Una roho mbaya aisee.
Ungemwoa mwana wa daktari.
Alikuw tiyari hata serikali kumaanisha hata dini angebadili awe mkatoliki kama wewe.
Ila una roho mbaya kama nguchiro wakati alikufaidi na kukupa msaada na hata kutokusumbua kwa kuwachakata mabinti wengine
Watu wa kanda ya Ziwa mna roho hizo...
Wewe ni Mndengereko wa Kibiti. Kilifi hatuna tatizo la LA na RA.
Mushkil hatuwezi katu kutamka 'mushkiri'.
Mtiririko wako wa lugha ni Kimrima kabisa wala sio cha pwani ya Kenya.
Fuhenzane Umwenga wa Amidzichenda, Fumanyane Fuuzane, Dho'me ra Adzukulu A Mbodze.
Udugu udumu madhumuni kureha Adigo na Amidzi osi phamwenga ili tusaidiane chimawazo kuendeleza Udigoni/ Midzi yehu na pia tufunzane ndimi, hadisi za adigo na amidzi kwa jumla na ng'anzi za imu za chidigo kwenda visa
Lamu or Lamu Town is a small town on Lamu Island, which in turn is a part of the Lamu Archipelago in Kenya. Situated 341 kilometres (212 mi) by road northeast of Mombasa that ends at Mokowe Jetty from where the sea channel has to be crossed to reach Lamu Island. It is the headquarters of Lamu...
UTENDI WA MWANAKUPONA:
Mwenye kutunga nudhumu
Ni gharibu mwenye hamu
Na ubora wa ithimu
Rabbi tamghufiria
Ina lake mufahamu
Ni mtaraji karimu
Mwana Kupona Mshamu
Pate alikozaliwa
Tarikhiye kwa yakini
Ni alifu wa miyateni
Hamsa wa sabini
The author of this work
is a sorrowful widow
her worst sin...
Vivutio:
Hisoria ya Waswahili na Kiswahili - Lamu ikiwa mojawapo ya machimbuko kuanzia karne ya Nane
Hali ya maisha isiyoathirika na mamboleo
Hewa safi na mandhari murua ya bahari na misitu
Kitovu cha Wangozi waliloanzisha lugha ya Kiswahili kijijini Ndozi kisiwa cha Kiwayu
Mto Tana
Mji wa Kale...
Vivutio vya Lamu:
Lamu
home > places to visit > coastal kenya > lamu
Lamu is a place like no other, a peaceful tropical island where life is lived at it’s own relaxed rhythm, but a place whose history is as mysterious and fascinating as the winding streets of it’s medieval stone town.
The...
Mahoteli na bei:
- Zingatia kwamba bei niliyoweka ndiyo ya kuanzia..yaani ya kiwango cha chini zaidi ( Mtu mmoja, Jumba standard, Kulala na Kiamshakinywa).
- Bonyeza kwenye jina la hoteli ili kupata habari zaidi kuhusu hali, viwango mbalimbali na bei, muonekano, jinsi ya kufanya malipo na...
Pia kuna ndege za bei nafuu kutoka nairobi au Mombasa. Hela za Kenya Kshs 7,000 au 140,000 Tshs. Madege yanatua kisiwa jirani cha Manda halafu dau/ motaboti lakupeleka AMU TAMU.
Ukiwa Dar au Tanga au hata Arusha panda basi la Tahmeed au Modern Coast ya moja kwa moja kwenda Mombasa/ Malindi/ Lamu.
Ukifika Mombasa gari litavuka kwenda ng'ambo ya pili likitumia kivuko. Mtalipanda tena ng'ambo ya pili..kuna sehemu ya abiria kuketi kwenye kivuko/ feri.
Mombasa hadi Mokowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.