Search results

  1. M

    Uhusiano wa mambo,Bongo flavor na Siasa

    Umeshawahi kusikiliza wimbo wa Prof. J 'Ndiyo Mzee'. Aliandika mashairi yake mazuri kama-Yeye ni mteule aliyetumwa na Mungukuikomboa TZ,atafungua account kwa kila mtoto mchanga,mabaamaid watamiliki Benz,Askari watatumia helkopta,wakulima wote watatumia matrekta,wanafunzi practical...
  2. M

    JK na miaka 50 ya UDSM: Nipo hivi nilivyo sababu ya UDSM

    Watu huwa wanachoka ndugu.Si kweli kwamba pale ni sehemu ya watu kuzomewa.Kabla ya aliyezomewa kuingia ukumbini,waliingia wengine kama Prof.. watu wakapaza sauti za kushangilia na sio kuzomea.hivyo uone kuwa sio darasa la kuzomea lipo hapo UDSM ila ni akili yenye uwezo wa kuchanganua na kuamua...
  3. M

    JK na miaka 50 ya UDSM: Nipo hivi nilivyo sababu ya UDSM

    Hii Sentensi atakuwa alipewa tangu juzi au jana kwamba kwa kusema UDSM imempa hicho cheo,wanazuoni watashangilia kuwa wanamtu wa kwao.Pole kwake,maana jambo usilolijua ni kama usiku wa giza!
Back
Top Bottom