Search results

  1. S

    Unaambiwa Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wa kike

    Fahamu: Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wengi wa kike kwani wapo wanaompigia mahesabu ya kumnasa kimapenzi hivyo akioa mapema haijulikani watakuwa na hali gani! Queen Darleen pia amekiri hilo
  2. S

    BASATA yampa Rosa Ree mwezi mmoja kulipa faini ya kiasi hiki cha fedha

    Baraza la Sanaa la Taifa “BASATA” limempunguzia adhabu rapa wa kike nchini, Rosa Ree kutokana na kumfungia miezi sita, na badala yakekuruhusiwa kuendelea na shughuli zake za kisanaa. Barua hiyo imemtaka msanii huyo kulipa faini ya shilingi Milioni 2 ndani ya muda wa mwezi mmoja, “Baraza la...
  3. S

    Balaa Duniani. Manula Mbele ya Kaseja, wote waitwa Taifa Stars. Unampa nani alinde Goli?

    KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars', Ettiene Ndayiragije amewaita wachezaji 32 kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Chalenji yatakayofanyika Uganda. Mashindano hayo ya Cecafa yataanza kutimua vumbi Disemba 7 mwaka huu huku kipa wa Simba, Aishi Manula...
  4. S

    Pambano la Hassan Mwakinyo Vs Tinampay kutoka Filipino haki ilitendeka?

    Pambano la Hassan Mwakinyo Vs Tinampay kutoka Filipino bado lile pambano lipo akilini Kwangu. Infact niliacha kutazama TV Round ya Nane baada ya kuona hali ngumu upande wetu nikaenda kulala. Asubuhi nakuta Mwakinyo Kashinda ila mitandaoni hasa Insta nikakuta malalamiko mengi ya Watz wakidai...
  5. S

    Babu Tale akiri kuna wasanii wa WCB nyota zao zimeshindwa kung’ara, aeleza hatua walizochukua

    Meneja wa WCB, Babu Tale amefunguka kuzungumzia ishu ya baadhi ya wasanii wa label hiyo nyota zao kushindwa kung’aa. Lebo hiyo ina wasanii watano, ambao ni Diamond, Rayvanny, Mbosso, Lavalava pamoja na Queen Darleen. Katika mahojiano maalum na gazeti la Mwananchi, Babu Tale alikiri kwamba...
  6. S

    Alichotakiwa kufanya Mwana FA issue ya Rosa Ree kufungiwa kufanya kazi...

    Jana tumesikia Mwakilishi wa Wasanii BASATA akibariki Kifungo cha Mwanamuzi mwenzake Rosa Ree kwa Miezi Sita cha kutofanya shughuli za Muziki. Kwangu mimi naona haikuwa sawa kwani yeye kama Mtetezi wa Wasanii BASATA angefanya la maana kama kumuita msanii husika na kukaa naye na kuona nini...
Back
Top Bottom