Search results

  1. E. Mwandosya

    Mh Mwandosya asifia safari za matibabu India

    nitumie email yako on private nikifika mjini nita upload youtube and send you the link
  2. E. Mwandosya

    Mh Mwandosya asifia safari za matibabu India

    hivi umeangalia speech yake yote upate full context au?
  3. E. Mwandosya

    TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    rip mr. ebbo....kamongo...fav song
  4. E. Mwandosya

    Hatimaye Prof Mwandosya arejea Tanzania toka matibabu India

    jamiiforum wajuaji weeeengi....facts zenyewe mmmh
  5. E. Mwandosya

    Kulikoni Prof. Mwandosya kugoma kurudi Tanzania?

    Mnasoma Dira? :A S-coffee:. Agome kurudi?....Jokers
  6. E. Mwandosya

    Kulikoni Prof. Mwandosya kugoma kurudi Tanzania?

    Mnasoma Dira? gazeti la mafisadi hilo halina la maana :A S-coffee:. Agome kurudi?....Jokers
  7. E. Mwandosya

    Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    Get well Soon Mheshimiwa. Pole sana
  8. E. Mwandosya

    Waziri Chami nae kalazwa India

    nadhani kuna viongozi chini ya 5 wamelazwa huku India nzima. Kuna watanzania wengi sana wamelazwa huku wafanyakazi wa taasisi mbalimbali, wengine kutoka mikoani na raia wa kawaida ndio wanapata matibabu India. Mzee alikuja baada ya ushauri wa madaktari Muhimbili, ambao tunawashukuru sana kwa...
  9. E. Mwandosya

    Updates Juu ya taarifa ya IGP

    mtasikia anasema..."... kwa sasa bado ...uchunguzi unaendelea...blah..kama kuna mtu anaushahidi zaidi ashirikiane nasi..blah.."
  10. E. Mwandosya

    Al-Shaabab/Maharamia wa Somalia wanabadilisha vipi fedha haramu Afrika ya Mashariki?

    tick tock..... acha tu sijui watu wana amnesia, na documents za Bahari ziliwekwaga humu kipindi flani...swali zito hili umegusia.
  11. E. Mwandosya

    Dr. Mwakyembe yuko fit sasa.....?

    Pole sana Dr... tuko pamoja. "sol iustitiae illustra nos"
Back
Top Bottom