Search results

  1. eburtm

    Kontena La 40ft Linauzwa Ununio

    Picha inaweza patikana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. eburtm

    Ajali Arusha: Trafiki Saba, wanasurika kifo, gari la Polisi lagongwa

    Wafuate maadili ya kazi kwa sasa ni wasumbufu na pia kujifanya wapi juu ya Sheria lasagna hiyo inaambatana nao
  3. eburtm

    Simu za kupangusa zawaponza wanajeshi wa Israel -IDF

    Mkuu hiyo niliipata katika training moja hivi nilikuwa na Jamaa yangu kutoka huko as official. Anyway that's how it is
  4. eburtm

    Simu za kupangusa zawaponza wanajeshi wa Israel -IDF

    Mkuu hili usemalo nawezakubaliana nalo kwa kuwa nimeshawahi kusikia kuhusu mradi wa mabasi huko Cameroon pia kulikuwa nakifaa cha kurekodi ( it works as black box ) ila kila lililokuwa likiongewa na wananchi loliweza kufika kwa vyombo vya usalama na kuchujwaa mbaya zaidi taarifa hizo zilivuka...
  5. eburtm

    Basi la kampuni ya Dar Lux lapata ajali

    Nashukuru kwa maelezo hayo nakumbuka nilishafanya hivyo pale kabuku nilisimama like 700m toka aloposimama traffic nikamueleza same to your words above hakuwa na lakusema
  6. eburtm

    Basi la kampuni ya Dar Lux lapata ajali

    Kwanini tusiwe na Sheria ambayo itawabana wananchi wanaoacha kutumia kivuko cha (zebra) kwamba wanahatarisha maisha yao kwa kuvukia maeneo yasiyotengwa kwa ajili hiyo mfano kuna daraja la kuvukia ubungo, manzese na buguruni, sote mashahidi kwa jinsi inavyopelekea usumbufu kwa madereva. Ni wazo...
  7. eburtm

    Basi la kampuni ya Dar Lux lapata ajali

    Pole kwa wasafiri wote kwa mashituko wa hiyo ajali, ki ukweli naungana na baadhi ya wasemaji wengine kuwa kuna baadhi ya polisi wa usalama husimamisha magari kwa lengo zuri la kuhakikisha usalama tatizo huwa hawatathimini je hapo wanapoyasimamisha pana nafasi ya kutosha kuruhusu magari mengine...
  8. eburtm

    Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    Kuna Mr. Lukinga na Magembe hawa nao walikuwa njema phy na chemistry and bios
  9. eburtm

    Jipatie clean Phone kwa bei Rahisi..

    Hello unapatikana wapi
  10. eburtm

    Dr. Kigwangala: Sikusoma High School na Ndg. Juma Mwaka, tuhuma zinazosambazwa mitandaoni ni uzushi

    Hongera Dr. Kwa msimamo thabiti wa kutetea wananchi.. Kuna story nyingi tu kuhusu ubanaishaji wa So called Dr. Year.... Naendelea na nitaendelea kuunga mkono kazi yako tukufu.
  11. eburtm

    Ripoti ya CAG inaonesha kuwa, Halmashauri 3 za CHADEMA zimepata Hati chafu

    That's a challenge with accountability
  12. eburtm

    Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    After all kuziboresha hizo bandari za tanga mtwara itasaidia hata kutupunguzia Magari ya mzigo hapa mjini same to foleni.. Vivaa Dr Pombe
  13. eburtm

    Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    Mie namkubali mrisho, magembe
  14. eburtm

    Ugomvi kati ya JK na Lowassa ni mpango wa Mungu

    Very true kuwa upinzani umetuletea Neema kwa kutupa Mh. Magufuli. Binafsi nampongeza eddo kwa kuleta upinzani na kuamsha utendaji wa serikali. Hongera watanzania
  15. eburtm

    Maagizo ya Serikali ya awamu ya 5 Yaanza kupotoshwa

    Nadhani ifahamike kuwa hata Kama. Utalipiwa 100% na mfadhili bado kuna pesa ambayo serikiali inatakakiwa kumlipa mtumishi huyo incidental ambayo Pia ni gharama.
  16. eburtm

    Lowassa Amjibu Slaa

    QUOTE=Kokolo;13895649]Kwa mtu mpumbavu kama Lowasa uwezi, kujibu kwa wepesi hivyo, labda kwa nyumbu watakuelewa, Anasema wengine wako wapi idiot!!!, wangapi wanagombania urais si ni wewe tu, Mwizi ni mwizi tu tunataka mtu safi na siyo mwizi kama wewe. Sio Lazima wawepo katika kugombea urais...
  17. eburtm

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Duh this move ni hatareee anyways kweli nothing impossible under the sun. Go go EL..
  18. eburtm

    Habibu Mchange yupo Star TV anaichana CHADEMA

    Dogo kweli mweupe hawavijana ni hovyo . Sasa mambo ya 2011. Hakuweza kuyaongea that time shame on him machange
Back
Top Bottom