Salaam Wakuu,
Nimeshangaa kuona Paul Makonda kubadili gia angani. Alipoanza kujitangaza, alikuwa akiwasimamisha Mawaziri watoe ufafanuzi na Wengine alikuwa akiwapigia simu akiwa majukwaani huku akisema Mawaziri mizigo siku zao zinahesabika.
Alifika mbali na kuwataka Mawaziri wawe wanatuma...
Hakumbeba kwa chochote. Lowassa alianza kujichafua tangu enzi za Mwalimu Nyerere. Hadi Nyerere akahoji "Mtoto mdogo anatoa wapi hela nyingi namna hii?".
Nimeona Watu wanamlaumu Jakaya eti alimtosa Lowassa bila kujua Jakaya ndo alimpa Uwaziri Mkuu.
Basi mbona hawamshukuru Jakaya Kikwete kwa kumpa Lowasa uwaziri mkuu ambao leo hii ndio uwaziri mkuu huo umemzika kwa heshima ya waziri mkuu mstaafu japo alijiuzulu kwa Kashfa?
Wanamtambua Lowasa...
Ajali Ya Basi la New Force lililokuwa linatoka Mbeya Kuja Dar ( Hakuna Kulala ) Maeneo ya Kidai B baada ya Kugongana na Lori na Gari Ndogo
Abiria wako Salama Kuna Majeruhi Wadogo Tu
Iii imetokea leo 23/01/2024 asubuhi Mtoremko wa Iyovi
Pia soma: New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata...
Ndugu MUSA VENERABLE MZIBA mfanyabishara mwenye umri wa miaka 37 anaemiliki Kampuni ya Mzibaz Empire Investments Ltd amechukuliwa na watu wasiojulikana Tar: 07 Desemba mida ya Saa 2 Usiku, akiwa maeneo ya ofisini kwake Mikocheni.
Familia Inaomba sana Msaada kwa Jeshi la Polisi Tanzania...
Salaam,
Ni kweli bila Polisi hakuna utii wa Sheria.
Ila Kitendo cha Polisi kujipendekeza kwa Wanasiasa ili wasifiwe au wapewe vyeo vya kisiasa ni kuwaonea wananchi.
Ni kweli Polisi wanapambania matumbo yao, ila hili la kuzuia wafanyabiasha na Wasafiri kuchelewa kufika kisa kiongozi wa...
Hivi karibuni iliwekwa habari kwenye Jukwaa la JamiiForums, ikielezea adha ya Usafiri wa Mwendo kasi. Taarifa ilieleza kwamba; Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyokuwa asubuhi ya Septemba 25, 2023, kwamba hakukuwa na gari za Mwendokasi na foleni ya abiria ilifika...
Kuna jambo moja sijui iwapo watu wengi wanalijua.
Binafsi tulifahamiana na Dr. Servacius Likwelile (RIP) mwanzoni kabisa mwa 1990's (ninadhani 1991) wakati akifundisha Industrial Economics UDSM, akiwa na Masters na akisoma PhD.
Kuna wakati, mwishoni mwa 1990's, Dr. Likwelile alifulia, mke...
Kama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha...
Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani?
Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akamate kiti hiki, Mafuta yamekuwa ya Tabu sana kupatikana.
Napendekeza aondolewe ili kuokoa...
Hapo umefanya Booking ya Geita. Uwanja wa Geita upo siku zote. Ndege inaenda mara moja kwa Wiki.
Tunaomba ufanye Booking ya Chato.
Kuna Uwanja wa Geita na Uwanja wa Chato. Wewe unajadili Uwanja wa Geita ila Mwananchi wamwzungumzia Uwanja Chato.
Tunaomba hata picha ya Tiketi ya Chato.
Wale waimba Kwaya Usiku na Mchana TBC, nilikuwa nawaona Wanaimba Kwaya huku wanalilia eti Magufuli kafa. Lakini hili swala la DP World wapo kimya. Hivi huwa wanaishi wapi na wanaibukia wapi?
Kwa saaa hakuna Msiba Mkubwa kama DP World. Watunge wimbo ili kweli tujue wanalilia Taifa au njaa zao...
Leo mida ya saa nane na dakika hamsini, ndege ya Precision air yalazimika kurudi before take off Baada ya kugunduaaa hitilafu kwenye ndege!
Shukurani kwa Rubani alogundua tatizo mapema. Sasa inasubiriwa marekebisho yaishe ili ipae tena.
Ndege ilikuwa inatokea Mwanza kwenda Dar es Salaam...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo.
==
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.