Search results

  1. M

    Godbless Lema hana matishio yoyote ya kiusalama, amekimbia kivuli chake

    Mtandaoni zinasambaa taarifa kuhusu aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupata hifadhi ya Kisiasa Nchini Canada. Kinadharia Hifadhi ya Kisiasa hutolewa kwa mtu ambaye kutokana na shughuli zake za Kisiasa anapata matishio ya Usalama wake aghalabu kutoka kwa Vyombo Vya Ulinzi na...
  2. M

    CHADEMA mtafukuza wangapi? Tazameni mlipojikwaa na sio mlipoanguka

    CHADEMA MTAFUKUZA WANGAPI? TAZAMENI MLIPO JIKWAA NA SIO MLIPO ANGUKA Kamati Kuu ya CHADEMA hivi Karibuni imetangaza kuwavua nafasi za Uongozi na Uanachama Wabunge wake Viti maalum (19) kwa tuhuma za usaliti dhidi ya chama kwamba waliamua kwenda kuapa bila kupata bila Baraka za chama. Orodha ya...
  3. M

    Mjadala wa BBC, makubaliano na Barrick ni ushindi kwa Tanzania, Rais Magufuli yupo mstari sahihi!

    Na David KAFULILA. Septemba21,2020. Awali sikutaka kuandika chochote kufuatia makubaliano yenye faida za pande mbili kati ya Serikali yetu chini ya Mhe.Rais. Dr John Pombe Magufuli na Kampuni ya Madini ya Barrick. Hata hivyo, baada ya kusikiliza mahojiano ya BBC kuhusu tathimini ya...
  4. M

    Mambo 10 niliyojifunza katika zoezi la kujaza fomu na kupata uteuzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Urais

    1. Vyama vya upinzani havikuwa na mkakati kabambe wa kuwasaidia wagombea wake kujaza fomu kwa usahihi. Mfn mgombea wa Morogoro mjini DEVOTHA MINJA hakuambatisha picha. 2. Wasimamizi wa uchaguzi waliongozwa na Sheria na kanuni katika kusimamia zoezi, licha ya baadhi ya wagombea kupanga...
  5. M

    Mambo 10 niliyojifunza katika mikutano ya Tundu Lissu ya kutafuta wadhamini

    Yafuatayo ni mambo kumi ambayo nimeyaona katika ziara ya LISSU ya kutafuta Wadhamini: 1. LISSU anatumia muda mwingi kushambulia haiba za wagombea anaochuana nao kuliko kueleza sera mbadala alizonazo. 2. Wanachama wengi waliojitokeza katika mikutano yake wakienda kutazama majeraha aliyonayo na...
  6. M

    Maswali fikirishi kuhusu shambulio la Mbowe

    1. Kwanini Mbowe ameshambuliwa saa chache tu baada ya Lissu kutangaza nia ya kugombea urais? kwamba Timu Lissu wanaamini Mbowe ni kikwazo cha kupata nafasi ya kupeperusha bendera ya Chadema katika uchaguzi Mkuu. 2. Wakati Mbowe anashambuliwa walinzi wake binafsi wa CHADEMA ukiacha wa Serikali...
  7. M

    Uchumi wa ajira na ukweli kuhusu Tanzania ya viwanda

    Anaandika John Sm Mgejwa Kuna kipindi nchini Kenya hasa mwaka 2009/10 kwenye mapato yaliyokuwa yanakusanywa kwa mwaka, 47.3% ya Fedha zilizokusanywa zilikuwa zinatumika kulipa mishahara ya watumishi, kiwango hiki lilikuwa juu ya kile Cha kimataifa ambacho ni 35% ya makusanyo yote. Hii ina...
  8. M

    Godlisten Malisa: Namuunga mkono Rais Magufuli kufungua vyuo vya elimu

    Na GODLISTEN MALISA Kwa maoni yangu nadhani hatua ya kufungua vyuo na taasisi nyingine ni muhimu japo ni muhimu zaidi kuendelea kuchukua tahadhari kama alivyosema Rais JPM. Ukweli ni kwamba janga la Covid19 sio jambo la muda mfupi kama ilivyotarajiwa kwamba litakuja na kupita. WHO wamesema it...
  9. M

    Mchungaji Msigwa umetukosea heshima wanandugu kwa kushindwa kutambua mchango wa fedha za familia

    Nimemsikiliza kwa makini ndugu yangu PETER MSIGWA kwenye hotuba yake na vyombo vya habari ambapo yeye na viongozi wengine wa Chadema waliokuwa gerezani wameachiwa huru baada ya kulipa faini. Kilichonishangaza ni MSIGWA kushindwa kutambua mchango wetu wa kifedha uliokuwa unaratibiwa na kaka...
  10. M

    Wengi hawajaielewa kauli ya Dkt. Ally Bashiru kuhusu CCM kutumia faida ya kuwa na dola kuendelea kubaki madarakani

    Nimeona tafsiri potofu/uelewa finyu kuhusu Kauli hiyo ya BASHIRU, Msingi wa kauli hiyo ni dhana ya kitaaluma ya INCUMBENCY ADVANTAGES inayotumika katika Political Science. Chanzo cha tafsiri hio POTOFU inaweza kuwa uelewa hafifu wa dhana ya INCUMBENT ADVATANGE au inafanyika maksudi ili kupata...
  11. M

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM. Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
  12. M

    Kwanini uwekezaji mkubwa wa kimkakati unaofanywa na Serikali ya awamu ya tano utaongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo ya watu.

    Serikali ya awamu ya Tano katika dhamira yake kuu ya kujenga uchumi wa kati wa viwanda, imekuwa ikijenga miundombinu wezeshi ya kufika azima hiyo. Kutokana na miundombinu hiyo ukuaji wa maendeo ya watu unafanyika.Mathalani Umeboreshaji wa sekta ya elimu kwa kuongeza bajeti ya mikopo kwa...
  13. M

    CHADEMA isiogope kujirudi ili tusonge mbele kwa pamoja

    Nianze kwa kumpongeza sana Mh. Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, kwa mambo mawili. Kwanza kitendo chake cha kuhudhuria sherehe za Uhuru mwezi Disemba, 2019 kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 umalizike. Pili kwa kitendo chake cha kumuandikia barua Mh. Dkt. John Pombe...
  14. M

    Masuala haya ambayo MBOWE atayazungumzia kwenye mkutano na waandishi wa habari ni hadaa kwa umma.

    Mkutano wa mwenyekiti wa Chadema FREEMAN MBOWE na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika leo Februari 03, 2020 majira ya 5 asubuhi umejaa hadaa na upotoshaji kwa umma, nitafafanua kila jambo kwa hoja. Tume huru ya Uchaguzi. kamati ya Maridhiano Marekebisho ya katiba kuzuiwa kusafiri nje...
  15. M

    Naomba kufahamu wakala mzuri wa kuagiza gari kutoka Nje

    Wanajamvi naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu na uzoefu wa wakala wa uagizaji magari kutoka nje ambao hawana longo longo.
Back
Top Bottom