Search results

  1. M

    Wakuu na-deal vipi na negative self talk?

    Eti wakuu naweza deal vipi na NEGATIVE SELF TALK? Sababu hiki nikitu kinachonikosesha amani. Sometimes nakosa Raha kabisa nakushindwa kufanya baadhi ya mambo. Maana mipango yangu mingi inapanguka tu bila sababu ya msingi, Je, nitumie njia zipi ku-solve hili tatizo?! Natanguliza shukrani.!
  2. M

    Naomba kujuzwa bei ya taa za nyuma ya TV 'Backlight'

    Habari za saa hizi wakuu. Naomba kujua Bei ya taa za nyuma ya tv "backlight"wanauzaje dukani? Aina ya TV ni Zec nch 32 Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom