Search results

  1. jabirj864

    Dondoo ya leo

    Ilazimishe nafsi yako kuwa na furaha hata kama moyoni una maumivu. Mambo mengine yanayokusibu jaribu kuyapuuza usiyape nafasi yakakutawala akilini. Moyo ni kiungo kidogo sana ambacho kina kazi kubwa mwilini mwako kazi ambayo hukufanya wewe uwe hai. Baada ya kupata matatizo kwa mfano kuwa na...
  2. jabirj864

    Dondoo ya leo

    KUNA MWALIMU MMOJA ALIINGIA DARASANI AKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO: (1) 9+1=70 (2) 9+2=11 (3) 9+3=12 (4) 9+4=13 (5) 9+5=14 (6) 9+6=15 (7) 9+7=16 (8) 9+8=17 (9) 9+9=18 (10) 9+10=19 Alipomaliza kuandika tu, akaona wanafunzi wote walikua wanacheka, kwasababu alikua amekosea swali la kwanza...
  3. jabirj864

    Je, una tatizo la kukosa usingizi?

    Tatizo la kukosa usingizi (Insomnia - Sleep Disorder). Usingizi ni muhimu katika maisha ya mwanadamu kama ilivyo kula mlo kamili na kufanya mazoezi. Kukosa usingizi kunachangiwa na mabadiliko ya kimwili, kiakili, na kihisia. Kukosa usingizi kunaweza kuathiri afya kwa ujumla pamoja na ubora wa...
  4. jabirj864

    Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    JINSI YA KUONDOA CHUNUSI USONI KWA KWA HARAKA ZAIDI. Na:Mr tibalishe Chunusi ni vipele vinavyojitokeza katika ngozi hususan sehemu za usoni, kifuani na mgongoni kutokana na mafuta kushindwa kutoka kwenda nje ya mwili (juu ya ngozi ya nje). Huweza kutokea kwa mtu yeyote aliyepevuka kimwili...
  5. jabirj864

    Fahamu umuhimu wa kutumia maji ya vuguvugu kiafya

    MAJI YA UVUGU VUGU TAFADHALI SAMBAZA KWA FAMILIA NA MARAFIKI, NI MUHIMU NA INAWEZA KUOKOA MAISHA YA MTU. Jopo la madaktari wa Kichina limethibitisha kwamba maji ya vuguvugu yana uhakika wa asilimia 100% katika kutatua matatizo kadha wa kadha ya kiafya kama vile: 1. Kipanda uso (Migraine) 2...
  6. jabirj864

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    NJIA TANO ZA ASILI ZA KUONDOKANA NA MIGUU KUWAKA MOTO Huu ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana na Mara nyingi humfamnya mtu mwenye tatizo hilo kushindwa kusinzia japo anahisi kusinzia. MIGUU KUWAKA MOTO ni ugonjwa unaotokea ambapo katika mwili wa binadamu kutakuwa na matatizo kama kudhoofika...
  7. jabirj864

    Zifahamu faida kuu 17 za majani ya mpera kiafya

    MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI. 1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua nakikohozi. 2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuriyanatumika kutibu muwasho uliotokana na mzio(allergy). 3. Pia majani haya ya mpera yakichemshwakama chai yanaondoa cholesterol iliyozidimwilini. 4. Chai ya...
Back
Top Bottom