Search results

  1. doriani

    Muungano una uhalali wa kisheria?

    Kuwepo kwa Muungano wa Tanzania kumekuwa ni jambo la kupigiwa mfano kwa upande mmoja na lenye kutiliwa mashaka kwa upande mwengine kutokana na kukosekana ushahidi wa kisheria unaothibitisha kuwa umefanywa kihalali kwa mujibu wa hati ya Mkataba wa Muungano. Hizi ni nchi mbili ambazo ni Jamhuri...
  2. doriani

    Kitabu Cha Wakristo na Biashara ya Utumwa.

    Hiki ni kitabu kikongwe katika vitabu vingi hapa Ulimwenguni hata kuzidi kitabu cha Waislamu, na tuangalie kwa pamoja habari hii ya biashara ya watumwa. Utumwa katika dunia. Tukianzia katika miaka ya kiza mwenye nguvu ndie atawale. Vita vinapotokea baina ya nchi na nchi au kabila hii na kabila...
  3. doriani

    Ukitaka kuua taifa na utaifa, wanyime watu uhuru wa kuhoji na kutowa mawazo yao

    Ukitaka kuuwa taifa na utaifa, wanyime watu uhuru wa kuhoji na kutowa mawazo yao. Ukitaka kuuwa Demokrasia, wanunue wabunge na wawakilishi wa watu waungane na watawala, wape marupurupu mazuri kutokana na kodi za watawaliwa, wapige msasa wageuke kuwa tabaka maalumu lisiloweza kuhojiwa au...
  4. doriani

    Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalipatia uhuru wa kweli Wazanzibari?

    Karibu Zanzibar itasherehekea Mapinduzi ya 1964 kwa kutimiza miaka 56 ya uwepo wake, sherehe ambayo hufanyika kila mwaka, nimeona ni vyema namimi nitowe machache kama ni mchango wangu katika jamii yetu. Mchango ambao utajikita zaidi kuhusu Mapinduzi ya 1964 na namna yalivyopinduliwa tena tarehe...
  5. doriani

    Mtumwa ni nani na utumwa ni nini?

    Tukianzia kwenye miaka ya kiza mwenye nguvu ndie atawale. Vita inapotokea baina ya nchi na nchi au kabila hili na kabila lile, wale watakao shindwa vita, hao huchukuliwa kama mateka. Hivyo alieshinda vita hiyo ni hiari yao kuwauwa hao mateka au kuwatumia kwa shughuli yao kama Watsona inafaa...
  6. doriani

    Biashara ya kuuza Uhuru wa Nchi ni mbaya zaidi ya biashara ya Utumwa.

    Nimeona ni vizuri niandike Makala hii ili waungwana akina Pascal Mayalla na wenzake wa some na waelewe ninachokusudia. Viongozi na waandishi wengi nchini mwetu huwa hawana dhamira njema ya kutaka kuwaeleza vijana wetu matokeo sahihi ya historia ya watu wa Oman na wananchi wa visiwa hivi vya...
  7. doriani

    Sera ya Muingereza juu ya Zanzibar

    Sera hiyo ililenga kuvipatia Uhuru wa bandia na kuvitenga moja kwa moja na mwambao wa Kenya (Mombasa) na kuiviunganisha na Tanganyika. Lengo la Sera hii ya Uingereza ni kupunguza nguvu ya Waislamu wa Zanzibar na wa mwambao wa Kenya kwa kuweka kizuwizi baina yao na kuondoa fungamano la...
Back
Top Bottom