Search results

  1. OSOKONI

    Waziri Mkuu aliyefanya kazi chini ya kiwango tokea Uhuru wa Tanganyika

    Kwa nini haijawa hivo? Hebu tutajie kesi zake ambazo zipo mahakamani ?
  2. OSOKONI

    Askofu Malasusa na Waraka wa Leo

    Mkuu lazima usifie kila kitu?
  3. OSOKONI

    DODOMA: Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema awataka IGP na Mwigulu Nchemba wakauze maandaazi

    Alibaniwa kwenye mahakama ipi mkuu? Majambazi ya magari ni hatari yakamatwe ns kupelekwa mahakamani haraka
  4. OSOKONI

    Bashe ahojiwa BBC, apinga ujenzi wa Reli unaoipa kipaumbele Rwanda

    Ukiambiwa kuna Reli inatoka uingereza kwenda ufaransa kupita chini ya bahari utaamini au ile inayotoka Hokkaido hadi Tokyo Japan utaamini? Think outside the box
  5. OSOKONI

    Mbunge Moshi vijijini, Komu Kalist apeleka hela mfuko wa jimbo kujenga ukuta shule binafsi huku za kata hazina hata choo

    Barabara ya moshi -mabogini-chekereni-kahe ni janga kuu huyu mbunge hana msaada jimboni kwake
  6. OSOKONI

    Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?

    China mtu anaanza nursery hadi anapata ohd lugha anayotumia kichina je sisi kuanzia cchekechea hadi phd tunatumia kiswahili kusomea? Kama jibu ni ndio sio lazima msomi ajue kingereza kama jibu sio msomi yoyote wa Tanzania lazima ajue kingereza
  7. OSOKONI

    Fedha zilizopotea ni zaidi ya Trilioni 1.5, ni 2.6. Zipo wapi?

    Mmeshaambiwa pesa IPO hajaibiwa close the agenda
  8. OSOKONI

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Acha tu liwe jiji hakuna namna nyingine
  9. OSOKONI

    Rais Magufuli: Mkisema mnaomba chakula mnakufa, nitasema tu kufa. Hakuna chakula cha bure

    Mvua pekee haitoshi.kunatakiwa inputs mechanization transport storage facilities etc
  10. OSOKONI

    Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini abaini gari lake kufunguliwa nati za tairi mbili za nyuma

    Na watu kama nyie ndio mnaichafua serikali hapo ni wapi serikali imetajwa? Acha mihemko
  11. OSOKONI

    Gharama mpya za kununua umeme wa LUKU hizi hapa!

    This was also my big question
  12. OSOKONI

    'Katibu tawala' DSM agoma kurudisha pesa za maafa millioni 206.3

    Mbona sioni alipotajwa zaidi ya wewe kumtaja hapa!?+
  13. OSOKONI

    CAG, Gavana, wizara ya fedha sasa kuhojiwa ziliko Tril 1.5, pia waziri wa fedha Zanziber na katibu hazina kuhusishwa

    Hili swala mbona halieleweki? Gavana na katibu mkuu hazina wamehojiwa na mkuu Wa nchi wakasema hakuna upotevu wowote nna hazina ipo salama sasa wanahojiwa tena na nani na kuhusu mini??
Back
Top Bottom