TANESCO angalieni hili jambo, hivi kweli mwaka huu jua limewaja lini hadi maji yakapungua kiasi cha kupunguza uzalishaji kwa kiwango hiki?
Serikali inahubiri maendeleo huku haina umeme wa uhakika, hizi ni ndoto.
Mtaani kwangu umeme unakatwa saa 1 asubuhi hadi saa 2 usiku, sijui hizo line zenu...
Tabia za kipumbavu kabisa hizi na hazipaswi kuvumiliwa.
Unatumiwa ujumbe eti hongera umejiunga huduma fulani na kukatwa salio hapo hapo akati ukiwa na akili zako timamu kabisa hakuna huduma uliyojiunga. Nkahisi labda nmejichanganya bila kujua watu kadhaa walionizunguka nao imeewatokea.
Hivi...
Kwanza nitoe pole kwa wote walioguswa na vifo vya vijana wetu.
Zaidi nitoe pongezi kwa Uongozi, wakufunzi, wanachuo na jumuiya yote ya Chuo kikuu cha kilimo Sokoine Morogoro.
Kusafirisha maiti wawili kutoka Morogoro hadi Arusha kugharamia sanda, jeneza kutuma wawakilishi, bado mkatoa na fedha...
Kwa wale wa Njombe, Mbeya, Iringa, Arusha na ndugu zao ambao kiasili ni maeneo ya baridi bila shaka mtakubaliana nami kuwa msimu huu hali imekuwa mbaya kweli, mablanketi hayafui dafu.
Sasa kuna hii mbinu, pasha maji (siyo lazima yachemke km ya ugali), weka kwenye chupa za maji (hizi za...
Kwa utafiti wangu usio rasmi nimegundua kumekuwa na wimbi kubwa la matumizi ya madawa au njia za uzazi qa mpango kwa mabinti wadogo ambao hata hawajaolewa na wengine bado wako shuleni.
Hii imekaaje kwa wataalamu wa afya linaruhusiwa hili jambo? Kwa nini manesi wanafanya haya mambo kwa watoto...
Vijana wanawaza wizi tu, ukabaji na matendo mengine ya ovyo.
Ukija kutembea Arusha jipange maana unaweza kukosa hata nauli ya kurudi ulipotoka.
Bado nchi hii sijaona wezi wenye ushirikiano kama hawa wa Arusha.
Acheni bangi vijana wa chuga fanyeni kazi halali tuheshimishe mkoa wetu[emoji849]
Wakuu mwenye kufahamu kama Lyamungo High School kuna combination ya PCM anijulishe tafadhali.
Kuna dogo kapangwa huko PCB ila yeye anataka PCM nimemuahidi kumtafutia taarifa.
Natanguliza shukrani.
Wakuu mimi najaribu kuwaza tu kwa wepesi wangu wa akili.
Sote tunajua kwamba mambo ya usalama wa nchi na hasa yale yanayohusu jeshi huwa ni siri ya jeshi japo wananchi tuna nafasi yetu ya kushirikiana na jeshi maana nchi ni yetu sote na jeshi ni mali ya wananchi kikatiba.
Sasa swali langu ni...
Hapa nimetumia neno wazungu nikimaanisha watu weupe kiujumla ila hasa Ulaya na Marekani.
Kuna mashindano ya mambo mbalimbali yamekuwa yakitokea hasa kwa viongozi wa siasa wa kiafrika kupinga mambo ya wazungu kwenye najukwaa mbalimbali tena kwa mbwembwe nyingi.
Binafsi hii mijadala huwa...
Viongozi wenzangu,
Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ufuatiliaji unaofanyika shuleni na OR TAMISEMI Umebaini mambo mengi ikiwa ni pamoja na:
1. Baadhi ya walimu ktk Shule za Sekondari wameanza kufundisha maudhui ya masomo mbalimbali wakati Wanafunzi hawajawezeshwa kuwa...
Wizara ya elimu haina kichwa wala miguu, mamlaka ni nyingi haieleweki kiongozi ni yupi kila mmoja na lake, hadi viongozi wa kisiasa ila mtekelezaji ni mmoja tu, mwalimu. Miluzi mingi humpoteza mbwa.
Maagizo, maelekezo na vitisho kwa walimu kila uchwao tena kwa mambo yasiyopo kwenye syllabus...
Binafsi nmekuwa nawaza hili jambo kwa muda mrefu kwani ni mwenyeji wa kaskazini ambako ni wafuasi wakuu wa kusafirisha maiti kwa misafara.
Sijui misafara ya maiti huwa ina kitu gani nyuma ya pazia ila kwa ufahamu wangu tangu nakuwa nmekuwa nikishuhudia ikipata ajali nyingi na matukio ya ajabu...
Wakuu naomba kujua bei ya hivi vishikwambi vilivyogawiwa kwa walimu kwa mujibu wa bei ya serikali, nahisi kuna watotovwa mjini wamepiga mabn hapa.
Kishikwambi chenyewe kinaitwa Pritom M10, ni low quality kabisa, spika mbovu, screen kama mbao, camera giza tupu n.k
Nimejaribu kusaka taarifa zake...
Wakuu msaada, siku kadhaa nmekuwa nikitaka kuona post zangu au post niilizoreply kwa kubofya avatar yangu naletewa huo ujumbe.
Msaada wenu ndg wataalam.
Wakuu hii nchi inakwenda kama haina mamlaka za kulinda wananchi kabisa.
Sasa ukiwa na fedha benki unakuta zinapungua tu kwa makato ya ovyo yasiyo na kichwa wala miguu.
Makato ya ATM nayo naona yamepanda kweli kutoka 1100-1500 imefikia zaidi ya sh 2200, nimetoa laki mbili mara 3 tofauti NMB na...
Wakuu niko Arusha, mara nyingi huwa naona kwenye TV tu ila awamu hii nimeshuhudia kwa kwa uhalisia kabisa bila chenga.
Nimehesabu magari nikachoka nikaacha ila nikabaki kujiuliza maswali tu.
1. Gharama za huu msafara na afya kwa taifa. Kuna madhara gani magari yakapunguzwa?
2. Kama...
KCMC imebaki jina tu, hospitali hii pendwa kwa miongo kadhaa sasa nakiri mbele ya umma, labda nipelekwe sijitambui ila kwa huduma nilizopata na kushuhudia kwa wateja wengne, hakika huu ndio mwisho wangu kutia miguu hospitali hii.
1. Customer care mbovu, hawajali wagonjwa /wateja.
Madaktari...
Wakuu tuongeze umakini kwenye hizi huduma za mitandao tunaibiwa kweli.
Mara kadhaa nimekuwa napata wasiwasi wa kuibiwa fedha ila napotezea.
Ukiachana na wizi tunaofanyiwa kwenye vifurushi kama vya internet, huduma tunazoungwa kiholela na kukatwa salio bila ridhaa n.k, pia kuna hii huduma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.