Search results

  1. C

    Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

    siemens aka twanga
  2. C

    Hivi uchunguzi wa kesi za makatibu wakuu hawa vipi?

    Waungwana naomba mnijuze uchunguzi wa kesi ya Mama Blandina Nyoni wa wizara ya Afya na mwenzake Jairo wa wizara ya madini na nishati maana sijasikia hatua zilizochukuliwa dhidi yao.
  3. C

    Anne Kilango Malecela awa bubu ghafla

    Hapa maslahi ya mtu kwanza, kama anavizia UWT hawezi kujitokeza kupinga ufisadi. Kipimo cha unafiki kinapatikana katika sakata hili!!:shut-mouth:
  4. C

    Wanawake kukaa uchi chanzo cha ukosefu wa nguvu za kiume.

    Mhhhhhhh..... napita tu:noidea:
  5. C

    I hope Smile is smiling at me right now!!!!!!!!!

    Kwa wale wanaume ingefaa kupungua urefu, wanawake je?:A S-confused1:
  6. C

    Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

    Pole sana kaka, Mungu akupe moyo wa ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu.
  7. C

    Kwaherini wenzangu!

    Kalale pema peponi kamanda, ukisikia mke wa mtu sumu ndiyo hiyo
  8. C

    I want to marry My Mother

    Sasa huyo mtoto atakayezaliwa atamwita mama au bibi, baba au kaka? Huu ni ubatili mtupu.
  9. C

    Me sijui huwa nina balaa gani ndugu zangu!!

    Ikumbukwe kuwa hawakuchagua kulelewa na mama tu kwani mazingira ndiyo yamewafanya hivyo. What if baba alikufa akiwa mdogo, alimtelekeza mama? Je hawana haki tena ya kuwa na mahusiano? Kama ana tabia mbaya si lazima ziwe zimetokana na nani aliyemlea. Tena wengi wao wanamaarifa na ujasiri kwa...
  10. C

    You wish You Weren't Married?

    Kuna siku makwazo yanakufanya uwaze vinginevyo, ila la msingi ni uvumilivu maana upweke nao si mzuri
  11. C

    Kwa akina dada na hii mnasingiziwa?

    Ngoja nikajaribu nitarudi baadaye
  12. C

    Ingependeza kama wanawake wakijibu swali hili

    Hata kama tungekuwa tumefunga ndoa huo ndio ungekuwa mwisho wa mahusiano yetu. Hao ndugu ni vema kila m1 akabeba msalaba wake
  13. C

    JF Secret Society

    Kukutana ni soo, kutojuana kunawafanya watu wachangie kwa uhuru, imagine unakutana na mkweo au mama mzazi kumbe huwa mnarushiana maneno jf
  14. C

    Kitchen Party Bubu: Nafasi ya mke ndani ya ndoa (Kwa wanawake tu) With Love to You Cheusie

    Hongera sana AD kwa uzi uliosimama sawia. Mwenye masikio na asikiye
  15. C

    Nidhamu ya uoga ndio tatizo lenu!

    Nahisi hata wale madaktari na maprofesa huwa akili zao zinayeyuka wakifika mjengoni.
  16. C

    Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

    Bishanga umenena mkuu. Akina baba badala ya kulalamika tafakari mchukue hatua
  17. C

    Je mtu huzaliwa na ubaya au hufunzwa na walimwengu?

    Wana JF naomba mnisaidie katika jambo hili, nimekuwa nikisikia watu wakatumia sana msemo huu kuwa ubaya hawakuzaliwa nao bali wamefundishwa na ulimwengu, je hii ni kweli?
  18. C

    Mdahalo wa leo...!

    trust ndio yenye uzito hapo
  19. C

    soma hii...uelimike!

    Shukrani nimepata kitu
  20. C

    Toyota Prado T*** BML kitenda ulichofanya si cha kiungwana!

    tatizo watu wanaubinafsi uliokithiri, kwani hao wanaosubiri kwenye foleni hawana haraka? Ungwana tu ndugu yangu unatakiwa
Back
Top Bottom