Search results

  1. OSOKONI

    Uwanja wa taifa: Simba 2-0 Tanzania prisons, ligi kuu soka Tanzania bara

    Mlio uwanjani au karibu na media tupeni updates
  2. OSOKONI

    Mabasi Arusha - Dar Acheni maringo

    Kuna kamtindo kameanza siku hizi hasa msimu huu sikukuu zinavokaribia makondakta wa mabasi ya Arusha Dar wanakataa kupakia abiria wa Moshi. Na ikatokea ukipanda wana kauli chafu za kukera. Kuna watu wengi wanaishi Arusha ila wanafanya kazi Moshi na wanategemea mabasi haya makubwa kuwahi Kazini...
  3. OSOKONI

    VPL tarehe 19/11/2017 Yanga yaichabanga Mbeya City magoli 5-0

    Mlioko uwanjani au karibu na media tupia matokeo hapa ====================== Timu ya soka ya Yanga leo imefanikiwa kuifunga timu ya soka ya Mbeya City magoli matano kwa bila katika mchezo wa ligi VPL uliofanyika katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Magoli ya Yanga katika mchezo huo...
  4. OSOKONI

    Msaada: Kuhusu ku trace simu iliyoibiwa

    Naomba msaada namna ya ku trace simu iliyoibiwa imei yake ninayo sasa niwasiliane vip na TCRA ili au tuipate au tuifunge??
  5. OSOKONI

    Wakenya mlienda Job?

    Kulikuwepo na wito toka kwa Mgombea aliyeshindwa kuwa msusie kazi hiyo jana je mliitikia? Hapa kwetu ukisusia kazi tunakata jina tunaweka mwingine Sent using Jamii Forums mobile app
  6. OSOKONI

    Msaada meno na fizi

    Nini tatizo la fivi kuvimba na kusababisha meno kuuma na kulegea? Msaada tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  7. OSOKONI

    Line up ya Simba SC

    1. Aishi Manula 2.Shomari Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Erasto Nyoni 5. Salimu Mbonde 6. Jonas Mkude 7. Shiza Kichuya 8. Haruna Niyonzima 9. John Boko 10. Laudit Mavugo 11. Emanuel Okwi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. OSOKONI

    Wapiga debe Ubungo stendi wanasumbua sana abiria

    Hivi serikali ipo wapi? Mbona wapiga debe hapa stendi ya Ubungo wanabughuthi sana abiria? Wanavutavuta abiria wanashikashika akina dada wengine wezi. Unakuta mwingine mchafu anakuja kukungangania? Naishauri serikali ya mkoa iwapige marufuku na kuwaondoa wote. Tuwe wastaarabu. Kila basi wawe...
  9. OSOKONI

    Serena Nissan inauzwa

    Jipatie Serena Nissan kwa bei nzuri ipo ok intembea ni pm nikupe details
  10. OSOKONI

    Kutoka CCM Kirumba: Full time Toto Africa 0 - 0 Simba FC

    Simba imeshindwa kuifunga Toto African uwanja wa CCM Kirumba kwa miaka 7 sasa, wamelazimishwa sare tasa (0-0) KIKOSI CHA SIMBA VS TOTO AFRICAN, LEO. 1.Daniel Agyei 2.J Bukungu 3.Mohammed Shabalala 4.Juuko Murshid 5.Novart Lufunga 6.James Kotei 7.Shiza Kichuya 8.Mzamiru Yassin 9.L...
  11. OSOKONI

    Chaguzi ndogo 2017

    Kesho tarehe 22.01.2017 utatafanyika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Dimani huko Zanzibar na Chaguzi nyingine kadhaa za udiwani. Mliopo kwenye maeneo husika tujulisheni hali ikoje na matokeo yanaweza kuchukua uelekeo upi? Nawasilisha
  12. OSOKONI

    Trump huyu kiboko

    Donald Trump: “There Is No Shortcut To Maturity, Africa Should Be recolonized. Speaking yesterday in Nebraska, Trump said that Africans are slaves living like slaves in their own land yet they claim they are independent. Trump was responding to a question by a South African journalist on...
  13. OSOKONI

    Tatizo la meno

    Wakuu naomba mnisaidie tatizo la meno yanatingishika lakini hayaumi inaonekana yamelegea. Tatizo ni nini na dawa yake nini ili yawe imara tena? Wale mliozoea jokes na kejeli hebu mtulie nahitaji msaada
  14. OSOKONI

    Wako wapi waliolipua Olasaiti na kuuwa watu?

    Nauliza tuu wako wapi watu waliolipua kabisa Olasiti na kuua watu? Wako wapi waliolipua mkutano wa chadema kaloleni na kuua? Ina maana muda wote huo intelijensia yetu imeshindwa kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya haki?? Nisaidieni
  15. OSOKONI

    Kwanini whatsapp haikubali kwenye Huawei Y320 ?

    Huawei y320 inashika internet hata facebook ila haikubali kabisa whatsapp, kuna mtu kashauri nibadili os but very expensive nifanyeje wanajamii?
  16. OSOKONI

    Viongozi, wanachama washabiki CHADEMA tutarajia Vitisho zaidi

    Wana Jf,, Ni dhahiri kuwa chama cha mapinduzi kipo kwenye hatua za mwisho za kuanguka, dalili zipo wazi kabisa.Migogoro na makundi ndani ya chama, kushindwa kutekeleza ahadi zao kwa wananchi, kushindwa kuisimamia serikali, kutumia mabavu ya polisi, JWTZ na TISS kukandamiza upinzani, kutumia hila...
  17. OSOKONI

    Mmba kichwani

    wana JF naombeni msaada nini dawa ya mmba kichwani, asanteni!
  18. OSOKONI

    Wapi huduma ya unlock iphone 4, 4s 3gs na 5

    Naomba anayejua mahali wana unlock hizo Iphone na bei zake!!
  19. OSOKONI

    Mabaraza ya katiba ya kata

    Ndugu wana JF, Nimekuwa nikifuatilia kuhusu mchakato mzima wa upatikanaji wa katiba yetu mpya na sasa tumefikia kwenye hatua ya uundwaji wa mabaraza ya katiba ya kata,.Hapa ndipo napoomba msaada wenu kuhusu: 1.Muundo wa mabaraza haya upoje? kila kata ina idadi ya watu wangapi? na uwiano wa watu...
  20. OSOKONI

    UN,''Mauaji ya Albino yaongezeka Tanzania''

    Kamishna Mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa,Navi Pillay, amelaani mashambulizi mabaya yaliyofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi au Albino nchini Tanzania ikiwemo mauaji ya mtoto mvulana. Serikali inapaswa kukomesha mauaji hayo pamoja na unyanyapaa dhidi yao , alisema Bi Pillay...
Back
Top Bottom