Search results

  1. P

    Mwanachuo anywa sumu

    Kumbukeni huyu mtu ana ndugu na jamaa wa karibu ambao wanaomboleza kifo chake kwa uchungu hata kama machoni mwa wengi kinaonekana ni cha kijinga. Hivyo si busara kumhukumu humu. Vile vile hatujui exactly what happened. Admin naomba utoe thread hii, inaumiza zaidi wapendwa wake kuliko...
  2. P

    Vodacom tz kwafukuta..

    Imeingia mkataba na Vodacom na kuchukua staff wa Vodacom upande wa operations, na inafanya sehemu kubwa ya kazi za voda.
  3. P

    Vodacom tz kwafukuta..

    Yasemekana hali si shwari ndani ya Vodacom Tz hususan baada ya mkataba kati yake na Nokia Siemens Networks (NSN) kitengo cha Operations.
  4. P

    PICHA: Ufunguzi wa tawi la CCM DC wafunika bovu

    Atakayenengua vizuri juu ya kiti na kuwafurahisha wazee anapewa ubunge wa kiti maalum.
  5. P

    Kikwete tupe zawadi hii; na Utendaji wa Spika

    na cameraman wa kumpiga picha kila anapotembelewa na maswahiba zake huko "room"
  6. P

    Rais JK afanya maongezi na waziri mkuu wa uingereza David Cameron mjini Davos

    Nahisi ndio anaenda kuzindua rasmi kale ka-deal. mazingira kama ya guest hivi...
  7. P

    NAPE; Mimi nakataa kabisa wewe si chanzo SAHIHI cha Habari!!

    In short huyo ni new Tambwe Hizza! tofauti mwenzake alikuwa kwenye Propaganda=uongo, ila huyu ni katibu uenezi na itikadi sasa labda itikadi zao ni kueneza upotoshaji.
  8. P

    CHADEMA wakionana na kikwete Kushiney

    sio miguu, nafikiri anatumia masaburi kufikiri. sishangai lakini maana fikra za wanandoa hufanana, so huo upotoshaji wa magamba umeingia kwenye vichwa vya wana ngangari baada ya ndoa yao...
  9. P

    Ccm kuweni makini, vueni gamba kwa kutofautisha la nyoka na la kobe

    Ushauri mzuri lakini umeenda kwa watu wasio sahihi, wakati usio sahihi na mahali pasipo sahihi..
  10. P

    Baada ya cdm, ccm nao kumwona rais mara moja!

    Huu ni upungufu au ukosefu dhahiri wa akili, wanataka kutuambia yale waliyokuwa wanachangia bungeni wabunge wao sio maagizo ya chama chao? anyway kwanza walikuwa busy kuwapiga vijembe cdm hata hawakuchangia muswada, sasa wanaona aibu kupita mitaani ndio wanajidai nao kuunda kamati kumuona rais...
  11. P

    Jukwaa la Katiba latangaza Maandamano ya amani nchi nzima

    .....gamba haliwezi vuka bila kisu kikali, sioni nani wa kukishika hicho kisu hapa...
  12. P

    TZ economy to surpass Kenya, forecast shows. Hongera Kikwete!

    Kwa nini tunajivunia kwa kuipita Kenya? kwani ktk rank za economic growth Kenya ni namba ngapi? yawezekana twajisifu kumpita mgonjwa mwenzetu kunywa uji? Ningempongeza rais kama uchumi wetu ungekuwa walau 75% ya uchumi wa Africa Kusini by 2030.
  13. P

    Ukweli kuhusu kuzomewa kwa Kikwete

    Kichwa au dafu?
Back
Top Bottom