Search results

  1. G

    Mbunge Mkono kwa heri jimboni

    Wote mbwembe tu jimbo tutampaa kijana Watu Moringe. SITAKI maswali.
  2. G

    Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

    Wewe tatizo lako linafahamika, unamatatizo na chuki ambazo ni zao la jinsi ulivyolelewa... Kama Makongoro tatizo lake ni pombe, basi asingekuwa anakunywa pombe angekuwa mtakatifu. Kwa uwezo wa kuongoza ni kiongozi ambaye akipewa nafasi atatisha..... Humfaham mtu unamwongelea kwa tetesi tu.
  3. G

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Charles Makongoro Nyerere for 2015.
  4. G

    Kuanzishwa Chuo Kikuu Butiama ni siasa

    Kwa hiyo chuo hakitajengwa tena kyuba na kitahamishiwa Butuguri.? Ninachofahamu eneo lipo tayari na kuna wadhamini walishatafutwa na mbunge mzee mkono lakini mzee mkono amefanya ule mradi wa chuo ng'ombe wake wa maziwa. Kelele za chuo hiki utazisikia tu pindi mda wa uchaguzi ukikaribia.
  5. G

    VIFARANGA WA SAMAKI (Tilapia)

    Kuna jamaa wanawafuga kule chanika. Mi pia nafuga lakini vifaranga wanazalisha...
  6. G

    Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

    Joseph Kizurira Nyerere ni nani katika nchi hii!? 1. Mwenyekiti wa vijana wa TANU taifa (KWA MAFANIKIO MAKUBWA SANA) 2. Mkuu wa mkoa wa kwanza wa mwanza 3. Mmoja wa waanzilishi wa JKT 4........... angalia yasijekutokea ya mkapa hujui unauliza sio kubwabwaja...
  7. G

    Shujaa wako mwaka 2012

    Makongoro
  8. G

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    hongera sana kamanda Lema! aluta continua.....
  9. G

    CHADEMA, huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu...

    Chama ni watu na sio mtu! na hata umaarufu wa mtu hupewa na watu kwa lolote special alilowafanyia hata kujitolea... ZZK sio siri wote tunajua kafanya mambo makubwa na kajitolea sana kwenye mambo mengi.... uwezo wake katika kutetea mambo ni mkubwa na vivyo hivyo katika kuharibu unaweza kuwa...
  10. G

    Hawa ndo Majembe wasiotakiwa na Mafisadi ubunge wa East Africa

    hapo naona Gambo na Makongoro tu ndo majembe........ maana vita inayopigwa juu yao imeanzia mbali sana.
  11. G

    Muungano ukivunjika, Zanzibar kuwa 'Dubai ndogo'

    znz kuna soko!!!??? yeye mwenyewe anaomba usivunjike...
  12. G

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    JK ana record ya pekee ni rais wa kwanza kuchaguliwa kwa asilimia kubwa (81%) kuliko wote, na pia ni raisi wa kwanza kuvunja record kwa kuchaguliwa kwa kura chache kuliko wote kwa kipindi cha pili(61%)... my take. trend hii inaonyesha uwezo wake, hata BWM persent ilipanda kipindi cha pili.
  13. G

    Wanaowania Ubunge EAC toka CCM hawa hapa...

    na Makongoro Nyerere kachukua form.....
  14. G

    Ewe Mtanzania, utamkumbuka JK kwa lipi katika utawala wake?

    hiyo ya kuwa rais wa kwanza kuonana na obama, marobist walikula $500000 za kodi yetu. kweli rais tunae anahongo kuonana na rais mwenzake..... credibility=o%
  15. G

    Je hii kauli ya "2015 ni zamu ya Wazanzibar" ina mkono wa JK?

    wana jf ukweli ni kwamba hakuna zamu, urais wa tanzania sio zawadi na hajazuiwa mtu kutoka znz au bara kugombea, we mwaga longolongo tunakuchagua na angalizo kama znz watataka kupewa bure tutamaliza karne hajatokea huko......
  16. G

    CUF yataka serikali tatu

    nani kakwambia anataka serikali tatu!!! mbili matatizo kila siku kero za muungano, hapa tunahitaji serikali moja..... kama hakuna basi tatu impossible...
  17. G

    Hamad Rashid ana vipimo vyote vya unafik hivi sasa dalili ziko wazi

    swala ni kwamba Hamad R katangaza nia ya kugombea ukatibu mkuu, kinachofanyika ni fitna tu. leo ndo mmeona anavuruga cuf?? na kwa nini wenzetu wapo so mean kwa maana kila mitafaruku ya kisiasa wanaongelea utanganyika na uzanzibar?? wanafikiri kujitenga ndo watatatua matatizo??? tusiwe tunatumia...
Back
Top Bottom