Search results

  1. Burnaboy

    Kuna kiongozi alidai eti tutamkumbuka, nani amkumbuke?

    Kakumbukwa sana tozo zilipoongezwa
  2. Burnaboy

    Babbie Kabae akumbuka alivyorogwa nusu kufa, kisa?

    Afunguke zaidi aeleweke vzr
  3. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Ilebaye Out Khalid Out
  4. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Kama jina lake lilivyo groovy inaonekana anajiachia tu hayupo real. Cyph angebaki angechangansha sana level 2. Alikua real yule mtu
  5. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Hii task sikufuatilia. Task za kushona na kupikapika huwa sizipendi. Niliipenda ile task ya drama walioshinda level 2 na ile ya kutunga mchezo wa field walioshinda level 1
  6. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Wana tatizo moja ila beauty kazidisha
  7. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Hakumuoa ile ilikuwa ship ya kimkakati kama hii ya bella na sheggz
  8. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Kwa maumbo na swag ndio wanafana. Mercy Eke, Nengi na Chichi. Ila Chichi naona sio clever kama hao wenzake kuweza kwenda mbali. Naona chichi hivi karibuni hupo close na fake bm Deji
  9. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Kumbe Eloswag ndio aliomba muda nilifikir vise vesa
  10. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Ananikumbusha nadhani Erika kwenye disqualifination bbn 2020. Nae beautiful no brain
  11. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Du hii ilinipita
  12. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Hivi phyna bado yupo na distance shipping la eloswag?. Sat nite party ya last week ilinipita Ila eloswag nae ni hot contender. Kwenye top five hutamkosa
  13. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Alikuwa anamtaka sheggz matawi ya juu. Kwenye sat paty ya mwanzo alikuwa akijipeleka kwa sheggz. Ila naona sheggz aliona atachanganya madawa cause survival yake kimkakati ipo kwa bella. Hii vile vile ni sababu nyingine ya kuchanganyikiwa kwq beauty
  14. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Amaka ni kama vile anataka kufanya move ya kimkakati kwa groovy. Tuone kwenye party itakuwaje shomzy nae akiwepo
  15. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Ana serious emotional issues kwa kuwa ex miss nigeria. Hakuendana kabisa na Groovy. So kitendo na Groovy kum beep chomzy ni kama kuonesha chomzy ni better than beauty!! Hii ndio iliamsha maruani yote ya beauty
  16. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Ndio wakipungua house zitaunganishwa
  17. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Kuna sk Chomzy alimwita Zombie. Ni kama hamnazo ila entertaining
  18. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Nahisi kama Bella ana fan base kubwa ingawa simpendi
  19. Burnaboy

    Big Brother Naija Season 7

    Phyna ana fan base kubwa nje?
Back
Top Bottom