Search results

  1. johntoto2000

    Nape: Dr. Slaa anaiua CHADEMA

    Nape sema usiogope sema SISI wazerendo tuko nyuma yako.
  2. johntoto2000

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    Unamfahamu kwa upande mmoja kwa upande mwingine ni mbunifu wa migogoro.anatofautiana na wasomi wengine kama prof Lipumba ,mwandosya na wasomi wengine ambao zaidi ya siasa za projo taaluma zao zinasaidia sana ktk maendereo.hajawahi hata kuotesha walau mti kwa maendereo.
  3. johntoto2000

    Chadema: Tupeni miaka mitano tungoe umaskini

    Hatudanganyiki ng'o
  4. johntoto2000

    Chadema kutokubali uchaguzi mdogo Arusha Mjini kunazua maswali!

    Chadema wanaogopa kurudia uchaguzi arusha kwa sababu kubwa mbil 1;ilikuwa ni mapema mno kurudia uchaguzi kabla hawajaenda kuwapigia magoti wahisani wa nje kuomba mabilioni ya pesa ili wachakachue nakudanganya kuwa ghalama za kurudia uchaguzi zimetokana na michango ya wananchi.na mabilion hayo...
  5. johntoto2000

    Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro Aachia Ngazi and Soon to Defect to ....

    Huyo jamaa ameona hana sababu ya kuendelea kuidhurumu nafsi yake kwa kuwa ktk chama chakizushi kinachoeneza uchochezi kila kukicha kulaghai wananchi kila siku,hakika huyo ni mzarendo wa kweri anayeipenda nchi tz
  6. johntoto2000

    Chadema: Tupeni miaka mitano tungoe umaskini

    Hatudanganyiki ng'o .
  7. johntoto2000

    Dr. Slaa anasa nyaraka za siri za CCM za kuingiza silaha nchini

    Wasomjua dr slaa wanitafute,sisi huwa tunamwita slahama ,maaana yake ni aina ya wazimu ktk lugha ya kwao .kwasababu ya kuzusha mambo na kuchonganisha jamii.na kumbuka kisa kimmoja aliwahi kuzusha karatu kuhusu maji,watu wakataka kuuana mungu kaweka mkono wake.hatufui mtu huyu hata kidogo.ebu...
  8. johntoto2000

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Hivi cdm wanapochukua mabilon toka nje wanajilipa HELA YA EPA RICHIMOND?.
  9. johntoto2000

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Hongela sana nape kwakutuweka wazi,hakuna mzarendo wa kweri asiyejua kuwa migogoro tunayoishuhudia ktk mataifa mbalimbali inatokana na uchochezi wa mataifa makubwa,Cdm mnakataa nini hamjawahi kufadhiriwa na mataifa makubwa?.mabilion yao mtayalipaje kama sikutumia rasilimari zataifa pindi...
  10. johntoto2000

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Hapa Dr slaa anajitetea inaonekana kuna kuna jambo NAPE AMEWAGUSA.JE kama kweri Mnachukua mabilion nje ili mchukue madaraka 2015 ;Mkishaingia mtayalipaje ?.kuna biashara gani ikulu?.na kwa nini unasema uutashinda uchaguzi wakati bado muda wake ?.kama Nape kasema uongo kwanini msimshitaki kwani...
  11. johntoto2000

    Tutazuia Sensa mahakamani na kwa maandamano ya amani - Sheikh Ponda Issa Ponda

    Mi namshangaa sana ,si kazi ya serikali ya kuhesabu waumini wa madhehebu.kama anataka kujua waislam wako wangapi waanzishe daftari la kusajiri waumini wao kama wanavyofanya wa materialistic na mambo ,ambao wana record ya toka mika 2012 iliyopita.wao wakisha kubatiza wanatunza kumbukumbu ambazo...
  12. johntoto2000

    Mdee naye amkana Zitto na Urais...

    Lakini zito si anafaa kuwa rais ?.au ndio mnamchakachua kiana
Back
Top Bottom