Search results

  1. Ian_

    Movie ya Annabelle 2017

    Gwala kwa wana Jf wote, matumaini yangu tuwazima wa afya. Kwawaliofikwa na matatizo mbalimbali katika maisha ninaendelea kuwakumbuka kwenye maombi. Just hold tight a little while, our God is almighty and faithful he is never going to let you down ,may you say Amen wherever you are . Baada ya...
  2. Ian_

    Msaada jamani mambo ya sitemap

    Habarizenu wana Jf matumaini yangu muwazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye topic . Hivi karibuni nime 'create' blog yangu ya extension ya .blogspot ,baada ya kupitia mchakato wa kutosha hatimaye ilifika sehemu ya ku submit url for indexing and crawling , nime google vyakutosha lakini...
  3. Ian_

    Msaada flash haisomi kwenye DVD player

    Habari kwa kila mwana Jf anayepitia uzi huu, matumaini yangu ni kwamba m/Mungu anawasaidia, kwa wote wenye matatizo nawaombea kwa m/Mungu awatue mizigo mliyonayo. Nikienda moja kwa moja kwenye lililobileta humu, kwa kipindi chote tangia nimeanza kupiga windows kwenye Pc ni mekuwa nikitumia...
  4. Ian_

    Baridi Mbeya

    Aisee salaam, Habari za Jumapili wadau. Niende straight to the point. Mbeya baridi ni kali kweli kweli. Nipo hapa maeneo ya juu kidogo hivyo ninaipata baridi kinyama. No wonder Mbeya na Njombe wana watu wengi walioathirika.
  5. Ian_

    Msaada wa haraka jamani tuokoe jahazi

    Salam wana jamvi, wa thread ya elimu. Going straight to the point, mmi ni first year nasoma BEE Bachelor of Electrical and Electronics, lakini shida ni kwamba naona kama mambo hayaendi kwani kiukweli lecturers wetu kufundisha ni mzozo. Na sina guidelines zozote za vitabu vya Electrical zaidi...
  6. Ian_

    Agents wa CIA walichotuzidi ni msimamo tu

    Habari za kutwa wana Jf, yawezekana wewe Kama watu wengine wengi umekuwa ukitazama Hollywood movies za agents mbalimbali wa CIA, na ulivutiwa na uwezo wao wa kufikiri kutenda na ku "imagine" ,ukuiishia hapo Kila unapokaa kwenye kijiwe(Nina Imani baada ya kazi) pale ambapo mada kuhusu uwezo wa...
  7. Ian_

    Tunakufa Kila tunapolala

    Habari zenu wanajamvi, awali ya yote namshukuru Mungu kwa kunipa uhai.... Going straight to the point,. Hizi siku chache almost (22+days), baada ya kuwa na almost same routine nnapokaribia kulala nimegundua Jambo moja kwamba, kuna possibility kubwa tunapolala tunaingia kwenye ulimwengu wa wafu...
Back
Top Bottom