Search results

  1. willpower

    Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

    ''...Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu...'' Kama wewe ni mtu wa ku-entertain mawazo ya namna hii, nakusahuri achana na mapenzi.
  2. willpower

    Mambo ya kuzingatia unapoanzisha mahuasiano na ''Single Mother''

    Vipi wewe umeweza nini ili kuinua uchumi wako 😅 Huwezi kuandika kwa ufasaha lakini unawaponda single mothers.
  3. willpower

    Mambo ya kuzingatia unapoanzisha mahuasiano na ''Single Mother''

    Maisha yamekupiga unaleta hasira kwenye post ya mtandaoni.
  4. willpower

    Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

    Namtakia afya njema na apone maradhi yanayomsumbua. Upande wa pili; maisha aliyokuwa akiishi yanaweza kunyooshewa kidole wakati huu anapoumwa. Ana video na picha kadhaa akinywa na akisifia unywaji wa pombe tena zile kali. Lifestyle yake inawezekana sio sababu ya maradhi haya lakini kama...
  5. willpower

    DOKEZO Kuweni makini na utapeli nimepigwa milioni na ushee, matapeli wanakuja na njia mpya kila siku

    Haya mambo ya miaka ya 2000 huko mzee. Wakati huo ndio internet cafe zinaanza. Miaka hiyo email ni Yahoo na Hotmail. Wazee wa zamani na maafisa wengi wa serikali wamelizwa sana kwa hii mbinu
  6. willpower

    Kampuni ya JEFAG Logistics: Kero ya foleni na ajali Kurasini

    Kampuni ya JEFAG Logistics iliyopo Kurasini Dar es Salaam imekuwa ikisababisha kero ya foleni kwa watumiaji wa barabara inayoelekea daraja la Mwalimu Nyerere (Daraja la Kigamboni) kutokana na mipangilio mibovu ya magari ya mizigo. Muda wa asubuhi malori ya mizigo hujipanga barabarani karibu na...
  7. willpower

    Capacity Nursery and Primary School: Ni shule nzuri lakini baadhi ya Walimu ni wanatesa watoto.

    Shule nzuri ila baadhi Walimu wanachanganya hasira za maisha na masuala ya shule. Sio sawa kupiga watoto kwa hasira na kutumia viungo vya mwili wako. Unampigaje mtoto makofi, ngumi na mateke? Sio sawa,pazeni sauti kwa nguvu watawaumizia watoto hao na kuwatia ulemavu.
  8. willpower

    HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

    Hakuna unachojua na wala hukusoma hizo link. Wewe source zako ni zipi? KBC Kenya au gazeti la Alasiri? BBC ni tatizo, Al jazeera pia kwako sio source ya ukweli? Unajua AL Monitor? Nayo pia sio source reliable. Very unreasonable.... Hutaki hizo source weka source zako hapa, umebaki kutoa...
  9. willpower

    Kocha wetu stars anataka kutupanda kichwani atimuliwe kabla mechi haijaanza!

    Kocha yupo sahihi sana; Kama unakwenda AFCON kwa kushinda mechi mbili tu kwa kumfunga Uganda na Niger; na kutoa sare mbili , huku ukifungwa goli 4 na kushinda 3 Halafu unapangwa na DRC, Morocco na Zambia Kwa ranking za FIFA zilizotoka Desemba 2023 Morocco nafasi ya 13 DRC nafasi ya 67...
  10. willpower

    HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

    Unajua tatizo lako ni kudhani tunabishana na kutokusoma. Badala ya kupingana na takwimu zangu na wewe ungekuja na za kwako, ila kwa kuwa huna elimu( tofautisha kuhudhuria shule na kupata elimu hayo ni mambo tofauti) acha nikusaidie kidogo. Pitia hizo link hapo halafu urudi tuendelee na...
  11. willpower

    Wanaume wanaoitwa shem wana tabia mbaya

    Basi ni suala la muda tu wanafikia hitimisho na shem wake
  12. willpower

    Hongera kocha wa Taifa Stars kwa kuwa mkweli. Taifa stars haijaenda AFCON kushindana

    Mchezo wa mpira hauhitaji Dua. Ni suala la uwezo na matokeo uwanjani.
  13. willpower

    HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

    Mpaka Januari 15 watu wapatao 24,000 walikuwa wamekufa katika Vita ya Israel na Hamas baada ya uvamizi wa Hamas; Kati ya hao 1. Wapalestina 23,469 2. Waisraeli 1,200 3. Waandishi wa Habari 82 (75 Palestinian, 4 Israeli and 3 Lebanese) 4. Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa 136 5. Watanzania...
  14. willpower

    Wanaume wanaoitwa shem wana tabia mbaya

    Kuna ile sura na sauti kutoka kwa mwanamke asiyetaka kitu; wanaume waungwana tunaijua na huwa haikupi nguvu kuendelea.
  15. willpower

    Jinsi unavyotumika kulipa visasi vya mkeo

    Au tukaribie Telegram
  16. willpower

    Ma-x wote wananiblock. Baada ya kuwa na mwanamke kutoka ughaibuni

    Alisema mtu mmoja ''kuna watu huwa wanakua miili ili sio akili''....
  17. willpower

    Badala ya kushughulika na elimu inavyoharibiwa shule binafsi, unashughulika na nyimbo za Zuchu ili nawe uonekane unafanya kazi!

    Elimu yetu ina matatizo mengi sana kuliko kushughulika na muziki tena wa siku moja watu wakiwa kwenye shughuli nje ya masuala ya taaluma.
  18. willpower

    Bei ya Vanilla yaporomoka kwa kasi Mkoani Kagera, sasa kilo ni Tsh. 3,000

    Ilibaki kidogo sana niweke milioni kadhaa kwenye hili zao; uzuri ni kwamba mke wangu ni mtu wa kunusa hasara sana. Akaniambia biashara ikishaimbwa sana ukae ukijua kuwa baada ya hapo ni maumivu tu.
  19. willpower

    Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

    Hakuna tatizo la kimaadili wala kidini hapo. Huyo ni mama mkwe wako wewe sio mama mkwe wa kaka yako. Hii dunia ukitaka amani lazima ujue kutofautisha vitu na kujua mipaka. Hapo mama mkwe ni shemeji yako kwa upande mwingine.
Back
Top Bottom