Search results

  1. Y

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    AFRICA ni nani atatuokoa kama 2nafurai kifo cha gaddafi 2na twalipokea kwa mikono miwili. hawa watu weupe si wenzetu leo 2narukia kuwafurisha but i blv next generation watapata shida sana kwani kila kona 2nazidi kuwekezwa
  2. Y

    Serikali ya Tanzania yatoa tamko, yamlilia Gaddafi

    nadhani ni muda mwafaka kwa wanaafrica wote kwa ujumla wake kusikitika coz 2mepoteza kiongozi mwenye ujasiri wa kusimamia kile anachokiamini ni sahii licha ya mazingira kuwaje. suala la kuuwawa kwa gadaffi c la kufurai hata kidogo kwani kwa kufanya hvyo 2nazika uhuru we2 na kukaribisha ukoloni...
  3. Y

    Kifo cha Gadafi:Serikali ya JK kutuma pongezi au rambi rambi?

    hata pongeza kwa haraka coz cunajua hawana msimamo na aliyeuawa ni mzee msimamo xo kama vile wamepumua though hawaxemi hadharani
Back
Top Bottom