Search results

  1. Lizzy116

    Padri aingilia ndoa ya Stamina, awaita kanisani na mkewe

    PADRI wa Kanisa Katoliki, Dk Bernard Msike ambaye aliwafungisha ndoa staa wa Hip Hop, Bonaventure Kabogo ‘Stamina’ na mkewe Veronica Peter katika Kanisa la Mt. Maria Consolata mkoani Morogoro, amewaita wanandoa hao kanisani kwa ajili ya usuluhishi. Padri huyo aliwafungisha ndoa hiyo Mei, 2018...
  2. Lizzy116

    Sifa 10 za mwanamke mzuri anayekufaa

    1. Kusamehe Ni vigumu kuwa katika uhusiano halafu uwe hauna moyo wa kumsamehe mpenzi wako. Kawaida katika mahusiano, huwa kuna changamoto kadhaa ambazo hujitokeza hivyo lazima uwe na tabia ya kuweza kusamehe. Hii inaweza kuanzia kukosana kwa mambo ya kinyumbani, ama mambo mengine yanayofanana...
  3. Lizzy116

    Siri 6 za wanawake ambazo kamwe hawawezi kukuambia

    1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli. 2. Anakulinganisha na mpenzi wa...
  4. Lizzy116

    Full video ya yule mama mchungaji wa sex game ya God, kwenye gari, jikoni twa twa!

    Kuna clip fupi imesambaa mtandaoni ya Pastor Susan Munene akiongea kuhusu umuhimu wa sex katika ndoa. Hii hapa clip ndefu zaidi ikiwa na maelekezo mengi hasa kuhusiana mambo ya ndao. hapa chini ni baadhi tu maneno ya Pastor Susan Munene. Mimeweka full video pia hapo chini. “Kama kuna kitu ya...
Back
Top Bottom