Search results

  1. BUMIJA

    Hizi ndizo KAZI hatari duniani

    Wasalamu,kazi ni kazi ila zipo kazi hatarishi hapa ulimwenguni. 1.Logger 2.Ujenzi wa magorofa 3.Gabagge Collector 4.Uvuvi 5.Ukulima wa kutegemea mvua 6.Truck Driver 7.Iron steel worker 8.Kuezeka(Roofer) 9.Pilot Engineer 10.Kuchimba Madini.
  2. BUMIJA

    DStv na Azam Dish lipi zuri?

    Salam. Dish lipi ukinunua hapa Kuna channel nzuri hasa Miziki na movie Kali. Ushauri please.
  3. BUMIJA

    Ni aibu mno nchi kuwa na mgao wa umeme

    Nchi yetu Ina rasilimali nyingi sana. Mbuga za wanyama, madini, maziwa na mito mikubwa. Viongozi hili swala linaichafua nchi ndani na nje. Mnatembelea magari ya kifahari mna majumba mengi nchi ipo gizani
  4. BUMIJA

    Mlioko Jikoni Pay Roll za August zipoje?

    Salam, Wadau wazito mambo yakoje?
  5. BUMIJA

    Zifahamu Bunduki aina mbalimbali

    Hizi ni baadhi ya manati za mzungu
  6. BUMIJA

    Kuanzia leo Kubet basi, nastaafu rasmi

    Nimekua mdau na Specialist wa kutandika mikeka toka 2017.nimefanya kazi hii kwa miaka 6 sasa, nimekula Mara kadhaa na kuliwa sana. Nimepata pesa sana za kamari ila sijafanyia la maana lolote.Kwa sasa Nina miaka 38 na Naomba Mungu anisaidie nisibeti tena. Naomba mniombee wadau
  7. BUMIJA

    Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

    Salam, Mwanamke amekamilika kila idara, Kitandani yupo safi tu ila hajui kupika. Je, wanaume unaweza ukaoa mwanamke wa aina hiyo?
  8. BUMIJA

    Ukweli kuhusu pombe kali na sigara

    Pombe na Sigara ni bidhaa muhimu sana kwa uchumi wa Taifa. Lakini je ubora wa hizi pombe za vichupa za 2000 zinaenda kumaliza vijana wetu kwa namna mbili. Vijana wanazianza mapema asubuhi kabla hawajala chochote. Hii pombe inaenda kusaga maini moja kwa moja. Bia ni Pombe nzuri sana ila ina...
  9. BUMIJA

    Namna Matokeo ya mtihani yanavyotugawa

    Mitihani ni kitu kisichozoeleka kabisa.Dikteta Adolf Hitler aliulizwa unaogopa kitu gani akasema mtihani. Mkimaliza darasa la saba miaka ya zamani ilikua nadra sana kufaulu mana hapakuwepo na sekondari za kata. Miaka ile matokeo yalitugawa sana.Wanaofaulu miaka ile walithaminika sana na...
  10. BUMIJA

    Hizi ndizo bidhaa original toka enzi

    Kumekua na bidhaa Original toka zamani japo siku hizi zimekua nyingi.Kuna kitu usipokitumia moyo wako hauwi na furaha. Hebu tushee kwa pamoja bidhaa ambayo unaipenda kuitumia sana iwe Sabuni,mafuta ya kujipaka,chochote ili tushee uzoefu.
  11. BUMIJA

    Hivi kuna mtu ataaply kusomea Ualimu wa Arts?

    Hongereni sana kwa kufaulu. Hapangiwi mtu kusoma kozi Fulani au chuo Fulani. Ushauri kwa vijana wetu ni muhimu. Wapo watu wana mitaji ya kuanzisha shule zao hao wakisomea ualimu wa sanaa vyema sana. Wapo watu wana konnection na Shule binafsi n.k. Mwenzangu namie mtoto wa mkulima hebu...
  12. BUMIJA

    Anayehitaji decorder ya Canal+

    Mwezi wa 8 naenda Burundi,atakayehitaji decorder tunauza 150,000 pamoja na package ya mwezi mzima.Dish na kitovu havihusiki.Namaanisha deki na remote pamoja na waya wa kuunganisha. Mhitaji awe kanda Kaskazini,namaanisha Moshi,Arusha na Manyara. Karibuni sana.Malipo ni unapopokea mzigo wako.
  13. BUMIJA

    Ni hatua gani ku-renew kitambulisho cha NIDA?

    Mwaka 2017 nikiwa Mkoani Tabora niliibiwa Bag na majambazi wakidhania kulikua na hela mle ndani. Ndani ya lile bag kulikuamo na vitu vingine pamoja na kitambulisho cha NIDA. Nilienda kurupoti Police wakanipa RB na mpaka Leo sijawahi kukipata tena. Ifahamike kua kitambulisho hiki ni muhimu sana...
  14. BUMIJA

    Jinsi nilivyopata utajiri kwa mganga kule Sadani Bagamoyo

    Mwaka 2010 nilipata hela kadhaa nikanunua pikpiki mpya pale kariakoo enzi zile 1,750,000 nikapewa na risity na mpaka Leo ninayo.Ile kampuni IPO mtaa wa msimbazi kariakoo. Kipindi hicho nilikua nafanya kazi huko ya serikali. Nikawa na wazo la kujiongeza nianzishe mradi wa pikipiki nipate hela...
  15. BUMIJA

    Nashauri serikali isitishe mafunzo kwa walimu wa Sanaa

    Miaka ya nyuma serikali ilikua na lengo zuri la kuzalisha walimu Kwa wingi kutokana na uhitaji mkubwa wa kipindi kile. Ila mpaka 2015 serikali ilikua na walimu wa sanaa wengi mno. Serikali ingesitisha mafunzo ya ualimu wa sanaa hata kwa miaka 7 ili waajiri hawa kwanza waliopo mtaani toka 2015...
  16. BUMIJA

    Sitasahau siku niliyofungiwa Mshahara

    Katika maisha yetu ya kila siku hatuijui kesho yetu.Wengi wetu tuna dini zetu ama hatuna dini lakini lipo tumaini ambalo mioyo yetu imeshikilia. Miaka flani nilikua nikifanya kazi wilaya B huko mkoa wa X. Miaka ile ukihitimu ualimu unapangiwa kazi moja kwa moja wala haina longo longo. Mwaka...
  17. BUMIJA

    Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

    Nyumba nyingi wamebaki wabibi na wamama zaidi endapo mmoja ameondoka. Najiuliza labda huenda wanaume wanafight sana kuliko wanawake. Nyumba jirani wabibi ndio wameishi miaka mingi zaidi na unakuta kina baba walikufa miaka zaidi ya 40 iliyopita. Labda huenda wameumbwa hivyo waishi zaidi kuliko...
  18. BUMIJA

    Nimeweza kuacha Pombe sasa, Betting ndo nataka nitoke

    Niliamua kuacha pombe kwa uzuri. Nilikunywa miaka 10 nikastafu. Shida inayonikabili ni kubeti. Bila mkeka siku haiendi.Imekua urasimu wa hali ya juu. Nataka kuacha ila inabidi sijui nifanyeje wakuu.
  19. BUMIJA

    MY BROTHER SAM IS DEAD in KIBOLOLONI.

    CHAPTER 1. It Was April,and outside in the dark the rain whipped against the windows of our tavern, making a sound like muffled drums. We were concentrating on our dinner,and everybody jumped when the door slammed open and banged against the walls,making the plates rattle in the racks. My...
  20. BUMIJA

    Msaada: Nimekuwa na uraibu na mtandao

    Muda mwingi napenda kuwa online kama nipo free. Usiku nakesha mitandaoni, naamka nimechoka sana, huu uraibu unanitesa. Yaani nikikosa kuingia sina raha. Imekua zaidi ya ulevi sasa. Sijui nifanyeje nipunguze hii addiction wadau.
Back
Top Bottom