Search results

  1. makwagejo

    I am the State tumeskia hicho kitabu, ila kuna siku Chato watasema we are the state

    Tunashuhudia viongozi wetu wa Afrika kukumbukwa mara baada ya kupoteza maisha, lakini kwa Chato imekuwa kama tofauti sana, Thomas Sankara leo kuna watu wanatamani kumzika upya, kwa sababu ya msingi katika kusimamia taifa lake. Leo JPM hayupo tena duniani, lakini vizazi vinakuwa vitakuta hotuba...
  2. makwagejo

    Geita ya Martin Shigella na siasa mpya ya mwelekeo 2030

    Mh Rais leo yalikuwa maazimisho ya miaka 46 ya CCM, lakini mkoa wa Geita naona una nguvu kubwa sana , binafsi kwa upande wa upizani sioni wa kusimama na chama cha mapinduzi mkoa wa Geita, sina uhakika wa mikoa mingine Lakini nafikiria kuna mwamba anakuja 2030, kanda ziwa unaweza ikatoa...
  3. makwagejo

    CWT na dhambi ya Walimu walioajiriwa 2013, dhidi ya Serikari ya Magufuli na Mama Samia

    Evil does not pay, leo imebainika wazi CWT ni agent wa CCM, hata kama mlioteuliwa mmegoma kuapa ila mmeumiza watu sana na walimu wanaodhalilishwa kwa kufungishwa mikataba ya hovyo. • Mh Rais huyu mama alisifiwa sana na JPM, hata kumteua tu umempa neshima sana, lakini ni miongoni mwa watu ambao...
  4. makwagejo

    Hiki hapa kinachochea wizi wa mitihani

    .unapoweka mkataba wa kufaulisha wanafunzi kwa asilimia 70% au 80% bila kuzingatia mazingira ya mtoto anapoishi huo utakua an academic Plagiarism, serikali inapaswa kuchukua hatua dhidi ya matatizo waliyonayo wanafunzi, na wadau wa elimu wakiwamo wazazi na serikali si jambo la mwl pekee, ...
  5. makwagejo

    ‘Ujinga’ wa CHADEMA na Katiba Mpya

    Hebu fikiria mama Samia alitoka wapi kwenye bunge la katiba? Tatizo la chadema wanataka kupewa katiba kwa hisani, kama mwl nyerere alivyoruhusu vyama vingi vya siasa, Ccm ina asasi nyingi zilizosajiriwa kwa makundi mbalimbali kama vile vyama vya wakulima na vyama vya ushirika ,na ukisoma ilani...
  6. makwagejo

    Katibu Mkuu TAMISEMI unajua unavyoleta shida huku mikoani?

    Hivi unajua watu wanavyoliowa areas zao kwa mafungu? Yaani unatusababishia watu waanze kujihusisha na rushwa, unakuta kituo kimoja cha kazi mtu analipwa mapunjo ya mshahara wengine wanaachwa na wamepanda daraja mwaka mmoja na tarehe hiyohiyo, unajiuliza huyu alielipwa na wengine kuachwa ametumia...
  7. makwagejo

    Mmetoa ruzuku ya mbolea, vipi ruzuku ya mvua?

    Umekua wimbo sasa ,ruzuku ya mbolea, ruzuku ya mbolea, lakini kati kati ya mbolea na uhakika wa mvua kipi bora? • Tanzania hatuvuni maji, maji mengi sana yanapotea, lakini hatuna uhakika na mvua au kilimo cha umwangiliaji alafu mtu anajitokeza anasema kilimo kwa sasa n tozo inenda kutatua...
  8. makwagejo

    Jeshi la zima moto latoza 60,000/- kwa kila nyumba ya kulala wageni (guest house)

    Jamani hivi hii sheria ya kutoza fedha 60,000/- kwa mwaka kila nyumba ya kulala wageni mkoa wa Simiyu ni haki? Ofisi ya biashara tunatoa 10% kila mwezi bado tunalipa TRA 250,000/- ambayo ni makadilio ya hovyo sana. Leo tunaletewa zima moto 60,000/- kwa mwaka jamani, hii ni haki? hapo ujalipa...
  9. makwagejo

    Usidhani wanawake wenzio wanakupenda

    Binafsi sina chuki wala kinyongo, mh rais huku wananchi haswa wanawake hawakupendi na hawakutaki, maana maisha yao ni duni sana, hata kriniki kadi imekua hela, ila kama huamini endelea na mipango yako: Usidhani wanawake wa Dodoma na Dar ndio wanawake pekee, yaani unavyosema kilimo cha mbolea...
  10. makwagejo

    Maboto mnatunyanyasa wateja

    Naomba wenye namba na masiliano makoa makuu Maboto Micro finance, atusaidie. Tunaomba balance tuwalipe madeni yenu mkononi hamtaki mnataka kumshikiria mteja ili iweje, hamjui dunia ya leo ni soko huru la kukopeshana, taasisi ni nyingi na masharti nafuu, sasa unaombwa balance unasema balance...
  11. makwagejo

    Uchaguzi 2020 Lissu ameahidi kurejesha mishahara ya Watumishi waliogombea

    •LISU AMESEMA WATUMISHI WALIONGOMBEA NA KUSITISHIWA MISHAHARA YAO,WATAREJESHEWA KAMA MAPUNJO YA MSHAHARA WA KAWAIDA,AMESEMA WATUMISHI WALILADHIMISHWA KUANDIKA BARUA ZA RIKIZO ZISIZO KUA NA MALIPO YA MIEZI MIWILI, •LISU AMESEMA HUU NI WIZI KAMA WIZI MWINGINE,AMEHOJI MAMBO YAFUATAYO,: JPM WAKATI...
  12. makwagejo

    Marejesho ya mikopo NMB na CRDB kwa watumishi waliotangaza nia 2020 zimekatwa kwenye mishahara

    Poleni watumishi mliogombea na kurudishwa kazini, poleni kwa makato ya mwezi mmoja kwenye mabenki mliokopa na serikali kutopeleka marejesho kwenye bank. Hii ndio CCM, Chama cha Mapinduzi. Kiherehere chenu watumishi kugombea kimewaponza.
  13. makwagejo

    Uchaguzi 2020 Watia nia watumishi wapigiwa simu kurejesha mikopo yao huku mshahara ukiwa umesimama

    Kwanza poleni sana watia nia watumishi kwa kukosa mishahara miezi miwili mfululizo Nimesikia mmepigiwa simu kutoka bank tofauti tofauti kurejesha marejesho ya mikopo yenu personaly bila kujali hamna mishahara au la, poleni sana, tena sana. Maelekezo ya awali kabla ya 2015, ikikua kutangaza nia...
  14. makwagejo

    Baadhi ya Halmashauri kuwahifadhi watia nia kwa kutokatwa mshahara, mamlaka husika chunguzeni

    Licha ya kuwepo kwa zuio la watumishi kutolipwa mishahara kwa kutangaza nia ya kugombea kuna baadhi ya halmashauri kuwalinda wengine na kuendelea kufanya kazi kama kawaida licha ya katibu mkuu kutoa maelekezo ya kutolipwa miezi miwili huku wengine wakiombwa kuandika likizo ya miezi miwili. Hoja...
  15. makwagejo

    Tundu Lissu na kurudia Uchaguzi 2020

    Muhimu sana kujua mbinu za ushindi wa lisu na ccm kuwa na tahadhari nazo mapema sana, •Kwa vyovyote vile mwaka huu hakuna uchaguzi maana najua hata kama lisu atashindwa kwa haki hatakubali na jpm akishindwa kwa halali hatakubali,mbinu ya lisu ni hii, Wasimamizi wa lisu kuanzia majiji watakua...
  16. makwagejo

    Uchaguzi 2020 Katibu mkuu CCM, toa ufafanuzi juu ya fedha ya fomu Ubunge na fedha ya matumizi ya ofisi

    Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM, • Mh Katibu Mkuu kuna tetesi juu ya fedha ya fomu ya nafasi ya ubunge na fedha ya mchango wa matumizi ya ofisi kwa wanaochukua fomu, • Inasemekana fomu ni 100,000 (laki moja)= ya ubunge lakini kuna fedha ya matumizi ya ofisi 1,000,000=milion moja, jumla gharama...
  17. makwagejo

    Lissu umekosa mtu mbishi ambaye hajawahi kushindwa, sasa umeshindwa

    •Lissu kumbuka ktk harakati zako za siasa,ulijenga watu na vijana ambao uliwahimiza hivi,"ukitokea ubishi wowote kijana wa chadema uhakikishe kuwa hushindwi na ubishi huo unaouzungumza"kwa maana hakuna kukubali kushindwa kwa namna yoyote ile, •Kwa bahati mbaya sana kanuni hiyo imekuwa mwiba...
  18. makwagejo

    Rais Magufuli huu ni mtego, jiridhishe kwanza ndio wanafunzi warudi chuo

    Mh. Rais nakuomba ujiridhishe zaidi kabla ya wanafunzi kurudi chuo maana unaweza ukawa mtego mkubwa wa kukuchafulia sifa kubwa. • Unaweza kutegwa na kuibua hasira za wazazi wenye watoto vyuoni ,angalia sna isije ikatokea kirusi kuibuka upya maana mstaafu amesharuka mtego, amesema wazi mwenyewe...
  19. makwagejo

    Jogoo alala njaa akiwa na mende

    Salaam ziwafikie wadau na wapenzi wa siasa,mwanzo niliandika ili chadema ipone itake toba kwa slaa. •Hoja yangu kubwa siyo kuchukia chadema ,hapana isipokuwa kushauri nini kilichofanyika chadema kuzimika na kuisha kama mshumaa. •CHADEMA kulikuwa na sharp criticism against the...
  20. makwagejo

    Faith is lost in the system and the government faced fiscal financial problems

    Tanzania tumekuwa tukitumaini serikali yetu kwa kiwango cha juu sana,huku wengine wakituaminisha serikali inandimi mbili jambo hili limetukosesha imani sisi tunaomuunga mkono mh rais,nilimsikia mh rais akihutubia kuwa viongozi wamekuwa waongo na uzushi mtu kuwa covid 19,inakufa kwa...
Back
Top Bottom