Search results

  1. G

    Kwa wale wenyeji wa SHINYANGA nisaidieni

    Mi nipo AR kwa sasa.naomba contact zako mkubwa oldonyo.thanks for prior information
  2. G

    Kwa wale wenyeji wa SHINYANGA nisaidieni

    Mkuu naomba kama wewe una ufahamu zaidi kuhusu upatikanaji wa huduma za jamii shinyanga vijijini. Huko ndiko nilikopangwa. I will thank you in deed
  3. G

    Wenyeji wa rungwe-mbeya au yeyote!

    Ur 2 open. PCCB watakubamba! Shaur yako.
  4. G

    Mwl.aliye tayari!...

    Tuambie bac mkuu kuhusu upatikanaji wa huduma za jamii kuko kwan inaelekea unapafaham sana pia kama kuna mwenye namba za afisa elimu wa shinyanga vijijin atupatie pleaz
  5. G

    Mwl.aliye tayari!...

    Hata mimi nimepangiwa shinyanga vijijini.naomba kwa mwenye taarifa juu ya upatikanaji wa huduma za jamii ktk hii wilaya atujuze 2sepe mapema
  6. G

    Mwl.aliye tayari!...

    Hata mimi nimepangiwa shinyanga vijijini.naomba kwa mwenye taarifa juu ya upatikanaji wa huduma za jamii ktk hii wilaya atujuze 2sepe mapema
  7. G

    BEST WISHES to all St augustine student

    Tutakuwa wote oldonyo.ila mi nimeugua vidonda vya 2mbo baada ya kusoma nimepangiwa shy v.nataman nichakachue nashindwa kuelewa nifanyeje.
  8. G

    natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi jamani

    Nimepangwa shinyanga (v) kama kuna mtu anataka tubadilishane ani pm waungwana.
  9. G

    Kuajiriwa kwa walimu wapya lini?

    Yote ni ya muhimu .kufundisha na fedha pia.we mwenyewe si unajua hali ilivongumu bila ajira?
  10. G

    Hivi jamani hakuna part time toyote tufanye njaa zimezidi mjini

    Jieleze vizuri una uzoefu katika lipi?
  11. G

    Majina ya viongozi yanayoanzia na david ( daudi kwa kiswahili )

    Viongozi wanaoanzia na jina hili wanaonekana kuwa na matatizo makubwa kwenye uongozi wao 1 David Cameroon 2 David Jairo 3 David Balali ongezea mengine
  12. G

    nina gundu

    Mungu anakuepusha na hatar ya dhambi na magonjwa ya kisasa kaa chini piga magoti ,tubu na umshukuru mungu
  13. G

    tatizo wakati wa tendo la ndoa!!

    Siwez kukushauri ujinga .kasome dogo vayakuta na utayaacha mwenyewd
  14. G

    Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

    Tunapochangia tusiwe chanzo cha kutengeneza matatizo kama ya udini.Great thinkers nomaly are problem solvers ni
  15. G

    Kupiga bao

    Nenda kwenye jukwaa la kuchekesha wanakumis sana
  16. G

    Kuajiriwa kwa walimu wapya lini?

    Ok mention another sourse with its date
  17. G

    Kuajiriwa kwa walimu wapya lini?

    But remember my friend information sourses za Tz haziaminiki kikwete mwenyewe alisema waalimu watapangiwa pale tu wanapomaliza course which means kwa diploma ni mwezi wa tano degree ni mwezi wa saba.Does that become real sourse?
  18. G

    Kuajiriwa kwa walimu wapya lini?

    Sasa tuamini kwenye chanzo kipi? Kwa uzoefu wa mwaka jana waliajiriwa tarehe 20/01/2011. Kwahiyo hata mwaka huu huenda ikawa ni tarehe na mwezi huohuo
Back
Top Bottom