Search results

  1. N

    Nani anafaa kuwa Kaka wa Taifa?

    Habari wakuu zangu. Naomba niwe wa kwanza kuwatakieni wote heri ya Sikukuu ya Christmas na Heri ya mwaka mpaya 2022. Mungu wetu aendelee kuwalindeni nyote tuvuke Salama. Ni hivi, nikiamshwa usingizini nikaulizwa ni nani Baba wa Taifa bila kusita nitasema ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
  2. N

    Ninaitaji eneo lililo wazi na kubwa la kukodi Jijini Dodoma

    Habarini wanajamvi Ninaitaji eneo lililowazi na kubwa la kukodi Jijini DODOMA preferably maeneo ya Uzunguni (kuanzia maeneo ya NHIF mpaka Dodoma Hotel) Liwe na sifa zifuatazo:- 1. Lifikike kwa gari 2. Lipo ndani ya fensi. 3. Halina mgogoro 4. Liwe wazi ndani au liwe na simple structure (kama...
  3. N

    Natafuta Tuition Center nzuri DSM

    Habari za weekend ndugu zangu. Mwezi June-July mwanzoni nitahost vijana kama 9 wa kidato cha 4 kutoka kijijini kwetu ambao niliwapromise kuwasaidia waweze kufanya vizuri zaidi kwenye mitihani yao ya form 4 mwaka 2021. Natamani sana kulifanya zoezi hili kwa ukamulifu nione kama linaweza...
  4. N

    Most Learned TLS members, ni kitu gani kimewasibu mwaka huu ??

    Habari za weekend JF members. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa wale wenyeji wa Jiji la Arusha mtakumbuka jinsi ambavyo jiji la Arusha linavyozizima kipindi mkutano wa chama cha wanasheria Tanzania (TLS) na wakati uchaguzi wa rais wa TLS unaendelea pale kwenye kumbi za AICC. Miaka...
  5. N

    Matumizi ya Sentensi "You are so Sweet” na uhalisia wake

    Habari wanajamvi, Ongereni kwa kazi za kila siku. Binafsi umri wangu umesonga kidogo (50s) sasa. Kwa ufupi ni kwamba, nimejitahidi sana sana kuwa mwaminifu katika maisha yangu ya ndoa na sasa tuna watoto 4 (2 universities na 2 secondary schools) tunamshukuru Mungu sana sana. Hata hivyo na kama...
Back
Top Bottom