguzi wa Mwaka huu uko pale pale. Na kwamba hakuna mtu anapenda kukaa Ofisini muda mrefu. Maswali yangu kwa Wanabodi! 1. Hataki kusogeza mbele kwa kuwa...
  14. Lugumgya

    Msinivute baba, tulieni nivue tugawane huu UKIMWI

    Salaam! Mwaka fulani nikiwa, nimeenda kijijini kusalimia, nilipata nafasi ya kumtembelea jamaa yangu mmoja hivi (Ke),ambaye alikuwa akiishi Kijiji Cha jirani! Nilivyofika tulipiga stori zetu huku tukisikiliza RTD kipindi Cha Harakati. Basi katika kipindi hicho wakasimulia stori ya kijana...
  15. Lugumgya

    Waziri Mkuu tafadhali ongeza tu na Vyuo katika Orodha yako

    Naipongeza Serikali kwa jitihada na hatua walizo chukua kama sehemu ya tahadhari ya kujikinga na kupunguza kusambaa kwa ugonjwa wa Corona. Waziri Mkuu umesikika ukitaja shule za msingi na Sekondari kufungwa kwa siku 30 na baada ya hapo serikali itatoa tena tamko. Ni sawa kwani kinga ni bora...
  16. Lugumgya

    Alinyanyaswa na sasa ndio analea mtoto wa mtesi wake

    Mhusika hayupo humu Ila amenisimulia nikaona ni Bora kushare nanyi, maana Kuna Funzo. Katika Masimulizi haya najifanya kuwa yeye. Mwaka 2005, nilichaguliwa kujiunga na Shule ya Secondary Mwenge, kidato Cha 5 na 6. Masomo yalikuwa ni mwaka 2006, bahati mbaya kulikuwa na shida ya walimu na ukweli...
  17. Lugumgya

    Je, ni kweli 3,000,000/= ni kubwa kwa kulipia Mahari tu?

    Ilikuwa juzi mida ya saa 2 usiku nikapokea simu kutoka kwa Mdogo wangu, akiniuuliza swali hilo! Yaani M 3 si kama nanunua? Why all that amount? Nahisi hawataki labda nimuoe! Au nimchukue bila kutoa chochote and the girl is ready! Kaka hivi kweli jamani? M.3? Anaendelea kulalamika! Baada ya...
  18. Lugumgya

    Nimeshinda jaribu la Shetani/Ibilisi bila Kukanyaga Mafuta ya Nabii

    Siku ya Jumatatu nikiwa natoka job niliapata bahati ya kukaa na mdada mmoja mzuri tu! Alikuwa dizaini ya Mobeto, Hamisa, lkn kiumri alikuwa Mdogo kwa Mobeto (hapa wote sijui umri wao). Gari vuuuuuu! Vuuuuuu! Mara Ubungo! Tulikuwa tunaelekea Mbezi Louis, wengi wanaita Mbezi Mwisho au Mbezi ya...
  19. Lugumgya

    Je, kuna sheria yoyote inazuia upigaji debe na wapiga debe kwenye stand zetu za mabasi?

    Naomba kujua kama kuna Sheria yoyote inayozuia upigaji debe au wapiga debe katika stand za mabasi nchini Tanzania! Nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Lugumgya

    Dhana ya wanawake kuwa "cheap" ni potofu

    Ukifuatilia nyuzi nyingi, hasa ule wa kula tunda kimasihara, utagundua kuwa baadhi ya wanaojiita walaji kuwa na dhana ya kwamba wanawake ni cheap ndo maana wanaliwa kwa kile kinachoitwa kimasihara. Dhana hii ni potofu, kwamba wewe unaekula siyo cheap? U-cheap unaozungumzwa ni dhana tu...
Back
Top Bottom